Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Na wakipewa connection kutengeneza majungu kwa waliowasaidia ni watu wenye roho mbaya sana juzi tulienda sehemu tukakuta jamii ya Wasomali wapo pamoja maeneo mengi na matajiri tukasema ingekua wabongo hapo washapelekeana visa mpaka kuuana..wabongo tunaroho ya chuki hadi kujichukia Binafsi...no wonder hatuendelei..