Food, clothing and "SHELTER" are the basic needs! Tell me how this is a stupid project?
List them in the number of their priority [emoji12]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Food, clothing and "SHELTER" are the basic needs! Tell me how this is a stupid project?
Hahahahaha, you know better than this man?, au hapa alikua ameshavuta?Kwanza shukrani kwa kutambua kua Kenya ni nchi mojawapo kati ya nchi zilizoendelea.
Pili, Kenya haina uhaba wa chakula. Vyakula vyote vipo isipokua huwa kunakua na upungufu wa mahindi au unga wa mahindi wa kupikia ugali ambayo ndiyo ni staple food ya Kenya.
Lima mahindi nitanunua kutoka kwako.
Unajidanganya mwenyewe kusema Kenya imeendelea bro,nmesema nchi zilizoendelea zinauhakika wa chakula kenya Hamna kitu kama icho so utakua punguani kujiita umeendelea wakat hujiwez kilisheKwanza shukrani kwa kutambua kua Kenya ni nchi mojawapo kati ya nchi zilizoendelea.
Pili, Kenya haina uhaba wa chakula. Vyakula vyote vipo isipokua huwa kunakua na upungufu wa mahindi au unga wa mahindi wa kupikia ugali ambayo ndiyo ni staple food ya Kenya.
Lima mahindi nitanunua kutoka kwako.
nitajie lini serikali ya tanzania ililisha hta kata moja..bwahahaaaHahahahaha, taja nchi yoyote hapa Africa ambayo wananchi wake wanakufa kwa njaa na haina "civil war"
kwhyo unataka kunihakikishia marekani hakuna hata mtu mmoja anayelala njaa...nasubiria jibu la mtanzania...najua kuna mafala wata quote na kujibu vitukoNchi zilizoendelea wana uhakika wa chakula,Ni Kenya tu ndio hutegemea kununua chakula Tz,Mexico na nchi zingine...wewe usiwe kama huna akili kichwani...Limeni yetu tutatafuta masoko pengine mnakwama wapi Kwan
Hahahahaha, you know better than this man?, au hapa alikua ameshavuta?
Mlipaswa mwende kwenye slums mkawajengee nyumba za bei nafuu, badala ya kujenga hayo skyscrapers. Kumbuka hizo skyscrapers 3 zinaweza kujenga nyumba zote za Kibera zenye vyumba viwili each, nendeni muona serikali ya South Afrika inavyopambana kumaliza slums. Acheni kufikiria maisha ya juu wakati 75% ya wakenya ni wakulima wanaishi katika nyumba za mabati.Again tell me how decent housing projects are "stupid"? Kwa vile ushakubali it's amongst the basic needs.
Nimeelewa kwamba, Kenya produces more food than it needs, and it exports surplus to Alshabab.wuhuhuuuu...umeelewa nn wewe katika hicho ulichokileta..kingereza jamani tabu...
😂😂😂😂.......... Kenya haina uhaba wa chakula.... huwa kunakua na upungufu wa mahindi au unga wa mahindi wa kupikia ugali ambayo ndiyo ni staple food ya Kenya.Kwanza shukrani kwa kutambua kua Kenya ni nchi mojawapo kati ya nchi zilizoendelea.
Pili, Kenya haina uhaba wa chakula. Vyakula vyote vipo isipokua huwa kunakua na upungufu wa mahindi au unga wa mahindi wa kupikia ugali ambayo ndiyo ni staple food ya Kenya.
Lima mahindi nitanunua kutoka kwako.
Kua na chakula cha uhakika Ilo ni jambo moja,kula au kutokula ni jambo linginekwhyo unataka kunihakikishia marekani hakuna hata mtu mmoja anayelala njaa...nasubiria jibu la mtanzania...najua kuna mafala wata quote na kujibu vituko
Kila mtu akisema atanunua utanunua upepo mwishowe,kwahyo kama unahitaji kila basi kilimo Ni muhimu usidharauKwani hawa watu ni food food food huona?
Mtu analima mahindi 21st century akitarajia kuwa rich?
Njaa Kenya hutokea places arid like 10 counties with less population.
Zingine zote ziko stable.
Na si lazima ulime,kama uko na uwezo wa kununua.
It's 21st century not 1980
you are one thick human, na hizo si skyscrappers ni just highrise. They are cheap houses, and many more zitajengwa, going up is the only way coz of spaceIt is
1)Food
2)Shelter
3) Clothes
Are you done with food?, your people are dying from hunger, instead of making sure Galana kulalu is complete, you abandoned it instead you are coming with skyscrapers. Why GoK is doing nothing to give decent housing to millions of Kenya who live in slums, instead it comes with very expensive skyscrapers which majority of them will be rented to foreigners or few rich Kenyans?
heheeeee...changanua hicho ulichokiandika..ama wacha nikusaidie kidogo...vyote huletwa na nn...leo nataka kujua uwezo wako wakujadili mada kijanjaKua na chakula cha uhakika Ilo ni jambo moja,kula au kutokula ni jambo lingine
Tokea umejiunga JF sijawahi kuona comment yako hata moja yenye mantiki, hivi una akili timamu kweli? You look Dumbass as rock even at schoolsKwani hawa watu ni food food food huona?
Mtu analima mahindi 21st century akitarajia kuwa rich?
Njaa Kenya hutokea places arid like 10 counties with less population.
Zingine zote ziko stable.
Na si lazima ulime,kama uko na uwezo wa kununua.
It's 21st century not 1980
punguza hasira basi swahiba...usi catch ma feelings ka dem...mbna swali mboga hiloNimeelewa kwamba, Kenya produces more food than it needs, and it exports surplus to Alshabab.
My fren soko la ndani Ni muhimu sana,jirani akishajua unamtegemea kwa unga anaanza kukusumbua lakin vp kama na ww unawako? Mnaheshimianaheheeeee...changanua hicho ulichokiandika..ama wacha nikusaidie kidogo...vyote huletwa na nn...leo nataka kujua uwezo wako wakujadili mada kijanja
nimefikiria ni serika ya tanzania ndio inafanya miradi kumaliza uswazi houses..kumbe sauzi...Mlipaswa mwende kwenye slums mkawajengee nyumba za bei nafuu, badala ya kujenga hayo skyscrapers. Kumbuka hizo skyscrapers 3 zinaweza kujenga nyumba zote za Kibera zenye vyumba viwili each, nendeni muona serikali ya South Afrika inavyopambana kumaliza slums. Acheni kufikiria maisha ya juu wakati 75% ya wakenya ni wakulima wanaishi katika nyumba za mabati.
sasa lini umesikia kenya madukani hamna vyakula..naona mnajichanganya tu...km ni wa turkana na zile county zngine...90% ya hao watu wote ni wafugaji...na wao pia wanaishi mwiituni na wala si wa kulima...hawatulii mahali moja...wengi wao hawajihusishi na biashara ya aina yyote ile na hutegemea matunda ya mwituni...so hapo ukame unapokuja huaga hauwaachi salama...My fren soko la ndani Ni muhimu sana,jirani akishajua unamtegemea kwa unga anaanza kukusumbua lakin vp kama na ww unawako? Mnaheshimiana
Anzeni ni chakula kwanza, sasa kama watu wanakufa kwa njaa, hizo nyuma wataishi nani?.you are one thick human, na hizo si skyscrappers ni just highrise. They are cheap houses, and many more zitajengwa, going up is the only way coz of space