Graduates wengi tunapitia wakati mgumu sana, sema jamii inaona kama hatujielewi

Mkuu elimu ya kwenye makaratasi isikuchanganye, huyo mmoja nimetolea tu mfano. Matatizo mengine sio mpaka ufanye sampling ndio upate accurate results yanaonekana kwa macho. Hivi ukiwa na kuku mia ukakuta mmoja kati Yao ni mgonjwa utafanya nini?
Pia kwenye andiko langu sijaongelea maswala ya kushinda njaa hayo unajua ulikoyatoa
Pia hakuna sehemu nimelazimisha mtu aondoke dar arudi mkoani,
Mimi nilichokuwa na maanisha kunaurahisi wa kuanzisha biashara kwenye miji inayoendelea mfano dodoma/iringa kuliko dar, kwa kuangalia gharama za kodi ya fremu, umeme, chumba cha kukaa, usafiri, upatikanaji wa location nzuri ya biashara. Hapa na zungumzia graduate ambae mtaji wake ni wakawaida sana.
Mkuu kwa mimi structure ya Tz na duniani kote kule ni Bora kuamzisha Biashara mji Mkuu then ujitanue miji midogo...Dar kwangu ni Startup Hub na mikoani ni Hustling Ground nikimaanisha nenda mikoani ukiona fursa fulani ipo katafute pesa rudi Dar anzisha kitu rudi tena rudi Dar kikuze.
 
Kwanza kushindwa biashara moja hakumaanishi kushindwa biashara zote.

Hata huko mkoani hakuna 'guarantee' ya kwamba utafanikiwa.

Jambo la msingi ni kujaribu "Tena na Tena"
 
Kweli mkuu.
 
Ndio mkuu ni kweli kabisa hakuna garantee yamafanikio.
 
Ccm inawajali mbona
[emoji23][emoji23][emoji23] huwa nashangaa sana mtu hana uhakika wa maisha lakini anaikumbatia siasa. Kiufupi toka nianze kusurvive mwenyewe hakuna mwana siasa alishanisaidia kitu chochote zaidi ya kukatwa kodi. Kifupi tuache serikali ifanye mambo yake
 
Mtaani kugumu sana ni vile tu graduates wengi hawajawai kujua hilo ndio maana wanakutana na ugumu pindi waingiapo, nawashauri waliopo vyuoni kujiongeza kufanya vitu vya maana kujiimarisha kiuchumi huku mtaani GPA bila kuwa na pesa na connection utaumia sana.

Kuna wale wanaopenda kuganda mjini ilihali uwezo hawana ila hawatak tu kutoka mjini ni lazima uione dunia chungu, toka kapambane kwingne utakapomudu kuja kuishi mjini rudi mji upo hauami kikubwa ni kutafuta pesa na uzipate.
 
nilishakaa na jamaa mmoja kwenye gari lilikuwa limetoka dar to njombe jamaa alikua ni lecture was chuo kikuu hulia njombe alihamishwa toka dar. Jamaa katika maongeze jamaa aliniambia kwamba vijana wengi dar wanafanya biashara za hela ya kula na kulipa Kodi lakini kitu ambacho alikishuhudia njombe ni mtu anakua maskini kwa muda flani atawekeza kwenye parachiparachi atakuwa Hana hela within 6 years lakini baada ya hapo ni mtelemko.

In short mm naweza kusema sehemu Kama dar waanaoamini kuwa dar ndo kutoboa niwavivu wa akili mkoani Kuna utajiri ila unahitaji maarifa na kuumiza akili ndio maana wazungu wengi wanakaa Sana huku ndichi.

Mimi sishauri Sana msomi sijuikuwa saidia fundi mm binafsi nilishawahi kufanya hivyo but In real sense unakua mtumwa. Ila yote haya ni pesa ya Kodi inachangia
 
