Grano Caffe Vs UDASA Club

Sina haja ya Kujua....Mbona huwa hatuwakuti pale Grano Coffee hata kwa bahati Mbaya. Tunawakuta UDASA na pale Opposite ya UDBS tu....Hivyo jibu unalo mwenyewe hapo.
Wanalipwa vizuri tu sema hawajaekewa vitu vizuri around ,hapo udasa pako jivyo huu mwaka wa 30 ubunifu zero
 
Kuweka mgahawa wa kisasa pale ni hasara, nani atanunua kahawa kwa TZS 5,000 hadi 10,000 kwa kikombe wakati pembeni kuna chai ya TZS 200 na vitumua vya TZS200, pale Granno kachumbali pekee inaanzia TZS 15,000 wakati hilo sosi la kwenye picha UDASA ni TZS 2,500/=
 
PhD zimejaa pale Ila usafi wa Choo tu ni ishu
 
Silver sands Hotel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…