Ila liver walikuja kubadilika Sana,walikua wanatafuta goli kwa hasira Sana,afe kipa are beki,arsenal wangekua wazembe kipindi Cha pili wangepigwa ata tano
Hatuwezi kukataa maoni ya watu maana hata mtabiri nguli aliyetabiri ushindi wa Argentina na baadhi ya makombe alisema Man utd itachukua ubingwa na sio Man city wala Arsenal.
Tambua hata Man city pale Anfield alipata tabu sana hivyo ni kawaida ya Liverpool kukamia Mechi kubwa.
Mimi kama shabiki wa Arsenal until the final whistle ya mechi ya mwisho ndo ntajua sisi wa mabingwa au laah.
Wengi wenu ni porojo na mitazamo yenu ya kizamani ,Man city uwezo wa kufungwa au kudraw na timu yeyote kati ya zilizobaki upo mkubwa hakuna uwezekano wa kushinda mechi zote ..
Kama angekuwa na uwezo huo basi angekuwa juu pale kitambo.
Winning mentality kwa arsenal haipo hata mbinu ya catching up Liverpool with surprise counter attacks hawakuwa nayo, kisaikolojia walijiandaa kwa draw na kufungwa, Arsenal sio wazuri wa ball recovery wakipoteza umiliki, second half was extremely poor for arsenal. No winning intent, more absence on final third, no shooting, Chelsea watampiga Arsenal
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.