Na wa kwanza kutoboa dar watakuwa wale waliokuwa wanaishi dar tangu yaani I mean wazazi wao wamejenga dar Sasa wewe wakupanga subiri kwanza utajirishe watu Wenye nyumba kwanza
 
nilishakaa na jamaa mmoja kwenye gari lilikuwa limetoka dar to njombe jamaa alikua ni lecture was chuo kikuu hulia njombe alihamishwa toka dar. Jamaa katika maongeze jamaa aliniambia kwamba vijana wengi dar wanafanya biashara za hela ya kula na kulipa Kodi lakini kitu ambacho alikishuhudia njombe ni mtu anakua maskini kwa muda flani atawekeza kwenye parachiparachi atakuwa Hana hela within 6 years lakini baada ya hapo ni mtelemko. In short mm naweza kusema sehemu Kama dar waanaoamini kuwa dar ndo kutoboa niwavivu wa akili mkoani Kuna utajiri ila unahitaji maarifa na kuumiza akili ndio maana wazungu wengi wanakaa Sana huku ndichi. Mm sishauri Sana msomi sijuikuwa saidia fundi mm binafsi nilishawahi kufanya hivyo but In real sense unakua mtumwa. Ila yote haya ni pesa ya Kodi inachangia
Kweli mkuu uko sahihi. Yaani kunakazi nyingine nikapoteza muda na kutajirisha watu. Huku wew ukiendelea kuwa mtumwa.
 
nilishakaa na jamaa mmoja kwenye gari lilikuwa limetoka dar to njombe jamaa alikua ni lecture was chuo kikuu hulia njombe alihamishwa toka dar. Jamaa katika maongeze jamaa aliniambia kwamba vijana wengi dar wanafanya biashara za hela ya kula na kulipa Kodi lakini kitu ambacho alikishuhudia njombe ni mtu anakua maskini kwa muda flani atawekeza kwenye parachiparachi atakuwa Hana hela within 6 years lakini baada ya hapo ni mtelemko. In short mm naweza kusema sehemu Kama dar waanaoamini kuwa dar ndo kutoboa niwavivu wa akili mkoani Kuna utajiri ila unahitaji maarifa na kuumiza akili ndio maana wazungu wengi wanakaa Sana huku ndichi. Mm sishauri Sana msomi sijuikuwa saidia fundi mm binafsi nilishawahi kufanya hivyo but In real sense unakua mtumwa. Ila yote haya ni pesa ya Kodi inachangia

Ni ukweli kwa mfano kodi ya nyumba mjini ni 100k kwa mwezi na unalipa kwa 3 months(100,000x3=300,000) na kipato chako kwa mwezi ni chini ya hapo then at the same time ukienda mikoani kuna baadhi ya maeneo kodi hadi 20,000 kwa mwezi na kuna fursa za uwekezaji kwa mfano kilimo na ufugaji.

Tatzo la wasomi wengi ni ngumu kujishughulisha na kazi za nguvu wanaona kama ni mateso mtu yupo radhi akomae mjini for years bila kufanikiwa chochote wakati anao uwezo wa kuingia pori akakomaa kwa mda akapata pa kuanzia.
 
Nimepita hali hiyo 2016-2018, ni hali ngumu asikwambie mtu. Mzee anakupigia simu anauliza unafanya nini mjini rudi nyumbani uje kuvuna, maza nae anakupiga spana mpaka unazima simu hupokei simu za wazee.
Ila Dar kuzuri aise asikwambie mtu. Ukiachanga karata vizuri lazima utusue

Sijui kwanini Dar kunalemaza Sana .yaani unahis huwezi survive kwingine!
 
nilishakaa na jamaa mmoja kwenye gari lilikuwa limetoka dar to njombe jamaa alikua ni lecture was chuo kikuu hulia njombe alihamishwa toka dar. Jamaa katika maongeze jamaa aliniambia kwamba vijana wengi dar wanafanya biashara za hela ya kula na kulipa Kodi lakini kitu ambacho alikishuhudia njombe ni mtu anakua maskini kwa muda flani atawekeza kwenye parachiparachi atakuwa Hana hela within 6 years lakini baada ya hapo ni mtelemko. In short mm naweza kusema sehemu Kama dar waanaoamini kuwa dar ndo kutoboa niwavivu wa akili mkoani Kuna utajiri ila unahitaji maarifa na kuumiza akili ndio maana wazungu wengi wanakaa Sana huku ndichi. Mm sishauri Sana msomi sijuikuwa saidia fundi mm binafsi nilishawahi kufanya hivyo but In real sense unakua mtumwa. Ila yote haya ni pesa ya Kodi inachangia

Mie toka nikutane na watu wanamiliki millions of money vijijini dar naendaga kupumzika tu...! Naenda tumia kidg narudi kijijini kwangu. Hapa Niko road nikalale walau siku 2! Nirelax!
 
Back
Top Bottom