Greatest Afcon XI, nani kasahaulika?

Naungana na wewe mkuu! Tumuweke nafasi ya nani hapo? Nipe hoja mzee
Kwa mfumo huo jinsi ulivyo.. hapo kwenye mido ya chini(6) kuna wachezaji wawili wanagombea hapo ni toure yaya na essien, kwangu mimi toure yaya ni zaidi, hivyo hapo toa essien shusha chini toure yaya, mtie okocha atambe hapo juu, afanye kazi zake za msingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…