Green card lottery ni Umanamba mamboleo

Green card lottery ni Umanamba mamboleo

Kavulata:

Kitu ambacho Kavulata hakifahamu, hata vigezo vya kupima umaskini vinatofautiana kati ya Mataifa yaliyo mbele katika maendeleo ya viwanda na nchi maskini: ( Indicators and Monitoring Framework)

  1. Adult or child malnourishment
  2. Disrupted or curtailed schooling (a minimum of years 1-8)
  3. The absence of any household member who has completed 6 years of schooling
  4. Child mortality within the household within the last 5 years
  5. Lack of access to safe drinking water
  6. Lack of access to basic sanitation services
  7. Lack of access to clean cooking fuel
  8. Lack of basic modern assets (radio, TV, telephone, computer, bike, motorbike, etc.)
  9. Lack of access to reliable electricity
Ukitumia vigezo hivi Marekani, watu wote ni matajiri! Lakini maana hakuna mgao wa maji, maji ni safi (Mamlaka za maji zinapoleta maji yenye athari yoyote ile ni kosa kubwa sana) Hakuna ukosefu wa Umeme, kuwa Tv, gari ni kitu cha kwaida kabisa, Hivyo vigezo vinayotumika kupima umaskini Marekani ni tofauti kabisa!

Kwa kifupi nitakupotezea muda tu nikikuletea charts za Umaskini wa Marekani! Au mtu wa kipato cha chini Marekani kisheria, nachukulia anayefanya kazi kama waiters ( inategemea naye anafanyia wapi)au waafanyakazi wa kawaida viwandani, gas stations etc, wasio na skills kabisa. Ukiwachukua watu hao hao ukiwalinganisha na mtu wa kazi hizo Tanzania utaona kitu tofauti kabisa!

Kwenye interview ya kazi ya kawaida( au ya chini) kama hapa Texas swali muhimu unaloulizwa, je una reliable transport! Ukiwa na maana una gari? Maana yake wanataka kujua attendance yako itakua ni reliable. Kwa Tanzania mtu wa chini, anayeuza mafuta Petrol stations, au mhudumu hotelini huwezi kumuuliza swali hilo!

Leo hii ukija Marekani kama miji ya Houston, Dallas, San Antonio, na mingineyo, kitu cha kwanza ni kujifunza ni kuendesha gari, au kumiliki gari! Gari sio luxury ni necessity! Tofauti kabisa na Tanzania, hapo ndio utajua mtu akikuambia Maskini wa Marekani na Tanzania!

Naona ukija Marekani na kukutana na omba omba basi una piga kelele kuna Maskini! Na Marekani pia kuna maskini! Hilo jambo huwezi kuzuia, ni matakwa ya mtu binafsi, maana huwezi kumzuia mtu kulewa, au kutumia madawa ya kulevya, kuwa malaya, kwa ukijinga wako ukashindwa kulipa kodio ya nyumba!

Umepewa nyumba karibu na bure na serikali ya kuishi kwa kuwa na kipato duni, wewe ukageuza danguro au kuuzia madawa ya kulevya! Ukifukuzwa lazima utakua omba omba! Lazima utaishi chini ya madaraja! Asiliamia kubwa ya hao omba omba wamefika hapo kwa uchaguzi mbaya dhidi ya maisha yao! Ni vigumu kabisa kwa mimi na wewe tuliotoka Tanzania kuja kutafuta hapa kuingia katika ujinga huo! Nimesikia kuna Mtanzania mmoja alijiingiza kwenye madawa ya kulevya akaishia hapo! Hayo ni maamuzi ya mtu binafsi!

Kavulata:

Labda nikusaidie list ya Vitabu vikufungue macho: ( Viko vingi mno) Na vingine vingi vimeaandikwa na waafrica wenyewe.

1. The Wealth and Poverty of Africa States: Morten Jerven
2.Poverty and Wellbeing in East Africa- A multifaced Economic Approach
3.Inside Poverty and Development in Africa-Africa Dynamics

Lakini kama unataka kutengeneza hoja ya umaskini USA basi soma kitabu hiki;

1. Poorly Understood: What Americans get wrong on Poverty ( Several authors) Kitakupa angalau hoja ya kulinganisha maskini wa USA na hao wa nchi kama Tanzania, itabidi uangalie vigezo tofauti kabisa!

Panua wigo wako wa kuangalia mambo!
Umemjibu kitaalamu zaidi huyo poyoyo

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
Kwa upande mwingine upo sahihi.. lakini naona wewe unataka ku deal na mabaya ya Marekani tu pasipo kutaka kusikia mazuri yake pia.

