Ni uamuzi na utashi wa mtu, pia mazingira ya kila mtu, yote maisha.Nilitaka kuonyesha kuwa tuna uwezo wa kuja na kuondoka hapo bila kushawishika kuzamia kabisa huko, tumeishi huko hata social security number yangu bado ninayo, account bado ninayo lakini home is best
Mokake,
Mbona umekuja na very defeating arguments against yourself!
Sasa nani wa kumlaumu na hiyo brainwave! Marekani au nchi za kimaskini!
Mmeshindwa kutumia raslimali zenu, wengine wameziona, kwa nini wasizichukue! Wananazichukua kwa mikopo yenye utata! Ambayo mnawatuma viongozi wenu wenyewe kusaini mikataba mibovu!
Mnashindwa kutengeneza soko la ajira za wataalam wenu! Marekani inaziona hizo potential, inatengeneza program za kuchukua akili zenu! Mnaishia kupiga kelele!
Nani wa kumlaumu hasa? Marekani au upuuzi wa viongozi wenu!
Labda nikuulize, kwa nini chi masikini zisifanye the opposite! Kwa nini msifanye the opposite! Kwa nini tunashindwa ku drain brain from developed countries!
Sijaona nchi imepiga Marufuku Greencard! Labda Korea ya kiduku! Nayo sijui!
Ukweli unabakia nchi za kimaskini zisipobadili mwelekeo bado Marekani na washirika wake watachota kila aina ya raslimali!
Mokake,Inasikitisha sana, haiwezekani wewe uwe brain drained na unajua kabisa kwamba you are brained drained na nafsi yako isikusute!!!, hiyo ni roho ya ubinafsi inayotukumba sisi waafrika weusi sote kwa ujumla, kila mtu ni mbinafsi katika nafasi yake na hapa hakuna wa kumlaumu mwenziye.
Suala linabaki palepale kwamba Green card lottery ni machine ya America ya kuchukua Watumwa stealthily kutoka nchi zingine ili kudhoofidha nchi hizo kimaendeleo hata kama watumwa hao hawataisaidia Marekani lakini lengo la America ni kuwaondosha huko ili kuzidhoofisha nchi hizo katika njia mbalimbali.
Pamoja na madhaifu yetu kwa ujumla lakini America naye anachangia pakubwa kutudhoofisha KWA MAKUSUDI, What a diabolic move!!!
Huyu achana nae Mkuu anasema MAREKANI KUNA TATIZO KUBWA LA AJIRA comment ya kwanza, kwenye comment ya pili anaandika MAREKANI WATU WANAFANYA KAZI ZAIDI YA MBILI, hivi unaweza kufanya kazi zaidi ya MBILI SEHEMU AMBAYO KUNA TATIZO KUBWA LA KUPATA KAZI? sio mzima huyu nakwambia.Angalau mseme nyie mlioko huko! Hati hata ufumbuzi wa nini ukosefu wa ajira, jinsi gani vijana wajikwamue! Yeye ni kuwakatisha tamaa tu!
Invigilator:Huyu achana nae Mkuu anasema MAREKANI KUNA TATIZO KUBWA LA AJIRA comment ya kwanza, kwenye comment ya pili anaandika MAREKANI WATU WANAFANYA KAZI ZAIDI YA MBILI, hivi unaweza kufanya kazi zaidi ya MBILI SEHEMU AMBAYO KUNA TATIZO KUBWA LA KUPATA KAZI? sio mzima huyu nakwambia.
Swali langu mbona hujibu? Nani wa kumlaumu na hiyo brain drainage mnayoshindwa kuitumia?Inasikitisha sana, haiwezekani wewe uwe brain drained na unajua kabisa kwamba you are brained drained na nafsi yako isikusute!!!, hiyo ni roho ya ubinafsi inayotukumba sisi waafrika weusi sote kwa ujumla, kila mtu ni mbinafsi katika nafasi yake na hapa hakuna wa kumlaumu mwenziye.
