Green card lottery ni Umanamba mamboleo

Umemjibu kitaalamu zaidi huyo poyoyo

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
Sina chuki hata chembe na mataifa hayo, lakini mimi nafahamu kuwa wanachokifanya kuchukua vijana wetu kwa hila sio sawa. Angalau wangeingia mkataba na serikali zao zilizowalea na kuwasomesha badala ya kuwabeba Bure. Hata wakoloni waliwwnunua manamba kutoka kwa watawala wao wa jadi, haikuwa Bure kama hivi. Vijana wetu nao hawajui kama wanasombwa kwenda kujenga mataifa mengine na faida kurudishwa kwetu kama misaada na mikopo yenye riba kubwa. Heri ukose Mali kuliko akili.
 
Idiot
 
Mwafrika ndie alipenda mwenyewe kuchukuliwa utumwani, Hakuna Mzungu wala muarabu aliyeshiriki ukamataji watu, maporini, bali waafrika ikiwemo watawala, au ndugu ndio walioingia field kukamata watu na kuwauzia weupe.
 
Umasikini wa waafrika umeletwa na wapigania UHURU. Waliwadanganya waafrika kwamba watawaletea maendeleo baada ya UHURU, matokeo yake wakajiletea maendeleo yao binafsi na familia zao huku wakitengeneza mifumo ya kuwabana watu wawe masikini Ili waweze kuwatawala na wao kuneemeka kupitia umasikini wa wengi.
 
True uliyosema dunia kijiji.Ukichoka kutembeza bahasha bongo jaribu majuu.
Usa ndio nchi uwezayo timiza ndoto zako.Sisi tunaona fursa kwao nao wanaona fursa kwetu,maisha popote.Ukibakia na mawazo ya kinafiki ya kinapanafricanism lazima ufe masikini.
 
Sio kweli, haiwezekani afrika yote ifanane kama hivi, haiwezekani viongozi wote wa afrika wawe wapumbavu kama unavyotaka watu wakuelewe. Wakoloni waliondoka kwa malengo, hawakuondoka kiboya.
 
Wacha wakajaribu kwa macho,ila bongo kutoboa ni ngumu labda uwe kwenye mifumo ya wizi,rushwa au black market, mifumo haikusapoti kutimiza ndoto zako
 
Usidanganye vijana kuwa kila kitu huko ni safi
 
Sio kweli, haiwezekani afrika yote ifanane kama hivi, haiwezekani viongozi wote wa afrika wawe wapumbavu kama unavyotaka watu wakuelewe. Wakoloni waliondoka kwa malengo, hawakuondoka kiboya.
Afrika ya weusi yaani ya subsahara yote ufanana kuanzia life staili hadi akili za viongozi.Angalau Afrika ya waarabu wao Wana kaunafuu kidogo na kilichowasaidia ni mfumo wa dini ya kiislamu angalau umewashape watawala kuwatendea haki watawaliwa. Ni nchi gani ya kiafrica Ina maendeleo baada ya UHURU, maendeleo sio idadi ya magorofa bali uhakika wa kupata basic needs kwa wananchi.
 

You got my respect mkuu[emoji1488][emoji1488] umeongea very clear!!
We can’t compare maisha ya Tz na USA never!!!!
Mapambano ni kokote as long as unafata sheria na kufanya kazi kwa bidii, kupray sana + malengo= success

Sio kwa Tz kila kona ni corruption[emoji706]
 
Naomba ujichunge sana kaka, watu weusi ni kama takataka huko, ona hii
Hata police wa kibongo usipotii sheria unakula chuma, wakati mwingine sisi black ndio tatizo,kwann usitii unachoambiwa,
 
Dunia ni kijiji Wakenya na Wacongomani, Wanigeria kitambo Sana wanapuyanga dunia nzima wanasaka life wanatoboa, SAsa utatembeza bahasha hadi lini, mambo yakigoma bongo vuka boda kihalali weka aibu pembeni akueleweki vuka boda jingine. Mbona watokao vijijini kuja dar wao wanatoboa.
 
Usiache kuwaambia vijana kuhusu hii mikasa ya huko ambayo huku tanzania hakuna
 
Mfano soma kozi ya ubaharia uwe na seamen book, uwe na pasipoti, uwe na document zingine ruka dubai kachukue Kazi ya ubaharia kaa majini miaka yako 2 au 3 pata mtaji wa kutosha fanya yako. Kuna Kazi za truck driver usa na canada, crane operator, unesi, hizi nje zimejaa.
 
Hata police wa kibongo usipotii sheria unakula chuma, wakati mwingine sisi black ndio tatizo,kwann usitii unachoambiwa,
Kwahiyo ni weusi tu ambao hawatii sheria? Mtu mweusi anaonekana kwao kama mtu mhalifu by default, unless otherwise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…