cassavaleaves
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 1,799
- 2,237
Kwa kifupi sijui lengo lake! Sijasema kila mtu lazima akitaka kufanikiwa aje US, nalosema ukiona options za nyumbani ngumu jaribu nje! Wanageria, Wakenya na watu nje ya Afrika wanafanya hivyo!
Jamaa hataki kabisa kusikia, na anakuja na very primitive arguments! Eti uzalendo! Uzalendo utasomesha watoto wako? Uzalendo utakupa mahitaji yako unayotafuta maishani?
Ukishindwa jambo unatafuta options nyingine,ndio nacho jaribu kusema hapa! Lakini naona nazungumza Kichina!
Hizi ndizo labor laws za Texas kuhusu ubaguzi! Ukiwa na ushahidi kuwa umebaguliwa ni kesi ngumu sana! Sasa jamaa anatisha watu ubaguzi, ubaguzi! Haijui Marekani
Ni sawa kujichagulia kutokana na mipango na pengine background yako, lakini kusema nyumbani kwenu hakustahili kuishi mtu ni kuvuka mipaka. Hatuwezi kuipiga mnada Tz na watu wote tukahamia nchi za waliokuwa na umeme wa uhakika. Nilikuwa na jamaa yangu hivi majuzi tu alikuwa akijisifu kuwa watoto wake wako Marekani, lakini alikuja ikafikia hatua anatuhitaji sisi na watoto wetu ambao tuko tanzania tumsaidie kumuuguza, kumgeuza na kumvalisha. Hata alipokufa watoto wake jamii iliwaona sio kitu kwakuwa hawakuwepo around jamii inawahitaji. Hela sio kila kitu bro, haiwezi kununua kila kitu binadamu anachokihitaji all the time everyday.Unapotaka kubadili hali yako ya maisha, inabidi ufanye uamuzi mgumu, mojawapo ni ka kuondoka nchini kwako, jamaa zangu hawaoni hilo!
imenibidi nicheke kwa sauti kwa hiki ulichokiandika!Kavulata: Watoto wangu wananiona ni super dad! genius dad! Kila mara wananiuliza niliwazaje kuwatoa Tanzania
Almost 75% ya wenzao hawana kazi, wanangu walichukua P3 zao na kutuma kwa mtu ambaye ni graduate ili awe anachezesha game kupata pesa!
Huwa wanashangaa kuna baadhi ya ndugu zao hawako Wassup, kisa hawana smart phone, na wakiwa na smart phone hawana bundle! Inakuwa ni kazi kuwaeleza!
Ahhh Critical thinker upo? Unajua ni katika professional gani? Maana umekaa Marekani! Anyway hakuna mgao leo?tofautisha kati ya inayotakiwa kuwa na ilivyo. Hata leo hii hapo ulipo wanawake wanalalamika kupewa malipo pungufu na wanaume kwa kazi moja na qualification moja.
Sikujua hata kama unajua Biblia? Unapowanyima watu uthubutu, ujasiri, kutoka na kujaribu, kwangu unabakia mtu wa ajabu?Ni sawa kujichagulia kutokana na mipango na pengine background yako, lakini kusema nyumbani kwenu hakustahili kuishi mtu ni kuvuka mipaka. Hatuwezi kuipiga mnada Tz na watu wote tukahamia nchi za waliokuwa na umeme wa uhakika. Nilikuwa na jamaa yangu hivi majuzi tu alikuwa akijisifu kuwa watoto wake wako Marekani, lakini alikuja ikafikia hatua anatuhitaji sisi na watoto wetu ambao tuko tanzania tumsaidie kumuuguza, kumgeuza na kumvalisha. Hata alipokufa watoto wake jamii iliwaona sio kitu kwakuwa hawakuwepo around jamii inawahitaji. Hela sio kila kitu bro, haiwezi kununua kila kitu binadamu anachokihitaji all the time everyday.
kama umepata nafuu sawa lakini usiwape hope iliyopitiliza kuwa huko hakuna tatizo mambo yote ni tambarare kwa lengo la kuvutia vijana wapande boti wafie majini. Mimi nimeishi huko miaka 15 kwa kushawishiwa lakini nikaona sio sawa, na kila mke wangu akipata ujauzito nilikuwa namwambia nenda kajifungulie nyumbani ili watoto wetu wawe watanzania, fahari yao kama watanzania, maana hata Nabii Yusufu alikwenda Misri ambako alifanyakazi za kitumwa hadi akafanikiwa lakini hakuwahi hata siku moja kukashifu nchi yake na watu wake na hakuwa kuchukua uraia wa Misri. Lakini wewe ni mtu wa ajabu kidogo na kaulimbukeni kidogo.
