Grammy wamkataa Diamond Platnumz

Grammy wamkataa Diamond Platnumz

Wenyewe Grammy recording Acardemy wametaja sababu ni
1 Nyimbo aliowasilisha 'komasava' kuwa hit na kua viral sio kigezo cha yeye kuingizwa kwenye vipengele vya tuzo hizo. Inabidi ie unatoa kazi constantly zinazofanya vizuri sio kwa hit moja iliofanya vizuri

2 Yye sio msanii bado si international artist bali ni msanii anaefanya vizuri afrika mashariki na kati. Tofauti na wasanii kama Biurnaboy, davido , wizkid , Rema, ambao wanajulikana duniani, kazi zao na show zinafanyila pande mbalimbali za dunia

3 licha ya Bongo fleva kuongezwa kwenye vipengele vya Grammy kama genre ya mziki kutoka Afrika. Wasanii wanaoimba mziki huo hawajautendea haki kuuonyesha IMPACT na nguvu yake katika dunia
Pamoja na mambo mengine, kutegemea Kiswahili pekee ni changamoto kubwa. Kwa nyimbo hizo hizo ambazo Diamond ameziimba kwa Kiswahili, angeziimba kwa Kiingereza angepiga show nchi nyingi zaidi.
 
Hapa Sasa tunaamini kwamba alitoka kuangalia move na pdidy chumbani akiwa msaaafiiiiiiii. Kwa kifupi ametuheshinisha wa bongo. Siyo kama wanaigeria.
 
Wenyewe Grammy recording Acardemy wametaja sababu ni
1 Nyimbo aliowasilisha 'komasava' kuwa hit na kua viral sio kigezo cha yeye kuingizwa kwenye vipengele vya tuzo hizo. Inabidi ie unatoa kazi constantly zinazofanya vizuri sio kwa hit moja iliofanya vizuri

2 Yye sio msanii bado si international artist bali ni msanii anaefanya vizuri afrika mashariki na kati. Tofauti na wasanii kama Biurnaboy, davido , wizkid , Rema, ambao wanajulikana duniani, kazi zao na show zinafanyila pande mbalimbali za dunia

3 licha ya Bongo fleva kuongezwa kwenye vipengele vya Grammy kama genre ya mziki kutoka Afrika. Wasanii wanaoimba mziki huo hawajautendea haki kuuonyesha IMPACT na nguvu yake katika dunia
Sababu hizi zina mashiko
 
Endelea kupumuliwa
Yaheee mbona wataka kunirudisha enzi zangu tena na wewe unavyo penda football nikikununulia vile vibuta vyenu rahini rahini kisha nikakuambia rukarukq kidogo ...bila shaka yoyote utakuwa mtamu tu
 
Anayebisha na abishe!
Ila si atavuna kwenye majukwaa ya CCM
 
Nadhani watu wanachofurahi ni kwa sababu CCM inakata majina ya wagombea kihuni na hivyo Mondy kukatwa inakuwa faraja kwao
 
Tunamchukulia poa kwa sababu tunajua katoka mtaani kwetu ila Nje Diamond anafahamika kuliko unavyodhania ni vile wasizwa hawapendi mafanikio ya msizwa mwenzao niliwahi kupita Vietnam kwenye godown zao wapo busy wanapiga nyimbo za Diamond na kosa la Wasizwa kumchukia ni kuingia kwenye mambo ya Siasa za Chama Tawala..
Hapo ndipo alipoksea, kujiingiza kwenye siasa wakati wewe ni msanii una mashabiki kutoka pande zote
 
Hapa Sasa tunaamini kwamba alitoka kuangalia move na pdidy chumbani akiwa msaaafiiiiiiii. Kwa kifupi ametuheshinisha wa bongo. Siyo kama wanaigeria.
Hehe kwahio burna boy tuhesabu hana vyeo
 
Tunamchukulia poa kwa sababu tunajua katoka mtaani kwetu ila Nje Diamond anafahamika kuliko unavyodhania ni vile wasizwa hawapendi mafanikio ya msizwa mwenzao niliwahi kupita Vietnam kwenye godown zao wapo busy wanapiga nyimbo za Diamond na kosa la Wasizwa kumchukia ni kuingia kwenye mambo ya Siasa za Chama Tawala..
wabongo tunaroho ya chuki hadi kujichukia Binafsi...no wonder hatuendelei..
 
Pamoja na mambo mengine, kutegemea Kiswahili pekee ni changamoto kubwa. Kwa nyimbo hizo hizo ambazo Diamond ameziimba kwa Kiswahili, angeziimba kwa Kiingereza angepiga show nchi nyingi zai

Diamond ana ukubwa wa jina tu ila kwa watu wanaojua muziki anafanya muziki wa kawaida sana, hasa eneo la uandishi anafeli san
Ni kweli kabisaa
 
Back
Top Bottom