GREATWALL GARDENS: Ngong Road units to be tallest residential property in City!

Hahahahaha, you know better than this man?, au hapa alikua ameshavuta?
 
Unajidanganya mwenyewe kusema Kenya imeendelea bro,nmesema nchi zilizoendelea zinauhakika wa chakula kenya Hamna kitu kama icho so utakua punguani kujiita umeendelea wakat hujiwez kilishe
 
Nchi zilizoendelea wana uhakika wa chakula,Ni Kenya tu ndio hutegemea kununua chakula Tz,Mexico na nchi zingine...wewe usiwe kama huna akili kichwani...Limeni yetu tutatafuta masoko pengine mnakwama wapi Kwan
kwhyo unataka kunihakikishia marekani hakuna hata mtu mmoja anayelala njaa...nasubiria jibu la mtanzania...najua kuna mafala wata quote na kujibu vituko
 
Kwani hawa watu ni food food food huona?
Mtu analima mahindi 21st century akitarajia kuwa rich?
Njaa Kenya hutokea places arid like 10 counties with less population.
Zingine zote ziko stable.
Na si lazima ulime,kama uko na uwezo wa kununua.
It's 21st century not 1980
 
Again tell me how decent housing projects are "stupid"? Kwa vile ushakubali it's amongst the basic needs.
Mlipaswa mwende kwenye slums mkawajengee nyumba za bei nafuu, badala ya kujenga hayo skyscrapers. Kumbuka hizo skyscrapers 3 zinaweza kujenga nyumba zote za Kibera zenye vyumba viwili each, nendeni muona serikali ya South Afrika inavyopambana kumaliza slums. Acheni kufikiria maisha ya juu wakati 75% ya wakenya ni wakulima wanaishi katika nyumba za mabati.
 
😂😂😂😂.......... Kenya haina uhaba wa chakula.... huwa kunakua na upungufu wa mahindi au unga wa mahindi wa kupikia ugali ambayo ndiyo ni staple food ya Kenya.

Dumbass you smoke dung
 
kwhyo unataka kunihakikishia marekani hakuna hata mtu mmoja anayelala njaa...nasubiria jibu la mtanzania...najua kuna mafala wata quote na kujibu vituko
Kua na chakula cha uhakika Ilo ni jambo moja,kula au kutokula ni jambo lingine
 
Kila mtu akisema atanunua utanunua upepo mwishowe,kwahyo kama unahitaji kila basi kilimo Ni muhimu usidharau
 
you are one thick human, na hizo si skyscrappers ni just highrise. They are cheap houses, and many more zitajengwa, going up is the only way coz of space
 
Kua na chakula cha uhakika Ilo ni jambo moja,kula au kutokula ni jambo lingine
heheeeee...changanua hicho ulichokiandika..ama wacha nikusaidie kidogo...vyote huletwa na nn...leo nataka kujua uwezo wako wakujadili mada kijanja
 
Tokea umejiunga JF sijawahi kuona comment yako hata moja yenye mantiki, hivi una akili timamu kweli? You look Dumbass as rock even at schools

Ugali is the East African staple food then you are questioning about the success in farming corns? Are you mad? I know good number of people who are quite successful just in farming only maize.
 
heheeeee...changanua hicho ulichokiandika..ama wacha nikusaidie kidogo...vyote huletwa na nn...leo nataka kujua uwezo wako wakujadili mada kijanja
My fren soko la ndani Ni muhimu sana,jirani akishajua unamtegemea kwa unga anaanza kukusumbua lakin vp kama na ww unawako? Mnaheshimiana
 
nimefikiria ni serika ya tanzania ndio inafanya miradi kumaliza uswazi houses..kumbe sauzi...
 
My fren soko la ndani Ni muhimu sana,jirani akishajua unamtegemea kwa unga anaanza kukusumbua lakin vp kama na ww unawako? Mnaheshimiana
sasa lini umesikia kenya madukani hamna vyakula..naona mnajichanganya tu...km ni wa turkana na zile county zngine...90% ya hao watu wote ni wafugaji...na wao pia wanaishi mwiituni na wala si wa kulima...hawatulii mahali moja...wengi wao hawajihusishi na biashara ya aina yyote ile na hutegemea matunda ya mwituni...so hapo ukame unapokuja huaga hauwaachi salama...

so serikali na hao jamaa itabidi wabadilike..watafute jinsi watajihusisha na mambo yao na hku wakijishughulisha na hata km ni biashara au ukulima...

juzi nimeona katika habari turkana kuna baadhi ya watu wameanza kujihusisha na kilimo..hilo jambo limenifurahisha...
 
you are one thick human, na hizo si skyscrappers ni just highrise. They are cheap houses, and many more zitajengwa, going up is the only way coz of space
Anzeni ni chakula kwanza, sasa kama watu wanakufa kwa njaa, hizo nyuma wataishi nani?.

Hahahahaha sio skyscrapers are just highrise,. Kenye hakuna corruption, just kitu kidogo. Hahahahaha, is not a tribalism, we are just identify ourselves according to our tribes, Hahahahaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…