Green card inakupa ukazi wa kudumu wa Marekani Yani unakuwa permanent resident wa Marekani na ukisha kuwa na green card unaruhusiwa kufanya kazi yeyote ile nchini Marekani ya kukuingizia kipato kama raia wengine wa Marekani bila bugudha wala hutahitaji tena kuwa na vibali vya kufanya kazi Marekani.Utapewa green card na kitu inaitwa "Social security" baada ya hapo ni kufanya kazi uwezavyo kusaka $Dolaa.....
Pia ukishapata green card, Hutakiwi kuwa nje ya Marekani kwa muda unaozidi Miezi 6 bila kutoa taarifa kwa wahusika..Hivyo kama utahitaji kuwa nje ya Marekani kwa muda utakao zidi miezi 6 lazima utoe taarifa ya kwamba hutakuwepo kwa kipindi cha zaidi ya miezi 6...Ila chini ya miezi 6 Unaruhusiwa kuwa nje ya Marekani kufanya ishu zako nyingine ila usizidishe muda wa miezi 6.
NOTE: Ukiwa na green card unatambulika kama mkazi wa kudumu wa Marekani na sio Raia wa Marekani.Ku apply green card ni bure kila mwaka mwezi wa kumi kwanzia tarehe 5 hadi tarehe 8 mwezi wa kumi na moja.Dirisha la ku apply bado lipo wazi sasa mpaka tarehe 8 Mwezi huu wa 11 litakapo fungwa rasmi. Ku apply ni bure kabisa. Ila ukihitaji kufanyiwa application gharama zitakuwepo kidogo kulingana na huyo utakaye Muomba akusaidie.
Ukishinda green card andaa HELA ya kutosha nasisitiza hapa, Andaa HELA ya kutosha ku process vitu kama Medical fee, Green card fee, interview fee,Air ticket,Hela ya kuanzia life Marekani na caution money usisahau..At least 10M zinatosha ku move from Tanzania to USA.
Kila la kheri.....