Pole sana.Kwenye hii dunia hakuna watu wakatili kama waarabu unaowaramba matako kila uchao!!
Mimi ninashabikia haki, usawa, amani, uhuru, nk. Haya ya magaidi wauajo wa Hamas, nadhani ni ya kwako.Pole wewe unayeshabikia magaidi wauaji wa Hamas
Sishabikii mauaji, au utekaji uliofanywa na hao Hamas kwa raia wasio na hatia! Lakini pia siungi mkono dhuluma, uonevu, ukandamizwaji, unyanyasaji, mateso, ukatili na mauaji ya halaiki wanayofanyiwa Wapalestina na Mayahudi.Haki gani walitenda hao magaidi Oct 07,2023?
Hapa Tanzania watu wanafirwa, kung'olewa meno, kucha, kutekwa na kuuawa kikatili kisha kutupwa wakiwa wamefungwa kwenye viroba hapo unazungumziaje jinsi Watanzania walivyo makatili?Baada ya Magaidi wa Hamas kushindwa kwenye vita waliyoianzisha wao wenyewe Oct 07,2023 sasa hivi wamewageukia raia wasio na hatia kwa kuwapiga na kuwaua kwa njia za kutisha kabisa.
Ukiondoa ukatili walio wafanye a wayahudi Oct 07,2023 sasa hivi magaidi hao wanawafanyia watu wao wenyewe kwa kuwavunja Mikono na Miguu kutumia chuma. Kama magaidi hao wanaweza kufanyiana ukatili mkubwa namna hiyo je mtu mwingine itakuwaje?
Napiga picha ya waliomfanyia Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel waliamua kikatili kabisa na ingekuwa Serikali zingine hata ilikuwa sawa kuvunja uhu siano na magaidi hao.
Kwa hiyo wewe baada ya Oct 07,2023 ulitaka Majeshi ya Israel wawaimbie Mapambio magaidi hao tu? Au ulitaka Israel isalimu Amri kwa magaidi hao?Sishabikii mauaji, au utekaji uliofanywa na hao Hamas kwa raia wasio na hatia! Lakini pia siungi mkono dhuluma, uonevu, ukandamizwaji, unyanyasaji, mateso, ukatili na mauaji ya halaiki wanayofanyiwa Wapalestina na Mayahudi.