Kumbila medi
Member
- May 31, 2017
- 99
- 69
Majani ya mpapai hayo yanakusumbua!Hivi huyu shaka anaweza akamfikia mzamiru yassini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majani ya mpapai hayo yanakusumbua!Hivi huyu shaka anaweza akamfikia mzamiru yassini?
Huyo ni Bashite usimshangae mkuuDuhhh ata kama chuki zako zimezidi, taja kiungo au mchezaji yoyote alienunuliwa paun milion 300? Pia Xhaka hajaenda Arsenal bure, amenunuliwa £ 35 na istoshe amenunuliwa msimu uliopita sasa ulitaka team gani imtake ikiwa ndo kwanza mpya na ana miaka kibao kwenye mkataba
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Hivi huyu shaka anaweza akamfikia mzamiru yassini?
Waza kwa kutumia akili yako siyo viungo vya mwili wako. Ktk mashindano ya euro alikuwa Second kwa ubora baada ya mjerumani kroos aliyetoka ktk kikosi ambacho karibia wote ni nyota compared to xchaka. Acha wivu xchaka ni kiungo bora.Naona unataka kupamba mavi maua
Unasema kiungo bora kwa sasa, then tusubiri msimu ujao una maana gani?
Kiungo bora kwa kumfananisha na nani?
Toa takwimu zake na za unaomlinganisha nae.
Mpira ni takwimu sio porojo
Sent using Jamii Forums mobile app
Arsenal bhana...wako viungo wananunuliwa kwa paund mil 300 wamekaa kimya huyo wa bure ndio awe bora. Katika dirisha hili la uhamisho hakuna hata timu iliyomfikiria kumnunua hata kwa bure..halafu wewe unakaa hapo Manzese unakuja na siasa zako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Granit Xhaka's game by numbers vs. Leicester:Tushaanza sisi mashabiki wa Wenger kamechi kamoja tena kangao mbwembwe kibao,mechi za kirafiki tulikaa kimya,sasa tumeanza halafu tunaishia njiani mwezi wa pili tu,wote tutakuwa kimya,bora mie nimejijenga kisaikolojia kuitwa wa alhamisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamfananisha na viungo wenzake wa Arsenal au? Maana huwezi mlinganisha mtu yeye mwenyewe alafu useme yeye ndio boraGranit Xhaka's game by numbers vs. Leicester:
96 passes
6 crosses
5 chances created
4 shots
2 assists
mimi huwa sitoi credit kwa wachezaji wabovu
kwani mada inasemaje??Unamfananisha na viungo wenzake wa Arsenal au? Maana huwezi mlinganisha mtu yeye mwenyewe alafu useme yeye ndio bora
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera kwa kumshikisha adabuBlessed
Leo man city namshikisha adabu
Anaupiga mwingi Sana bwana MASHAKAXhaka ni world class na ni captain material....
kilicho baki ni kumtafutia partner wa kucheza nae pale kati...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]usishangae Barcelona wakaja kwa Xhaka
Kwa kweli muda ni wakati[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli muda umeongea [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]msisubiri mpaka wazungu wawaambie ndio muamini
time will tell
[emoji3][emoji3]
utovu wa nidhamu wa huyu jamaa unasikitisha...nafuta kauli xhaka amekua mzigo kwa sasa.