kweli yule ngolo alikimbia kati akawa anakabia pembeniKweli kabisa. Ukiona zimwi anamkimbia binadamu, ujue huyo binadamu ndio Zimwi
Sent using Jamii Forums mobile app
Granit Xhaka Statistics | Premier Leaguehebu tuwekee statistic zake za msimu uliopita
Atasugua kwa segio hadi aache mpirausishangae Barcelona wakaja kwa Xhaka
Xchaka na Quoquelin.Xhaka ni world class na ni captain material....
kilicho baki ni kumtafutia partner wa kucheza nae pale kati...
Naona unataka kupamba mavi mauasergio huyu sio yule pia wanaweza kucheza pamoja Xhaka ni DCM na CM