Nafsini mwako naona umejenga chuki automatically na Marekani na wazungu kwa ujumla.

Lakini pia kila lenye ubaya pia lina uzuri pia..kama umechagua kuongelea mabaya kwenye huu Uzi tambua pia kuna mazuri pia.
Sina chuki hata chembe na mataifa hayo, lakini mimi nafahamu kuwa wanachokifanya kuchukua vijana wetu kwa hila sio sawa. Angalau wangeingia mkataba na serikali zao zilizowalea na kuwasomesha badala ya kuwabeba Bure. Hata wakoloni waliwwnunua manamba kutoka kwa watawala wao wa jadi, haikuwa Bure kama hivi. Vijana wetu nao hawajui kama wanasombwa kwenda kujenga mataifa mengine na faida kurudishwa kwetu kama misaada na mikopo yenye riba kubwa. Heri ukose Mali kuliko akili.
 
Imagination!!? there is statistical evidence for what I am saying. Unabisha kuwa hule kuna mashoga wengi kule huku au unashangaa nini. Unabisha kuwa kule kuna wabwia unga wengi kuliko huku? au unataka kubisha kuwa kule kuna maskini wengi zaidi kuliko huku? kubisha hayo ni jitihada madhubuti za kueneza ushogga kwa vijana wetu, watakuja huko wakidhani mambo ni rahisi hivyo na kuishia kuolewa.
Idiot
 
Mwafrika ndie alipenda mwenyewe kuchukuliwa utumwani, Hakuna Mzungu wala muarabu aliyeshiriki ukamataji watu, maporini, bali waafrika ikiwemo watawala, au ndugu ndio walioingia field kukamata watu na kuwauzia weupe.
 
Umasikini wa waafrika umeletwa na wapigania UHURU. Waliwadanganya waafrika kwamba watawaletea maendeleo baada ya UHURU, matokeo yake wakajiletea maendeleo yao binafsi na familia zao huku wakitengeneza mifumo ya kuwabana watu wawe masikini Ili waweze kuwatawala na wao kuneemeka kupitia umasikini wa wengi.
 
Kavulata: Unajua unachokisema au umekaririshwa? Niko Marekani, sikuja kwa kufungwa mnyororo,na hata nikitaka kuondoka hakuna kamba iliyonifunga.
Ushauri kila siku kwa vijana wa kitanzania, kama unaona opportunities zimebana Tanzania jaribu popote, nina mifano mingi mno, na nimeona kwa watu toka mataifa mbali mbali niliokutana nao US!
Ukiwa na focus, na documents halali na yote unayoyasikia kuhusu Marekani, ni mahali unaweza kufikisha ndoto zako, sisemi ni rahisi, lakini kuna nyenzo ambazo hupati katika nchi nyingi za Kiafrica.
Sijahonga au kumuona yoyote watoto wangu kupata mikopo ya vyuo vyao, sikuwa na connection zozote zile watoto wangu kupata white color jobs! In short mtoto wangu alikuwa recruited akiwa bado chuoni, na leo akiwa na miaka24 is making almost $ 85,000/ Wenzake aliowaacha bongo waliomaliza chuo wanasaka ajira!
Sasa sijui ni utumwa wa aina gani huo!
Ni kweli Marekani/ Canada zinataka nguvu kazi, lakini ukiingia huku ni juhudi zako na akili yako! Wengine wataenda juu, na wengine chini, sawasawa na wazawa! Anayenifyekea majani nyumbani kwangu ni mzungu! Maana sina muda! Na kila baada ya wiki mbili au tatu ananipigia simu kama yameota aje kufyeka! Na ameniambia ni fundi katika serikali yetu ya mtaa anatafuta pesa ya ziada! Hii ndio Marekani, simdharau najua anachotafuta!
Hivyo usikaririshwe na akina Lumumba.
Hulazimishwi ni akili yako tu! Wengine wanatumia hapo bongo wanatoka! Wengine mambo yanakataa! Maisha popote pale!
True uliyosema dunia kijiji.Ukichoka kutembeza bahasha bongo jaribu majuu.
Usa ndio nchi uwezayo timiza ndoto zako.Sisi tunaona fursa kwao nao wanaona fursa kwetu,maisha popote.Ukibakia na mawazo ya kinafiki ya kinapanafricanism lazima ufe masikini.
 
