Greatest Afcon XI, nani kasahaulika?

Greatest Afcon XI, nani kasahaulika?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Mtandao wa GiveMeSport wametoa kikosi bora cha wachezaji ambao wamewahi kucheza Afcon mbalimbali. Je unaungana nao au unapingana nao? Kama unapingana nao, tuambie ni mchezaji gani amekosekana kikosini?

0FD82928-F3F4-4EE7-A97B-46C9EBE26EA2.jpeg
 
Naungana na wewe mkuu! Tumuweke nafasi ya nani hapo? Nipe hoja mzee
Kwa mfumo huo jinsi ulivyo.. hapo kwenye mido ya chini(6) kuna wachezaji wawili wanagombea hapo ni toure yaya na essien, kwangu mimi toure yaya ni zaidi, hivyo hapo toa essien shusha chini toure yaya, mtie okocha atambe hapo juu, afanye kazi zake za msingi.
 
Back
Top Bottom