Kufanya kazi halali ni kuadhirika?nina uhakika kuwa mimi nakuzidi kwenye kujua, hakiyaMungu naapa na nimekuzidi kwa mengi. Vijana wengi wanaadhirika kule, ninao ushahidi. Ni lazima tuwaambie ukweli kwamba kuna kupata na kukosa kule, yaani 70% kukosa na 30% kupata. Waambieni watu kuwa 80% ya waliofanikiwa wana kazi zaidi 2, wanalea vizee vya kizungu, wako kwenye mashamba ya apples, ng;ombe, kazi nguvu viwandani na poters/wapagazi kwenye maduka makubwa (malls).
Angalau mseme nyie mlioko huko! Hati hata ufumbuzi wa nini ukosefu wa ajira, jinsi gani vijana wajikwamue! Yeye ni kuwakatisha tamaa tu!Atakae fanikiwa kuondoka bongo kwenda nje aende bila kusita. Bongo kuna mambo ya ajabu sana ukianzia kwenye elimu.
Haoni vijana wanao adhirika hapo! Madam yuko serikalini akipata Per diem zake, au akikimbiza Mwenge anadhani wote wana access hiyo!Kufanya kazi halali ni kuadhirika?
Ukikaa hapa bongo huna kazi itakusaidia nini? Unashangaa watu kufanya kazi zaidi ya moja, wewe itakuwa ni mvivu.
Acha watu wapambane.
Mtu akipata fursa aende tu kwa kweli. Naamini mtu anaweza akatoboa haijalishi anafanya kazi gani. Kikubwa uwe na malengo..Haoni vijana wanao adhirika hapo! Madam yuko serikalini akipata Per diem zake, au akikimbiza Mwenge anadhani wote wana access hiyo!
Akili yake yote imepumbazwa na chuki dhidi ya US, nina hofu itampa vidonda vya tumbo!
Mkuu unapoona mtu anaona sawa kuwa na P3 kuchezesha game,graduate inaumiza sana! Halafu jamaa hampi solution mtu kama huyo, bali ana m discourage kutoka nje ya nchi kisa uzalendo!imenibidi nicheke kwa sauti kwa hiki ulichokiandika!
japo nasikitika sana huku machozi yakinilenga kwa ukweli mchungu.
nimefwatilia yote uliyoandika na upo sahihi kabisa.
kuna mmoja anasema "huko mbele ukienda unafanywa cheap labour while huku bongo nafanya kazi kwa masaa zaidi ya 8 kwa mwezi na pesa nayopata haifiki $250!
na ni project ya hela nyingi trillion na point hivi!
... siwezi endelea kutype maana najua ninavyojisikia!
Unajua kukashifu na kusema ukweli tofauti yake? Kuna mgao wa umeme, ukosefu wa maji! Hizo ni kashfa? Tumechimbiwa vyoo vya shimo toka Marekani ili watoto wetu waende chooni, tumeletewa vyandulua kuzuia mbu? Ni kashfa au ukweli?Ni sawa kujichagulia kutokana na mipango na pengine background yako, lakini kusema nyumbani kwenu hakustahili kuishi mtu ni kuvuka mipaka. Hatuwezi kuipiga mnada Tz na watu wote tukahamia nchi za waliokuwa na umeme wa uhakika. Nilikuwa na jamaa yangu hivi majuzi tu alikuwa akijisifu kuwa watoto wake wako Marekani, lakini alikuja ikafikia hatua anatuhitaji sisi na watoto wetu ambao tuko tanzania tumsaidie kumuuguza, kumgeuza na kumvalisha. Hata alipokufa watoto wake jamii iliwaona sio kitu kwakuwa hawakuwepo around jamii inawahitaji. Hela sio kila kitu bro, haiwezi kununua kila kitu binadamu anachokihitaji all the time everyday.
kama umepata nafuu sawa lakini usiwape hope iliyopitiliza kuwa huko hakuna tatizo mambo yote ni tambarare kwa lengo la kuvutia vijana wapande boti wafie majini. Mimi nimeishi huko miaka 15 kwa kushawishiwa lakini nikaona sio sawa, na kila mke wangu akipata ujauzito nilikuwa namwambia nenda kajifungulie nyumbani ili watoto wetu wawe watanzania, fahari yao kama watanzania, maana hata Nabii Yusufu alikwenda Misri ambako alifanyakazi za kitumwa hadi akafanikiwa lakini hakuwahi hata siku moja kukashifu nchi yake na watu wake na hakuwa kuchukua uraia wa Misri. Lakini wewe ni mtu wa ajabu kidogo na kaulimbukeni kidogo.
