Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nampenda sana coquelin kwa sababu ni midfielder enforcer na analeta steel kwenye defence.
Vupo......soma kwa kinyumeNyie watoto wa Wenger mnasifiaga mizoga... Mzur kwa arsenal mbovu sio EPL ..nyie vipi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Taja kiungo wako hapa sio taarabNyie watoto wa Wenger mnasifiaga mizoga... Mzur kwa arsenal mbovu sio EPL ..nyie vipi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Xhaka anapokaa umeme hakunaGrant xhaka awez kuwa bora EPL atakua bora aseno mana Hakuna viungoo
England ina wakata umeme wengi Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Unasema kiungo bora kwa sasa, then tusubiri msimu ujao una maana gani?Kwa mashabiki wa mpira
jamani huyu mswiss ni nuksi
Nilianza kumfuatilia kuanzia michuano ya Euro 2016
alikua ndani ya timu ndogo ila yeye ni mkubwa timu yake ilitoka makundi ila alikuwa ndani ya top 5 ya waliopiga pasi nyingi na zilizotimia
huu msimu wake wa pili tumuangalie Xhaka
sitaki kuongele mechi ya ngao ya hisani maana MOTM walimpa yeye na alistahili
yule jamaa alikimbia kati akamuacha Xhaka
Duhhh ata kama chuki zako zimezidi, taja kiungo au mchezaji yoyote alienunuliwa paun milion 300? Pia Xhaka hajaenda Arsenal bure, amenunuliwa £ 35 na istoshe amenunuliwa msimu uliopita sasa ulitaka team gani imtake ikiwa ndo kwanza mpya na ana miaka kibao kwenye mkatabaArsenal bhana...wako viungo wananunuliwa kwa paund mil 300 wamekaa kimya huyo wa bure ndio awe bora. Katika dirisha hili la uhamisho hakuna hata timu iliyomfikiria kumnunua hata kwa bure..halafu wewe unakaa hapo Manzese unakuja na siasa zako.
Sent using Jamii Forums mobile app