Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #21
Khalilou FadigaKalidou Fadiga, dah mkuu umenikumbusha mbali sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khalilou FadigaKalidou Fadiga, dah mkuu umenikumbusha mbali sana
Kwanini?😂😂Waandaji wa hiyo list ni wa mchongo
Kanu ana nafasi yakewajumbe wamekula rushwa, iweje wamkate Nwanko Kanu kwenye list?
Ulimaanisha Rigobert Song?L song
Mwanangu Mustafa Hadji wa moroco simuoni hapo, list ya mchongo hiiWaandaji wa hiyo list ni wa ovyo kabisa.
Hivi Drogba, Essien, TOure wawili wanafanya nini hapo? wmewahi kufanya nini cha mana kwenye AFCON? Hiyo list unamuachaje Ahmed Hassan wa Egypt , ambae ni four time winner, Goma? Aboutrika? Patrick Mboma? Hossam Hassan? Hosny?
Waandaji wa hiyo list ni wa ovyo kabisa.
Hivi Drogba, Essien, TOure wawili wanafanya nini hapo? wmewahi kufanya nini cha mana kwenye AFCON? Hiyo list unamuachaje Ahmed Hassan wa Egypt , ambae ni four time winner, Goma? Aboutrika? Patrick Mboma? Hossam Hassan? Hosny?
Wael GomaaMtandao wa GiveMeSport wametoa kikosi bora cha wachezaji ambao wamewahi kucheza Afcon mbalimbali. Je unaungana nao au unapingana nao? Kama unapingana nao, tuambie ni mchezaji gani amekosekana kikosini?
View attachment 2070654
Eti wahuni😂😂Wael Gomaa
Ahmed Hassan
Mohamed Abouterika
Hao watu watatu kukosekana kwenye hicho kikosi kinakuwa hakina maana hao watu watatu wanamakombe mengi ya Afcon kuliko hao wahuni wote waliowekwa hapo.
Hata sub haingiiMnasemaje kuhusu Alhaj Diof?
Toa Toure hapo weka Rigobert SongRigobert SongView attachment 2071093
Yes ni wahuniEti wahuni[emoji23][emoji23]
Huyu mwarabu aboutrika alikua hatari sana.Waandaji wa hiyo list ni wa ovyo kabisa.