Granit Xhaka ndio kiungo bora EPL kwa sasa

Granit Xhaka fundi yule wa dimba la chini, mtu wa kazi.....Mzee wa kugawa mipira, Mzee wa mawe nadhani msimu huu watu watamuona kwamba ametimia kwenye dimba la kati
 
Nachompendea Xhaka anapiga hata mbali, uwezo anao pia tatizo lake ni jinamizi la red kadi
 
Unasema kiungo bora kwa sasa, then tusubiri msimu ujao una maana gani?

Kiungo bora kwa kumfananisha na nani?

Toa takwimu zake na za unaomlinganisha nae.

Mpira ni takwimu sio porojo

Sent using Jamii Forums mobile app
Granit Xhaka's game by numbers vs. Leicester:
96 passes
6 crosses
5 chances created
4 shots
2 assists

mimi huwa sitoi credit kwa wachezaji wabovu
 
Blessed

Leo man city namshikisha adabu
 
usishangae Barcelona wakaja kwa Xhaka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa kweli muda ni wakati

Haya maneno ni mashudu first grade [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…