kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,746
- 2,924
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mnawaza kutongoza na kunyanduka badala ya kutafuta namna mjiajiri mtoke. Useless graduates
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mnawaza kutongoza na kunyanduka badala ya kutafuta namna mjiajiri mtoke. Useless graduates
Mkuu elimu ya kwenye makaratasi isikuchanganye, huyo mmoja nimetolea tu mfano. Matatizo mengine sio mpaka ufanye sampling ndio upate accurate results yanaonekana kwa macho. Hivi ukiwa na kuku mia ukakuta mmoja kati Yao ni mgonjwa utafanya nini?
Pia kwenye andiko langu sijaongelea maswala ya kushinda njaa hayo unajua ulikoyatoa.
Pia hakuna sehemu nimelazimisha mtu aondoke dar arudi mkoani,
Mimi nilichokuwa na maanisha kunaurahisi wa kuanzisha biashara kwenye miji inayoendelea mfano dodoma/iringa kuliko dar, kwa kuangalia gharama za kodi ya fremu, umeme, chumba cha kukaa, usafiri, upatikanaji wa location nzuri ya biashara. Hapa na zungumzia graduate ambae mtaji wake ni wakawaida sana.
Wapo kibao mbonahivi kuna graduates wa pharmacy au medicine ambao wapo mtaani hawana ajira?
Hapa mboa sasa unakuwa una engage katika debate ya "Money is the source of all evil"Kwanza nimependa hoja yako ila ingekuwa vizuri ukanielewesha hivi vitu vitatu kwanza moja ni kuanzia ngazi gani ya elimu inayomtambulisha msomi? Pili takwimu za kuwa Tanzania kuna wasomi wasiozidi million tatu umezipataje na mwisho tatizo la ajira ni kwa ajili ya wasomi tu?
Na kuhusu sehemu ambazo zimeathiriwa na teknolojia zipo nyingi ni vile umechagua kutozitambua na kwa faida ya wengi nitazimention na kuzielezea japo kwa ufupi.
1. Elimu ni moja ya sehemu ambayo imeathiriwa na inaendelea kuathiriwa na teknolojia saa hivi watu hawajiangaishi kutafuta Waalimu ni direct anaenda mtandaoni anasearch material anayotaka au anajifunza kupitia video za mtandaoni na mwisho anaenda kuattend examination na anapata cheti hapo automatically nafasi za Ualimu zimeenda kuwa chache.
2. Viwanda ni moja kati ya sehemu iliyoathiriwa vibaya na teknolojia kwa watu wote yaani skilled and unskilled labour uwepo wa mitambo umekuja kuharibu kazi za watu imagine mtu mmoja anakaa na laptop anaoperate mitambo ambayo ilibidi isimamiwe na watu zaidi ya ishirini na kama unabisha hilo tenga muda ufanye tour viwandani.
3. Transaction za kibenki kufanyika kielectronic saa hivi benki nyingi zitafika wakati hazitahitaji kuwaajiri Mateller fikiria kama unaweza kuweka na kutoa pesa kupitia ATM.
4. Leo mtu anaenda mtandaoni anadownload ramani ya nyumba for free kabisa je mtu aliyesoma fani hiyo atamuuzia nani ramani zake.
Ukweli ni kuwa teknolojia imeathiri ajira za wengi ningeweza kuandika mengi ila nimeingia shift ya usiku na unajua kazi za watu hizi nisije jikuta jobless.
Wapo wengi sana chief .maisha magumu mtaani.hivi kuna graduates wa pharmacy au medicine ambao wapo mtaani hawana ajira?
Ukweli mtupu,hapo uliposema mafundi wa mtaani,wana uhakika wa kula kuriko Graduate,ni kweli kabisa,Unajua kuna msemo unasema ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu, ndio graduates wengi ambao hatuna kazi tunapitia hiyo hali yaani hatuna haki kabisa, now tumekuwa jalala la matusi sii la Saba, fm4 failure, waliobahatika kupata vijikazi, wanatuona kama wajinga, wazazi jamii inayotuzunguka wote wanatuona mafala hakuna wakututetea.
