Grammy wamkataa Diamond Platnumz

wabongo tunaroho ya chuki hadi kujichukia Binafsi...no wonder hatuendelei..
Na wakipewa connection kutengeneza majungu kwa waliowasaidia ni watu wenye roho mbaya sana juzi tulienda sehemu tukakuta jamii ya Wasomali wapo pamoja maeneo mengi na matajiri tukasema ingekua wabongo hapo washapelekeana visa mpaka kuuana..
 
Huyu daimondo ni msanii mdogo huko duniani Bado anajitafuta, ukubwa wake ni hapa zuzu nation tu , taifa ambalo machawa na wasifiaji wanaishi good life kushinda hata wakuu wa mikoa
 
Kwa hiyo huyo mondi anaye jirembesha na kurembua siyo shoga bali mimi ninaye hona tatizo ndiyo shoga ? Labda ungenipa cheo cha ubasha kwa kutambua mashoga na dalili zao
Basha nae ni shoga rafiki…
 
Wabongo ukiwa chini wanakusaport ukianza kufanikiwa tu vita inaanza ,saiv watu wanafurahia anguko la kijana wao
 
Wasanii wanazingua sana kujihusisha na siasa za chama tawala
 
Nashauri Diamond Platinums, asikate tamaa.

Kwenye haya maisha, hutakiwi kukata tamaa hadi ufanikiwe lengo lako.

Kwa maoni yangu, iwapo Diamond Platinums akashinda hiyo tuzo, Tanzania nzima imeshinda.

Let's pray for him, Kwa maana yeye ndiyo mtu pekee anayeiwakilisha Tanzania nyanja za Kimataifa Kwa sasa.

Nina amini, atashinda Siku moja hata akiwa na miaka 45 ama 55
 
BORA AKATE TAMAA TU
TUNATAKA KIZAZI KIPYA
YEYE AKAGOMBEE UBUNGE WA MBAGARA
 
Diamond anaonekana ni msanii mkubwa ndani ya Tanzania tu ila huko nje ni underground, yani badoo sana
Siku zote ukijishikamanisha na kuunga mkono chochote kilicholaanika, nawe unabeba sehemu ya ile laana.

CCM kwa maovu yake yale ya kuteka na kuua wanaokosoa, kufisadi pesa za umma ambazo zilitakiwa kuboresha hali za watu, hasa maskini, imelaanika. Naye mwenye kushikamana nayo ili kuneemeka, anabeba sehemu ya hiyo laana.

Fuatilieni kuanzia sasa na siku zijazo.
 
Na wakipewa connection kutengeneza majungu kwa waliowasaidia ni watu wenye roho mbaya sana juzi tulienda sehemu tukakuta jamii ya Wasomali wapo pamoja maeneo mengi na matajiri tukasema ingekua wabongo hapo washapelekeana visa mpaka kuuana..
mbongo si wa kusaidia ,muda wote anawaza nafasi yako tu,uwe chini awe juu,badala ya kuukubali ukweli na aongeze juhudi ya kujifunza na kuwa royal
 
Basha nae ni shoga rafiki…
Basha siyo shoga ....wazungu ni washenzi wametumia ujanja wa lugha ili.kuficha ubakaji wa wavulana wadogo kunako sababisha hao wavulana baadae kuitwa mashoga, hivyo .. hapo kuna hekima na akili kubwa sana kuhusu👉 ....kwanini unadhani basha ni shoga pia ....mzungu katumia akili kwa kutumia lugha jumuishi hili isionekane kuwa kuunga mkono ushoga ni kuunga mkono ubakaji wa watoto unaofanywa na mabasha....hivyo kwa kizungu wakawaweka mabasha(wabakaji ) na mashoga(wabakwaji) kwenye kundi moja ili pasiwe na njia ya kuzuia ushoga ....nisawa sawa na nchi itunge sheria iseme msichana akibakwa ni muhalifu na mbakaji naye ni muhalifu hapo maana yake msichana atakapo bakwa atoweza kushitaki ? Hivyo mabasha wamefichwa nyuma ya ushoga ili kufanikisha ajenda yao ya kulinda chanzo cha ushoga ambacho ni mabasha.
 
BORA AKATE TAMAA TU
TUNATAKA KIZAZI KIPYA
YEYE AKAGOMBEE UBUNGE WA MBAGARA
Kumpata msanii mwenye juhudi kama yeye kwasasa inaweza kuchukua miaka mingi.

Bora yeye avumilie kidogo, hopefully baada ya miaka kadhaa ataenda kupewa hiyo tuzo
 
Hapo kwa taarifa mbaya kama hiyo kwa diamond watu hasa wabongo wanashangilia , hiyo ni dalili ya roho mbaya unapofurahia anguko la mtu mwingine
All in all wasaniii wote wa Sisiem anguko lao ntarifurahia 😅😅😅😅
 
Si walimkataa Puff didy
 


Grammy hawawezi kutoa kwa wimbo ambao ni mdondo uleule wa amapiano! Yaani mdundo mmoja na hakuna uandishi wowote wa maana. Sasa mlitaka apewe grammy kwa views au! Hii ni Grammy academy.

Tukitaka Grammy tutengeneze mizuri hata kama ni bongo flava sio hii midundiko na kujiganganya grammy walati mdundo ni mmoja tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…