Greatest Afcon XI, nani kasahaulika?

  • Joseph. Antoine BELL. Goalkeeper.
  • Andre. KANA-BIYIK. Midfield.
  • Jules. Denis ONANA. Defender.
  • Benjamin. MASSING. Defender.
  • Bertin. EBWELLE. Defender.
  • Emmanuel. KUNDE. Defender.
  • Francois. OMAM-BIYIK. Forward.
  • Emile. MBOUH. Midfield.
  • Benny Macarthy
  • Effort Chabala
  • Kalusha Bwalya
  • Mahammoud Abbas
  • Josephat Murilla
  • JJ Massiga
  • Amrose Ayoyi
  • Hao wote watafutie nafasi naomba























 
Waandaji wa hiyo list ni wa ovyo kabisa.
Hivi Drogba, Essien, TOure wawili wanafanya nini hapo? wmewahi kufanya nini cha mana kwenye AFCON? Hiyo list unamuachaje Ahmed Hassan wa Egypt , ambae ni four time winner, Goma? Aboutrika? Patrick Mboma? Hossam Hassan? Hosny?
 
Mwanangu Mustafa Hadji wa moroco simuoni hapo, list ya mchongo hii
 

Hawa wameangalia Afcon kuanzia enzi za kina Messi na Ronaldo......
Hawamjui Jay Jay Austine Okocha wala Hossam Hassan.......
Ile Nigeria yenye kikundi bora cha ushangiliaji kama mkuu unakumbuka tarumbeta zao.
 
Mtandao wa GiveMeSport wametoa kikosi bora cha wachezaji ambao wamewahi kucheza Afcon mbalimbali. Je unaungana nao au unapingana nao? Kama unapingana nao, tuambie ni mchezaji gani amekosekana kikosini?

View attachment 2070654
Wael Gomaa
Ahmed Hassan
Mohamed Abouterika

Hao watu watatu kukosekana kwenye hicho kikosi kinakuwa hakina maana hao watu watatu wanamakombe mengi ya Afcon kuliko hao wahuni wote waliowekwa hapo.
 
Huyu mwarabu aboutrika alikua hatari sana.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…