Umasikini wa waafrika umeletwa na wapigania UHURU. Waliwadanganya waafrika kwamba watawaletea maendeleo baada ya UHURU, matokeo yake wakajiletea maendeleo yao binafsi na familia zao huku wakitengeneza mifumo ya kuwabana watu wawe masikini Ili waweze kuwatawala na wao kuneemeka kupitia umasikini wa wengi.
Sio kweli, haiwezekani afrika yote ifanane kama hivi, haiwezekani viongozi wote wa afrika wawe wapumbavu kama unavyotaka watu wakuelewe. Wakoloni waliondoka kwa malengo, hawakuondoka kiboya.
 
Daah! umenena, nini nafahamu kuwa furahi ya mtu haitokani na kuwa na pesa nyingi tu bali mjumuiko wa mambo mengi na hela ikiwemo. Nimekutana na kijana ambae huko majuu ambae analala kwenye gari yake maisha, nilipomuuliza kwanini kwanini huna chumba chako aliniambia ninafanya kazi shift 3 kwa siku hivyo muda wa kulala sina, hata hiyo nyumba naona nitapoteza pesa zangu bure wakati silali humo. Akanambia ana madeni mengi yanayohitaji ku service (kulipa) hivyo lazima afanye kazi zaidi ya 1 ili apate ziada. kaka kijana huyu hajawahi kula chakula cha nyumbani kwake zaidi ya kule fast foods mitaani, makato mengi na anashindwa kutuma pesa nyumbani maana wafyeka hela nyingi sana. kaka kuna mitaa/maduka/malls ukiingia mwenye ngozi nyeusi wanadhani huna pesa ya kuingia hapo bali unataka kuiba, ubaguzi bado haujakwisha tunalazimisha tu.

Nguvu, muda, juhudi, maarifa na akili mnazozitumia kumudu kuishi huko hata zingewekezwa japo nusu tu kwenye jangwa zingetoa matunda. Vijana wetu huku ni wavivu sana ni wavivu sana na ni wavivu sana ndio maana wanapata tamaa ya green card wakidhani huko US pesa ziko kwenye viroba tu ni za kuzoa na kutumia.

Kama asili na chanzo kikuu cha ushoga huko ni maisha magumu, watu wanaunganisha nguvu ili kumudu maisha bila kulazimika kuwa na watoto wa kutunza, yaani kuona mwanamke ni kuongeza ugumu kwenye ugumu. bahati mbaya mimi nimeishi huko sana tena vijijini kabisa ambako maisha ni kama haya hapa ya tandika na kwamtogole, kuchafu na idadi kubwa ya ombaomba wazungu mitaani ambao wanapatiwa nguo kule salvation army na kwingineko kwenye malls kama vile Walmart zenye madirisha ya watu maskini (wazungu) kupatiwa misaada.

kaka usiwadanganye watu ukawapa hope na kuja kuishia kuolewa na wanaume wenzao, wanaofanikiwa ni watu kidogo sana kati ya hao wahamianji. Wengi wao wanaishia kwenye vyombo vya usalama kufungwa na hata kuuliwa.
Wacha wakajaribu kwa macho,ila bongo kutoboa ni ngumu labda uwe kwenye mifumo ya wizi,rushwa au black market, mifumo haikusapoti kutimiza ndoto zako
 
Kavulata:

Kitu ambacho Kavulata hakifahamu, hata vigezo vya kupima umaskini vinatofautiana kati ya Mataifa yaliyo mbele katika maendeleo ya viwanda na nchi maskini: ( Indicators and Monitoring Framework)

  1. Adult or child malnourishment
  2. Disrupted or curtailed schooling (a minimum of years 1-8)
  3. The absence of any household member who has completed 6 years of schooling
  4. Child mortality within the household within the last 5 years
  5. Lack of access to safe drinking water
  6. Lack of access to basic sanitation services
  7. Lack of access to clean cooking fuel
  8. Lack of basic modern assets (radio, TV, telephone, computer, bike, motorbike, etc.)
  9. Lack of access to reliable electricity
Ukitumia vigezo hivi Marekani, watu wote ni matajiri! Lakini maana hakuna mgao wa maji, maji ni safi (Mamlaka za maji zinapoleta maji yenye athari yoyote ile ni kosa kubwa sana) Hakuna ukosefu wa Umeme, kuwa Tv, gari ni kitu cha kwaida kabisa, Hivyo vigezo vinayotumika kupima umaskini Marekani ni tofauti kabisa!

Kwa kifupi nitakupotezea muda tu nikikuletea charts za Umaskini wa Marekani! Au mtu wa kipato cha chini Marekani kisheria, nachukulia anayefanya kazi kama waiters ( inategemea naye anafanyia wapi)au waafanyakazi wa kawaida viwandani, gas stations etc, wasio na skills kabisa. Ukiwachukua watu hao hao ukiwalinganisha na mtu wa kazi hizo Tanzania utaona kitu tofauti kabisa!

