Grand P amuonya mwanaume anayesemekana kuwa na ukaribu na mpenzi wake

Frumence M Kyauke

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2021
Posts
630
Reaction score
1,262
Star wa muziki kutoka nchini Guine Grand P amuonya mwanaume ambaye anashutumiwa kuwa na ukaribu na mpenzi wake


Grand P alinukuliwa akisema kuwa "Kaka yangu Roga Roga nina kuheshimu sana na ninafahamu vyema kua wewe ni raia kutoka Congo na ninawaheshimu sana wakongo lakini chombo unachojaribu kumiliki hakikufai kabisa , kamwe usijaribu ku enjoy na mke wangu lasivyo nitakufanyia kitu ambacho hutokaa usahau katika maisha yako na hii ni onyo tuu asante sana" πŸ™ πŸ™ πŸ™

Ikumbukwe kua Grand P na mpenzi wake walizungumziwa hivi karibuni kuwa wameachana huku wakionekana katika mitandao ya kijamii wakiwa pamoja na inadhihirisha kuwa Grand P bado anampenda baby wake

 
Hizo nyusi kama zimeungana na nywele.
 
Huyu ni msanii wa mchezo gani?
 
Hilo dangote grand p ataliweza peke yake[emoji15][emoji15][emoji15] wacha kamanda roga roga amsaidie kuliendesha
 
Hlo zigo la haja a.k.a tetemente huyo grand P haliwezi , acha tu wahuni wamsaidie ...!!
 
nilidhani grand Puba, kumbe kibaka flani wa kutoka west Africa, ebu achene kuiga majina
 
Hivi huyu Roga Roga si ndo alikuwa mpiga Solo wa Extra Musica?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…