Yaani ukitaka kuiona dunia chungu, maliza masomo/degree halafu usipate sehemu ya kujishikiza au mchongo wowote asee utachekwa hadi na watoto wadogo, najua wengi hasa graduate mnanielewa ninacho zungumzia, just imagine interview ya jana TRA watu wanaitwa zaidi ya elfu sita kugombania nafasi mbili kwa kweli inasikitisha.
Now hata nafasi za kujitolea kwenye makampuni hazipo yaani ebu fikiria mtu anajitoa kufanya kazi bila malipo lakini bado unakataliwa, sio tu kwenye makampuni makubwa, hata kufanya kazi kama kibarua kwenye miradi ya ujenzi napo bilabila, viwanda vidogo vya kufyatua tofali unakuta kumejaa.
Yaani kwa sasa mambo yamebana hata nafasi ya kufanya field ukiwa bado unasoma napo unaweza kukosa kabisa, kuna zile kazi za kupakua mizigo inayotoka mikoani kama magunia ya mpunga, viazi huko kote bila connection hata kama una phd dalali hakupi kazi.
Kilicho nisukuma niandike haya yote leo kuna jamaa yangu ninapokaa ametimuliwa na mama mwenye nyumba kisa kushindwa kulipa kodi. Jamaa yeye ni graduate wa ba education toka 2018 anauza matunda kwa wanafunzi wa chuo kwao ni Kigoma kisa Corona mambo yameenda vibaya kodi yake iliisha toka tarehe moja leo mama mwenye nyumba ameleta dalali wakakagua nyumba na vitu viko ndani akafukuzwa.
Jambo ambalo nataka kuwaambia magraduate wenzangu usikomalie tu kukaa Dar es Salaam ukiona maisha hayaeleweki rudisha mpira kwa kipa sio kukomaa kwenye hakuna, mikoani kuna fursa nyingi kuliko Dar es Salaam kwanini nasema hivyo, Dar es Salaam imeshakamatwa na wafanyabiashara wakubwa.
Waliobaki wengi ni machinga kama unataka kuamini nenda kesho Kariakoo, Ilala, Makumbusho, Gongo la mboto ujionee mwenyewe machinga walivyojazana.
Kuingia kwenye system ya kujiajiri hasa biashara ni rahisi sana kwa mji unaokua mfano Dodoma kuliko sehemu kama Dar es salaam ambayo tayari mabeberu walishaishika toka kitambo, jaribu kuangalia gharama za ulipaji pango, umeme, usafiri ndio utaelewa.
Yaani kodi tu ya fremu Dar sehemu ya uchochoroni unaambiwa laki 4 na dalali anataka ya mwezi mmoja,
Najua kuna madogo wengi watasoma hapa, nakwambia kabisa jaribu kutafuta ujuzi binafsi huko chini, ukiona kitabu hakipandi nenda veta, kasomee electronics/ ufundi simu, gerage/umeme wa magari, pikipiki, ufundi bomba, umeme majumbani, kupaka rangi, kutengeneza furniture/sofa hawa watu wana uhakika wa kuishi mjini vizuri kuliko graduate wa kwenye makaratasi.
Kariakoo pale kuna mtu ana masters nilimkuta anafundishwa kutengeneza simu na fm4 B tena pale kwenye msururu wa vile vimeza vilivyopangana pale njee, maisha yamempiga hatari,
Nihitimishe tu kwa kusema Mungu atujaalie na atutangulie tuweze kutimiza ndoto zetu na atuwezeshe kuvuka salama katika hiki kipindi cha mpito.
kweli mzee??? hadi medicine?Wapo wengi sana chief .maisha magumu mtaani.
hadi madaktari?? hatari sanaWapo kibao mbona
Daa kweli mkuu. Ushauri mzuri sana, naamini wengi watakaosoma hapa watakuelewa .Ukweli mtupu,hapo uliposema mafundi wa mtaani,wana uhakika wa kula kuriko Graduate,ni kweli kabisa,
Unakuta mtaani kuna kijana anapiga tiles,anapata tenda kibao,anaendesha maisha yake vzr,kuriko graduate wa civil engineering,anaeshinda nyumbani,akingojea ajira,
Siku moja,nilijaribu kutafuta hizi tenda za kufunga umeme wa majumbani,(Mimi ni muhandisi wa umeme),nikakosa,hebu fikiria,ujenzi unaoendelea Dodoma,wewe na degree yako,unakosa hata kazi moja ya wiring,lakini wale vijana,waliotoka VETA,wananetwork kubwa,na wanazipata hizo kazi,
Ikabidi nikae chini nijaribu kutafiti kwanini na Mimi nisijenge huo mtandao,elimu yetu ya juu,inafundisha kiburi cha kudharau kazi hizi ndogo,Graduate anataka afanye kazi,Tanapa,Tigo,uamihaji,nk.