Kwenye interview ya kazi ya kawaida( au ya chini) kama hapa Texas swali muhimu unaloulizwa, je una reliable transport! Ukiwa na maana una gari? Maana yake wanataka kujua attendance yako itakua ni reliable. Kwa Tanzania mtu wa chini, anayeuza mafuta Petrol stations, au mhudumu hotelini huwezi kumuuliza swali hilo!

Leo hii ukija Marekani kama miji ya Houston, Dallas, San Antonio, na mingineyo, kitu cha kwanza ni kujifunza ni kuendesha gari, au kumiliki gari! Gari sio luxury ni necessity! Tofauti kabisa na Tanzania, hapo ndio utajua mtu akikuambia Maskini wa Marekani na Tanzania!

Naona ukija Marekani na kukutana na omba omba basi una piga kelele kuna Maskini! Na Marekani pia kuna maskini! Hilo jambo huwezi kuzuia, ni matakwa ya mtu binafsi, maana huwezi kumzuia mtu kulewa, au kutumia madawa ya kulevya, kuwa malaya, kwa ukijinga wako ukashindwa kulipa kodio ya nyumba!

Umepewa nyumba karibu na bure na serikali ya kuishi kwa kuwa na kipato duni, wewe ukageuza danguro au kuuzia madawa ya kulevya! Ukifukuzwa lazima utakua omba omba! Lazima utaishi chini ya madaraja! Asiliamia kubwa ya hao omba omba wamefika hapo kwa uchaguzi mbaya dhidi ya maisha yao! Ni vigumu kabisa kwa mimi na wewe tuliotoka Tanzania kuja kutafuta hapa kuingia katika ujinga huo! Nimesikia kuna Mtanzania mmoja alijiingiza kwenye madawa ya kulevya akaishia hapo! Hayo ni maamuzi ya mtu binafsi!

Kavulata:

Labda nikusaidie list ya Vitabu vikufungue macho: ( Viko vingi mno) Na vingine vingi vimeaandikwa na waafrica wenyewe.

1. The Wealth and Poverty of Africa States: Morten Jerven
2.Poverty and Wellbeing in East Africa- A multifaced Economic Approach
3.Inside Poverty and Development in Africa-Africa Dynamics

Lakini kama unataka kutengeneza hoja ya umaskini USA basi soma kitabu hiki;

1. Poorly Understood: What Americans get wrong on Poverty ( Several authors) Kitakupa angalau hoja ya kulinganisha maskini wa USA na hao wa nchi kama Tanzania, itabidi uangalie vigezo tofauti kabisa!

Panua wigo wako wa kuangalia mambo!
Usidanganye vijana kuwa kila kitu huko ni safi
 
Sio kweli, haiwezekani afrika yote ifanane kama hivi, haiwezekani viongozi wote wa afrika wawe wapumbavu kama unavyotaka watu wakuelewe. Wakoloni waliondoka kwa malengo, hawakuondoka kiboya.
Afrika ya weusi yaani ya subsahara yote ufanana kuanzia life staili hadi akili za viongozi.Angalau Afrika ya waarabu wao Wana kaunafuu kidogo na kilichowasaidia ni mfumo wa dini ya kiislamu angalau umewashape watawala kuwatendea haki watawaliwa. Ni nchi gani ya kiafrica Ina maendeleo baada ya UHURU, maendeleo sio idadi ya magorofa bali uhakika wa kupata basic needs kwa wananchi.
 
Nimeishi Marekani kama miaka kumi sasa, sijawahi kubaguliwa kazini, barabarani au kupata huduma! Watoto wangu walianza kwenda private shule zenye 98% Wazungu, baadaye Public School, kisha Universities, hawajawahi kabisa kabisa kulalamika ubaguzi!

Kijana wangu mmoja yuko kwenye Financial institution kubwa tu, hajawahi kunilalamikia ubaguzi! Mtaani kwangu wote ni wazungu na Mkenya mmoja! Gari zangu hazijapigwa mawe, au takataka kutupwa kwenye yard yangu!
Nimekamatwa kwa makosa halali ya barabarani na askari wa kizungu, si mara moja au mbili, nilipata ticket, nililipa mambo yakaisha!

Angalia sana media, hata za Marekani zina agenda! hiyo ndio experience yangu!

