Graduates wengi tunapitia wakati mgumu sana, sema jamii inaona kama hatujielewi

Graduates wengi tunapitia wakati mgumu sana, sema jamii inaona kama hatujielewi

Teknolojia imeathiri vipi ajira tanzania wakati matumizi yetu ya teknolojia ni madogo sana ?

Hebu taja kada moja tu ambayo hapa nchini imeathiriwa na kuwepo kwa teknolojia hadi kupelekea ukosefu wa ajira?

Tanzania yenye population milioni 59 huku wasomi wakiwa below Milioni wakiwa hawazid hata milioni 3 unakuwaje na mass unemployment kubwa hivyo kwa graduates ?

Tuweni wakweli tu tatizo la ajira nchini ni zao la uongozi mbovu na siyo teknolojia wala mama yake teknolojia.

Kutumia a Worldwide problem theory kuzungumzia tatizo la ajira nchini siyo sahihi ni kielelezo cha kukosa maarifa tu kwa watawala wetu.

Serikal haiwezi ajil watu wote , wanaotoka vyuo vikuu kila mwaka ni wengn mno,
 
We acha tu, nna gundu na majobless[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]
Lakini sio vizuri kwachomolea. We tafta jobless wako mmoja anaeleweka mpange maisha maana kimsingi wanaume wengi sikuhizi kazi hawana. That doesn't mean hawa deserve kuwa na wake au wapenzi D. Kuwa positive and date a honest one.
 
Kwani kuna nini cha spesho sana ambacho mnakiandika kila siku?

Maana motivesheno spika mmekuwa wengi sana mnatoa mawaidha usiku na mchana kana kwamba dunia inaelekea ukingoni!

Nadhani ninyi akina motivesheno ndio tatizo kubwa kuliko tatizo la ajira!
Huna ulazim wa kucoment JF inawatu weng sn wanaofaidika kupitia experience za watu kam hvi.....acha uana kijiji
 
Lakini sio vizuri kwachomolea. We tafta jobless wako mmoja anaeleweka mpange maisha maana kimsingi wanaume wengi sikuhizi kazi hawana. That doesn't mean hawa deserve kuwa na wake au wapenzi D. Kuwa positive and date a honest one.
Best comment of the day!
 
Ni ukweli kwa mfano kodi ya nyumba mjini ni 100k kwa mwezi na unalipa kwa 3 months(100,000x3=300,000) na kipato chako kwa mwezi ni chini ya hapo then at the same time ukienda mikoani kuna baadhi ya maeneo kodi hadi 20,000 kwa mwezi na kuna fursa za uwekezaji kwa mfano kilimo na ufugaji.

Tatzo la wasomi wengi ni ngumu kujishughulisha na kazi za nguvu wanaona kama ni mateso mtu yupo radhi akomae mjini for years bila kufanikiwa chochote wakati anao uwezo wa kuingia pori akakomaa kwa mda akapata pa kuanzia.
Mbona unatoa mifano isiyo na uhalisia ndugu? How possible mtu una kipato cha chini ya 100,000 kwa mwezi halafu unalipa kodi 100,000...mkuu badili mfano wako aisee..

Halafu inshu sio kukataa kujishughulisha na kazi ngumu. Hakuna dhambi mbaya kama kumshauri mtu kitu ambacho hujawahi na hauwezi fanya.
 
Back
Top Bottom