Granit Xhaka ndio kiungo bora EPL kwa sasa

Granit Xhaka ndio kiungo bora EPL kwa sasa

MO11

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
19,057
Reaction score
39,387
Kwa mashabiki wa mpira
jamani huyu mswiss ni nuksi
Nilianza kumfuatilia kuanzia michuano ya Euro 2016
alikua ndani ya timu ndogo ila yeye ni mkubwa timu yake ilitoka makundi ila alikuwa ndani ya top 5 ya waliopiga pasi nyingi na zilizotimia

huu msimu wake wa pili tumuangalie Xhaka
sitaki kuongele mechi ya ngao ya hisani maana MOTM walimpa yeye na alistahili
yule jamaa alikimbia kati akamuacha Xhaka
 
hebu tuwekee statistic zake za msimu uliopita
 
Xhaka ni world class na ni captain material....
kilicho baki ni kumtafutia partner wa kucheza nae pale kati...
 
Back
Top Bottom