Pale mtaani ninapoishi,kuna kijana,ni Fundi Bomba,anaweka mifumo ya maji na mifumo ya maji taka,vile vile anaboda boda take,anapiga kazi,anafamilia,na amejenga,ufundi alifundishwa na kaka yake,.
Sasa tujiulize sie graduates,kama vijana was dalasa LA saba,wanaanza na mtaji kidogo,wanajenga maisha,kwanini Sir,ambao tayari tuna mtaji mkubwa wa exposure na elimu.
Kitu kingine,wadogo zangu,kama wewe ni graduate,mfano wa kada ya engineering ya umeme,unayajua makampuni yanayofsnya shughuri za power,na electrical engineering?
Tafuta hizi taarifa,usiishie kuandika tu barua,yajue makampuni,yapo wapi,wajue seniors wa hayo makampuni,msisubiri mpigiwe honi,na kuulizwa unaenda mjini,ili upewe lift,uliza uliza uliza,acheni kuona noma.
Hata hapo unapoishi,unaweza kukuta jirani yqko yupo kwenye kwenye kampuni,na anaweza kukusaidia,uliza.
Juzi nilikuta kijana,wife kampa amuoshee gari,nikauliza,akasema ni mtoto wa jirani,kamaliza form 4,kapata zero,anatafuta ajira,mzee wake ni mstaafu,nikamuuliza wife,kwanini,hukuniambia nije niongee nae,maana,hapo mtaani,tunaishi na watu waliokwenye taasisi ambao wanaweza kutoa msaada,
Vijana msikae kimya,fungukeni,sio kushinda mna chart tu,
Mkuu kwanza niseme hongera sana kwa uthubutu wako. Pili ikiwezekana uje uandike kidogo kuhusiana na hiyo story naamini utatupa mwanga kwa namna moja ama nyingine. Mwisho tu nikutakie mapambano mema na mungu akujaalie kwa kile unachokifanyaNdugu Mimi na kuelewa sana tena sana cha msingi wewe muombe Mungu na endelea kuweka bidii katika jambo lako hali uliyo kuwa nayo Mimi nili kuwa nayo mwaka 2013 hadi 2015 Mimi na elimu yangu ya master's nilisha wahi weka cheti ndani na kufanya shughuli za umachinga za kuuza nguo viatu na mikoba ya vitu vya kitamaduni nime zunguka sana maeneo ya mitaa ya Dodona.. Nikaja nikaanza Fanya shughuri za ushauri wa uandishi wa research paper pamoja na data analysis yani Nina stori ngumu sana kwangu ila hayo yote kwa sasa namshukuru Mungu mambo sio mabaya sana Mungu ni mwema sana kwangu napambana na mwanga ameni onyesha sija ajiriwa nime jiajiri mwenyewe mtaani maisha yana kwenda kuna walio kuwa wana nitolea dhihaka Leo tuna salimiana kwa heshima never never never never never never never never naweka tena msisitizo never never give up piga goti chini kila siku omba Mungu huku ukipambana najuwa hali unayo ipitia sababu mm pia nili kuwa Muhanga wa hiyo hali aiseee acha tu kuna siku nami nitakuja kuweka stori yangu humu na ikiwezekana Nita wapa watu chansi waje waone kile ninacho kifanya.. Na kiasi cha maendeleo ambayo Mungu amenibariki kupitia hiyo kazi mpaka sasa
Kama kawaida yakoGraduate mimi ningekubaliwa kupata chimbo pale upanga ningekuwa na uwezo wa kutusi ajira zote duniani aisee.
hatari sanaaaa.sikuwahi kufuatilia kina mzee[emoji23][emoji23][emoji23] mkuuu unakaa tz ya wapi hiyo.? Kuna madaktri wamesota miaka mitano kitaa baadhi yao ndio magufuli amewaajiri mwaka huu toka 2015
Unajua kuna msemo unasema ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu, ndio graduates wengi ambao hatuna kazi tunapitia hiyo hali yaani hatuna haki kabisa, now tumekuwa jalala la matusi sii la Saba, fm4 failure, waliobahatika kupata vijikazi, wanatuona kama wajinga, wazazi jamii inayotuzunguka wote wanatuona mafala hakuna wakututetea.