Na unaposema kufanya kazi kufa na kupona maana nini! Una promote uvivu? Hebu fikiria Tanzania kungefanya kazi kufa na kupona tungekuwa wapi!
Nadhani ufahamu wako wa Marekani ni finyu! Marekani kuna kazi mbali mbali! Kama unafanya kazi let say bank, mwalimu nk si kuna masaa mkuu! Saa za kufanya kazi Marekani zinajulikana! Hivyo inategemea aina ya kazi mkuu! Una a lot of generalization!
Tembelea basi ili uwe na uelewa wa Marekani.

Sijakwambia Tanzania hutatoka kimaisha! Na kutoka kimaisha maana yake nini? Kila mtu ana definition yake! Kama kutoka kimaisha ni kuwa nyumba na gari, basi niliingia Marekani nikiwa nimetoka kimaisha kwa mtazamo wa wengi! Maana sikua na nyumba na gari moja tu! Nilikuwa na miradi pia! Lakini kwangu mimi bado nilikuwa natafuta maisha mengine kwa ajili yangu na watoto wangu!

Panua definition yako ya kutoka kimaisha ndugu yangu!

You got my respect mkuu[emoji1488][emoji1488] umeongea very clear!!
We can’t compare maisha ya Tz na USA never!!!!
Mapambano ni kokote as long as unafata sheria na kufanya kazi kwa bidii, kupray sana + malengo= success

Sio kwa Tz kila kona ni corruption[emoji706]
 
Naomba ujichunge sana kaka, watu weusi ni kama takataka huko, ona hii

Hata police wa kibongo usipotii sheria unakula chuma, wakati mwingine sisi black ndio tatizo,kwann usitii unachoambiwa,
 
Dunia ni kijiji Wakenya na Wacongomani, Wanigeria kitambo Sana wanapuyanga dunia nzima wanasaka life wanatoboa, SAsa utatembeza bahasha hadi lini, mambo yakigoma bongo vuka boda kihalali weka aibu pembeni akueleweki vuka boda jingine. Mbona watokao vijijini kuja dar wao wanatoboa.
 
Kavulata,

Hivyo unamaanisha nini unaposema Marekani kuna maskini wengi kuliko Tanzania una maana gani hasa? Ni indicators gani unazotumia? Mbona unakuwa ni kama layman wa mtaani jamaa yangu! Ni Multidimensional Poverty Measures ? Au tupe kigezo chochote ulichotumia kusema " Marekani ina maskini wengi kuliko Tanzania" ni lever gani hasa? Ukosefu wa elimu? Mahitaji ya msingi kama maji. umeme? Makazi? Ni nini hasa unatumia!

Na kama kuwa na wabwia unga wengi ni dalili ya umaskini basi nadhani hujui mengi kuhusu ubwia unga! Na kama unadhani ushoga ni dalili ya umaskini basi utashangaa! Maana mashoga wengi ni watu wenye pesa mno!! Ni watu waliojikinai, ni watu wanaoongoza institutions kubwa na ndio wenye nguvu kuuneza dunia.....tafuta orodha yao mitandaoni! Hivyo vitu havina kabisa uhusiano na umaskini! Wengi wanaona ni matatizo yanaoletwa na affluent ( Utajiri). Rais Kenyatta alimjibu vizuri sana Obama katika swala hilo! Tafuta hotuba hizo mtandaoni!

Nimekuomba sana uwe objective ndugu yangu! Na kigezo kipi hasa unatumia kusema huyu maskini au tajiri? Fafanua, maana wewe ni msomi? Chukua basi hata masomo online ya bure kabisa kusoma " Development Economics" Nenda mitandaoni kusoma Umaskini unapimwaje, na utaona vigezo mbali mbali! Labda umaskini unaozungumzia wewe ni wa aina nyingine!

Niko likizo! Hivyo tuzidi habarishana!
Usiache kuwaambia vijana kuhusu hii mikasa ya huko ambayo huku tanzania hakuna
 
Mfano soma kozi ya ubaharia uwe na seamen book, uwe na pasipoti, uwe na document zingine ruka dubai kachukue Kazi ya ubaharia kaa majini miaka yako 2 au 3 pata mtaji wa kutosha fanya yako. Kuna Kazi za truck driver usa na canada, crane operator, unesi, hizi nje zimejaa.
 
Hata police wa kibongo usipotii sheria unakula chuma, wakati mwingine sisi black ndio tatizo,kwann usitii unachoambiwa,
Kwahiyo ni weusi tu ambao hawatii sheria? Mtu mweusi anaonekana kwao kama mtu mhalifu by default, unless otherwise
 
Back
Top Bottom