Graham Aitaka Udhibiti Kamili wa Hormuz, Akataa Mkataba Wowote na Iran

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,261
Reaction score
48,864
Seneta Lindsey Graham alisifu vizuizi hivyo kwa kuidhoofisha uchumi wa Iran na akataja mashambulizi ya IRGC dhidi ya meli kuwa ishara ya kukata tamaa. Alimtaka Rais Trump achukue udhibiti wa Mlango-Bahari wa Hormuz na kuendeleza vizuizi hivyo, huku akikataa mkataba wowote unaoruhusu Iran kurutubisha nyuklia."

Amesema hawa magaidi hawana adabu lazima watambue kuwa dunia si yao

Britanicca
1ea68e79-df55-4876-ab62-c69744db424e.jpeg
 
Hasa Iran wanamtishia nini?miaka zaidi ya 40 vikwazo kibao still bado yupo imara. Labda kilicho bakia wazibe anga wakose oksjeni sema ndio hivyo hawawezi.
La pili B mna shida hapo kichwani!! Kwa hiyo ndani ya hiyo miaka arobaini bandari za Iran zilikuwa hazifanyi kazi?
 
Kwani kosa la Iran ni nini hasa, maana mataifa kibao yanamiliki Nyuklia, Israeli inaongoza kwa ugaidi duniani kakini hakuna anaeilaumu wala kuichukia hatua.
 
Iran inamiliki Strait of Hormuz kisheria na kijiografia (legally & geographically grounded claim).

Strait of Hormuz siyo “international waters” kwa maana rahisi. Katika sehemu yake nyembamba zaidi, njia yote ya maji iko ndani ya territorial seas za Iran na Oman kila moja ikiwa na sovereign 12-nautical-mile zone.

Iran haijawahi kuridhia (ratify) mfumo wa United Nations Convention on the Law of the Sea (UNCLOS) na haikubali zile “transit passage rules” ambazo US wanalazimisha. Ironically, hata US yenyewe haijawahi kuridhia UNCLOS. Badala yake, Iran inatumia mfumo wa zamani wa innocent passage chini ya Geneva Convention on the Territorial Sea and the Contiguous Zone ya mwaka 1958, ambao unawapa coastal states mamlaka ya kisheria (legal authority) kudhibiti, na inapobidi kwa sababu za usalama, kuzuia au kusimamisha usafiri wa meli ndani ya maji yao.

Hii inampa Iran msingi imara wa kisheria (solid legal basis) wa kuweka strict control, kutoa warning shots, au kuzuia baadhi ya meli hasa zile zinazohusishwa na aggressors kama United States au Israel kama response kwa kile kinachoelezwa kama American naval blockade.

Licha ya kuwa strait iko shared na Oman
lakini kila nchi inatekeleza full sovereignty juu ya territorial waters zake za 12-nautical-mile.

Sera ya Oman upande wake haimfungi Iran upande wa kaskazini. Iran haiko katika hali ya “controlling the whole strait illegally.” Kile inachofanya ni regulating traffic ndani ya territorial waters zake yenyewe, exactly kama international law inavyoruhusu chini ya innocent-passage regime ambayo inaifuata.

Naval blockade ya Marekani dhidi ya bandari na meli za Iran ndiyo inachukuliwa kama actual aggression hapa. Iran inajibu hatua hiyo ndani ya maji yaliyo literally kwenye doorstep yake

Kwa kifupi: Iran haifanyi piracy katika “open sea.” Inadai kuwa inatekeleza haki zake kamili za kisheria na kisovereign kudhibiti na kulinda Strait dhidi ya uwepo wa kijeshi wa Marekani.

Baada ya ceasefire ya hivi karibuni, Iran imeingia katika phase mpya ya full sovereign management. Sasa inafanya active vetting ya kila vessel ikiomba taarifa kamili kuhusu crew, cargo, na destination na wakati huo huo ikizuia hostile au military shipping na ku-prioritise friendly traffic. Iran pia inaweka transit tolls (zinazofikia hadi $2 million kwa supertanker), zikilipwa kwa non-dollar currencies, jambo linaloonyesha attempt ya kubadilisha geographic advantage kuwa direct economic leverage.

Hapa ndipo ugomvi na US ulipo
US inapinga hali hii na inasisitiza kuwepo kwa absolute right of passage. Lakini, kisheria na kijiografia, taifa lenye sovereignty linatumia haki zake juu ya maji yaliyo karibu kabisa na mipaka yake.

Trump na wenzake wanaweza kusema “violation” na kutoa vitisho vya mashambulizi kadiri anavyotaka, lakini hoja hii inasisitiza kuwa ramani (the map), sheria (the law), na jiografia (geography) vinaegemea upande wa Iran na kwamba hali hiyo haitabadilishwa na rhetoric pekee.

Tukichukulia mfano wa Strait of Malaca
Strait of Malacca inadhibitiwa na Indonesia, Malaysia na Singapore. Nchi zote tatu zime-ratify hiyo UNCLOS na zimekubali transit-passage regime. Pia zinashirikiana kupitia joint traffic separation scheme.

Strait of Gibraltar is a different legal case altogether. Strait of Gibraltar inapakana na Spain upande wa kaskazini na Morocco upande wa kusini (pamoja na eneo la Gibraltar chini ya United Kingdom). Lakini tofauti kuu ni kwamba njia hii inaunganisha two major bodies of water i.e Mediterranean Sea na Atlantic Ocean na ni mojawapo ya the world’s most important international chokepoints.