Yaani ukitaka kuiona dunia chungu, maliza masomo/degree halafu usipate sehemu ya kujishikiza au mchongo wowote asee utachekwa hadi na watoto wadogo, najua wengi hasa graduate mnanielewa ninacho zungumzia, just imagine interview ya jana TRA watu wanaitwa zaidi ya elfu sita kugombania nafasi mbili kwa kweli inasikitisha.
Now hata nafasi za kujitolea kwenye makampuni hazipo yaani ebu fikiria mtu anajitoa kufanya kazi bila malipo lakini bado unakataliwa, sio tu kwenye makampuni makubwa, hata kufanya kazi kama kibarua kwenye miradi ya ujenzi napo bilabila, viwanda vidogo vya kufyatua tofali unakuta kumejaa.
Yaani kwa sasa mambo yamebana hata nafasi ya kufanya field ukiwa bado unasoma napo unaweza kukosa kabisa, kuna zile kazi za kupakua mizigo inayotoka mikoani kama magunia ya mpunga, viazi huko kote bila connection hata kama una phd dalali hakupi kazi.
Kilicho nisukuma niandike haya yote leo kuna jamaa yangu ninapokaa ametimuliwa na mama mwenye nyumba kisa kushindwa kulipa kodi. Jamaa yeye ni graduate wa ba education toka 2018 anauza matunda kwa wanafunzi wa chuo kwao ni Kigoma kisa Corona mambo yameenda vibaya kodi yake iliisha toka tarehe moja leo mama mwenye nyumba ameleta dalali wakakagua nyumba na vitu viko ndani akafukuzwa.
Jambo ambalo nataka kuwaambia magraduate wenzangu usikomalie tu kukaa Dar es Salaam ukiona maisha hayaeleweki rudisha mpira kwa kipa sio kukomaa kwenye hakuna, mikoani kuna fursa nyingi kuliko Dar es Salaam kwanini nasema hivyo, Dar es Salaam imeshakamatwa na wafanyabiashara wakubwa.
Waliobaki wengi ni machinga kama unataka kuamini nenda kesho Kariakoo, Ilala, Makumbusho, Gongo la mboto ujionee mwenyewe machinga walivyojazana.
Kuingia kwenye system ya kujiajiri hasa biashara ni rahisi sana kwa mji unaokua mfano Dodoma kuliko sehemu kama Dar es salaam ambayo tayari mabeberu walishaishika toka kitambo, jaribu kuangalia gharama za ulipaji pango, umeme, usafiri ndio utaelewa.
Yaani kodi tu ya fremu Dar sehemu ya uchochoroni unaambiwa laki 4 na dalali anataka ya mwezi mmoja,
Najua kuna madogo wengi watasoma hapa, nakwambia kabisa jaribu kutafuta ujuzi binafsi huko chini, ukiona kitabu hakipandi nenda veta, kasomee electronics/ ufundi simu, gerage/umeme wa magari, pikipiki, ufundi bomba, umeme majumbani, kupaka rangi, kutengeneza furniture/sofa hawa watu wana uhakika wa kuishi mjini vizuri kuliko graduate wa kwenye makaratasi.
Kariakoo pale kuna mtu ana masters nilimkuta anafundishwa kutengeneza simu na fm4 B tena pale kwenye msururu wa vile vimeza vilivyopangana pale njee, maisha yamempiga hatari,
Nihitimishe tu kwa kusema Mungu atujaalie na atutangulie tuweze kutimiza ndoto zetu na atuwezeshe kuvuka salama katika hiki kipindi cha mpito.
Mkuu pato hilo limeshikiliwa na watu wachache sana.
Watanzania wengi wanachezea level za burundi dola 300 per year kushuka chini kwa mwaka.