Granit Xhaka ndio kiungo bora EPL kwa sasa

Xchaka na Quoquelin.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nampenda sana coquelin kwa sababu ni midfielder enforcer na analeta steel kwenye defence.
ila sioni kama partnership yake na xhaka ikifanya kazi, coquelin siyo creative sana anahitaji kiungo ambaye ni mjanja mjanja kama Cazorla,Wilshere,Iniesta etc mtu anayeweza kutoka kwenye tight spaces na kumsaidia Coq kila anapo kua amekaba.
Xhaka ni dizaini ya akina kroos,pirlo,alonso na xavi....
yeye ni kama maestro(choral director) mpira ukiwa mguuni mwake ni kama kashikilia baton.
Ana set tempo ya team.
 
Xhaka ni mzuri ila sio kwa kupewa sifa za kiungo bora wa EPL.

Mimi huwa namuona yupo kundi moja na akina Danny Drinkwater.
msisubiri mpaka wazungu wawaambie ndio muamini
time will tell
 
Kwa ligi ya EPL ukishajua kupokea , kukaa na kutawanya mipira ni lazima wakuite kiungo bora ...
 
Unasema kiungo bora kwa sasa, then tusubiri msimu ujao una maana gani?

Kiungo bora kwa kumfananisha na nani?

Toa takwimu zake na za unaomlinganisha nae.

Mpira ni takwimu sio porojo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arsenal bhana...wako viungo wananunuliwa kwa paund mil 300 wamekaa kimya huyo wa bure ndio awe bora. Katika dirisha hili la uhamisho hakuna hata timu iliyomfikiria kumnunua hata kwa bure..halafu wewe unakaa hapo Manzese unakuja na siasa zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Xhaka mzuri ila pale Real Madrid kuna mapacha watatu bora duniani kwa sasa (casemiro, modric, toni Kroos)...
 
Tushaanza sisi mashabiki wa Wenger kamechi kamoja tena kangao mbwembwe kibao,mechi za kirafiki tulikaa kimya,sasa tumeanza halafu tunaishia njiani mwezi wa pili tu,wote tutakuwa kimya,bora mie nimejijenga kisaikolojia kuitwa wa alhamisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duhhh ata kama chuki zako zimezidi, taja kiungo au mchezaji yoyote alienunuliwa paun milion 300? Pia Xhaka hajaenda Arsenal bure, amenunuliwa £ 35 na istoshe amenunuliwa msimu uliopita sasa ulitaka team gani imtake ikiwa ndo kwanza mpya na ana miaka kibao kwenye mkataba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…