Kisheria (legally speaking), nchi zote zinazozunguka Strait of Gibraltar zimekubali United Nations Convention on the Law of the Sea. Hii inamaanisha transit passage regime applies fully hapa. Under this regime, ships na aircraft wana right ya continuous and expeditious passage bila kuzuiwa hata kama wanapita ndani ya territorial waters.

Hii ni fully internationalized strait under modern law, siyo eneo la unilateral sovereign control

Strait of Hormuz iko tofauti. Iran haijawahi kuratify UNCLOS na imekuwa consistently ikikataa transit-passage rules ambazo US inalazimisha. Badala yake, inatumia mfumo wa zamani wa innocent passage chini ya Geneva Convention on the Territorial Sea and the Contiguous Zone, ambao unawapa coastal states haki wazi (clear right) ya kudhibiti au kuzuia shipping pale ambapo usalama wao unahatarishwa.

Oman inaweza kufanya inachotaka upande wake. Iran inafanya inachotaka upande wake
IMG_7237.jpeg
 
La pili B mna shida hapo kichwani!! Kwa hiyo ndani ya hiyo miaka arobaini bandari za Iran zilikuwa hazifanyi kazi?
Sawa la kwanza F, kwani mmempunguzia nini?Mbona hata sasa ipo vievile, China ndio mnunuaji mkubwa wa mafuta na gas ya Iran kwa 90% na kila siku meli zake zinapita, sasa ndio wamezuia nini?

Hamna cha kumtishia ,unafunga bandari wakati meli za China zinafanya zitakavyo, sasa ndio umezuia nini?
 
Kuna vitu hata kama hujasaini mkataba wa kimataifa bado unabanwa navyo under the customary international law.
 
Rome Statute of the International Criminal Court na Non-Prorifelation Treaty (NPT) pamoja na Treaty on the Prohibition of Nuclear Weapons (TPNW) mbona US na Israel hawafuati?
 
Mkuu,
Kinadharia upo sahihi lakini uhalisia haupo hivyo.

Bi Kiziwi hakushinda uchaguzi kama Katiba ya nchi inavyotaka, lakini yupo madarakani kwa ubabe, shuruti na mauaji ya maelfu ya Watanzania.

Russia kwa ubabe imekamata eneo kubwa tu la jirani yake Ukraine, na huenda ikalitaifisha mazima.

Israel ya sasa ina eneo kubwa kuliko ilivyokuwa 1948 kutokana na kujitanua kupitia ubabe, shuruti na kipigo kizito kwa jirani yake.

Hizo sheria za kimataifa ulizotaja zina nguvu na zina apply kwa "wanyonge" tu. Iran akiendelea kushupaza shingo atapigwa kama ngoma, atakuwa Gaza nyingine, Hormuz itakuwa wazi na itatumika vizuri tu na hakuna kitu atafanya
 
Hoja yako ina surface-level appeal, lakini ukiichambua kwa kina inaacha out a lot of structural realities za international relations.

Kuhusu Russia na Ukraine ni kweli kwamba Russia ilivamia Ukraine na kushikilia baadhi ya maeneo. Lakini kusema kwamba “imekamata tu na itaendelea” ni analytically shallow. The invasion triggered massive economic sanctions, diplomatic isolation, na long-term military attrition. Hii si scenario ya “ubabe bila consequences.”
In fact, Russia inalipa gharama kubwa sana in economic contraction, military losses na geopolitical standing.

Pili, suala la Israel tangu 1948 Arab–Israeli War ni far more complex kuliko narrative ya expansion kwa nguvu tu. Yes, kuna territorial changes, lakini hizo zilitokea ndani ya multiple wars, negotiated settlements, na unresolved disputes. Plus, Israel imekuwa under sustained international scrutiny, UN resolutions, diplomatic pressure, na hata internal debates.
So again, si “do whatever you want and walk away clean.”

Sasa kwenye claim ya “international law ina-apply kwa wanyonge tu” hii ni partially true but fundamentally incomplete.
Kuna power asymmetry kwenye global system, yes. Lakini kusema kwamba powerful states hawabanwi ni kupuuza cost-imposition mechanisms kama sanctions, alliances, reputational damage, na economic interdependence. Even great powers operate under constraints, haziko kwenye vacuum.

Iran ni kweli “atapigwa kama ngoma na kuwa Gaza nyingine” ni strategically inaccurate. Iran ni regional power yenye large population, significant military capability na network ya non-state allies across the Middle East. Pia ina leverage kwenye Strait of Hormuz, ambayo ni chokepoint ya global oil supply. Any full-scale conflict hapo itakuwa na global economic repercussions, si local event kama unavyoi-frame. Tayari athari imeanza kuonekana dunia nzima

Bottom line, dunia is not fair at all, realism inatuambia power matters. Lakini pia si rahisi kama “wenye nguvu wanafanya watakavyo bila backlash.” The international system ni messy, constrained, and cost-driven. Kila move kubwa ina ripple effects and those effects mara nyingi zinawazuia hata wenye nguvu kufanya wanachotaka moja kwa moja kwani zinawaathiri na wao pia
 
Back
Top Bottom