Hivi kwenye hii mada mtu akisoma bila biasness nani limbukeni! Kati ya mimi na wewe! Kutoa facts ndio ulimbukeni!Ni sawa kujichagulia kutokana na mipango na pengine background yako, lakini kusema nyumbani kwenu hakustahili kuishi mtu ni kuvuka mipaka. Hatuwezi kuipiga mnada Tz na watu wote tukahamia nchi za waliokuwa na umeme wa uhakika. Nilikuwa na jamaa yangu hivi majuzi tu alikuwa akijisifu kuwa watoto wake wako Marekani, lakini alikuja ikafikia hatua anatuhitaji sisi na watoto wetu ambao tuko tanzania tumsaidie kumuuguza, kumgeuza na kumvalisha. Hata alipokufa watoto wake jamii iliwaona sio kitu kwakuwa hawakuwepo around jamii inawahitaji. Hela sio kila kitu bro, haiwezi kununua kila kitu binadamu anachokihitaji all the time everyday.
kama umepata nafuu sawa lakini usiwape hope iliyopitiliza kuwa huko hakuna tatizo mambo yote ni tambarare kwa lengo la kuvutia vijana wapande boti wafie majini. Mimi nimeishi huko miaka 15 kwa kushawishiwa lakini nikaona sio sawa, na kila mke wangu akipata ujauzito nilikuwa namwambia nenda kajifungulie nyumbani ili watoto wetu wawe watanzania, fahari yao kama watanzania, maana hata Nabii Yusufu alikwenda Misri ambako alifanyakazi za kitumwa hadi akafanikiwa lakini hakuwahi hata siku moja kukashifu nchi yake na watu wake na hakuwa kuchukua uraia wa Misri. Lakini wewe ni mtu wa ajabu kidogo na kaulimbukeni kidogo.
Hata hapa unaweza kutake chance zako ukatusua.......Kama ulifeli kutake chances zako usilalamikie watu kuwa maisha ni magumu.
Kumbe usomi unaendana na kuwa mkimbizi au mtumwa......waombe radhi wasomi, msomi tunakutegemea utatue changamoto katika jamii yako, siyo kukimbilia ukimbizini au utumwani huku nyuma ukiacha jamii yako inaangamia.Kweli sasa naona dhahiri madhara ya mbio za Mwenge! Niliambiwa form two, kimbia mbele unapopita mbele yako! Huyu ndiye msomi wa Tanzania, juzi wameimbishwa wako uchumi wa kati! Dona county! Nchi ya viwanda! Wanaitikia Amina! Amina! Kweli Na bado! Mpaka ajitokeze mmoja autumn Mwenge bahari! Ndio kizazi cha Tanzania kitaondoka na huu uzuzu!
Msomi katika uboracwake! Nyerere alituweza!
Nadhani hujui hata maana ya ukimbizi na utumwa!Kumbe usomi unaendana na kuwa mkimbizi au mtumwa......waombe radhi wasomi, msomi tunakutegemea utatue changamoto katika jamii yako, siyo kukimbilia ukimbizini au utumwani huku nyuma ukiacha jamii yako inaangamia.
Nakuuliza tu na wewe unakimbiza mbio za Mwenge? Mwanga wa utambi na mafuta ya taa unaamini inaweza kuleta mshikamano? Huu sio utumwa wa akili? Ambao ni mbaya zaidi kuliko utumwa wowote!Kumbe usomi unaendana na kuwa mkimbizi au mtumwa......waombe radhi wasomi, msomi tunakutegemea utatue changamoto katika jamii yako, siyo kukimbilia ukimbizini au utumwani huku nyuma ukiacha jamii yako inaangamia.
Mkuu najua sana ninachoongea......wewe una mtazamo wa maisha bora ugenini, everything coming from that ni utumwa na ukimbizi maana umeacha nchi yako na jamii yako nyuma ukikimbia matatizo.Nadhani hujui hata maana ya ukimbizi na utumwa!