Suala linabaki palepale kwamba Green card lottery ni machine ya America ya kuchukua Watumwa stealthily kutoka nchi zingine ili kudhoofidha nchi hizo kimaendeleo hata kama watumwa hao hawataisaidia Marekani lakini lengo la America ni kuwaondosha huko ili kuzidhoofisha nchi hizo katika njia mbalimbali.
Pamoja na madhaifu yetu kwa ujumla lakini America naye anachangia pakubwa kutudhoofisha KWA MAKUSUDI, What a diabolic move!!!
Hivi kwako wewe unadhani kuwa na mafanikio ni kuwa na nini?Naweza kuwa mdogo ki umri mkuu. Excuse me!!
Umeandika pumba[emoji706]
Hivi hapa Tz hakuna mashoga???
Tutumie akili vizuri kutafakari kabla ya kukurupuka.
Hakuna sehemu duniani hapa hakuna mashoga, ni wewe na maisha yako.
“MIND YOUR OWN BUSINESS”
Ukiishi katika hayo maneno hakika hutokuwa na makasiriko wala roho za kinyongo kwa walikuzidi mafanikio, Period
Kavulata! Mbona kila mtu ana definition yake ya mafanikio! Wengine ni kukaa mahali ambapo mababu zake walipoishi karne na karne! Wengine ni kuondoka na kutafuta mahali popote ambapo wanaona kuna hatima ya maisha yao!Hivi kwako wewe unadhani kuwa na mafanikio ni kuwa na nini?
Hata hapa Tz kazi zipo telee, tatizo ni kwamba huku ushoga haulipi kama huko, huko mwanaume unaweza kuolewa ukaishi vizuri tu, huku watu wana mapesa na wanunua kila kitu kwa cash, ndio maana unaona magari yapo barabarani, maduka yapo, watu wanajenga, watu wanasomesha, watu wanajenga shule binafsi, vyuo binafsi, nk. Tatizo sisi majeshi yetu ni ya ukombozi tu na kulinda mipaka, wakati huko majeshi yao ni ya kujenga uchumi, uporaji na wizi kwenye mataifa mengine na kupeleka kwao. KInachosaidia watu manamba kama nyinyi ni vitu vifuatavyo:Inaumiza sana kuona unapotosha watu kiasi hiki, wewe pengine hata Marekani hujawahi kufika, kama ulifika hukuwa na documents za kukuwezesha kuishi kwa amani, ndugu zangu watanzania nawahakikishia Marekani kuna fursa zaidi ya mara 50,000 ya Tanzania, huwezi kukoswa kazi Marekani kama uko timamu kiakili, nipo Marekani kila unakopita ni matangazao ya kazi. Nashindwa kuelewa akili ya huyu jamaa aisee.
Kavulata; Wakati unaendelea na mada hii, hebu tupe njia ya kuzuia huu umanamba! Kwa taarifa kamili ni kuwa Serikali ya Samia iko mbioni kutengeneza rasimu ya vibali maalumu kwa hao unaowaita manamba!Hivi kwako wewe unadhani kuwa na mafanikio ni kuwa na nini?
Am_tunnechi amesema Ukiishi katika hayo maneno hakika hutokuwa na makasiriko wala roho za kinyongo kwa walikuzidi mafanikio. Mwambie huyo mwenzako anaedhani kuwa yeye ana mafanikio ya kuonewa kinyongo. Utamuoneaje kinyongo mtu aliyefanikiwa kwa kuikimbia jamii yake? au kwa kupapaswa? au kwa kufanya kazi chafu? au kwa kufanyakazi kwa bidii kila siku, kila wiki wakati wewe umelala? mafanikio si a relative term. kwangu mimi kuwa na mafanikio ni kuwa na mke mwema, watoto wema wacha mungu na wenye elimu, kutunza na kuwasaidia watu wangu kwa kutoa huduma yangu kwao, kulijenga taifa langu kwa mikono yangu. Lakini wewe kuwa na mafanikio ni kuwa tunna fedha nyingi mifukoni na kuwa na uwezo mkubwa wa kufanya manunuzi. .Kavulata! Mbona kila mtu ana definition yake ya mafanikio! Wengine ni kukaa mahali ambapo mababu zake walipoishi karne na karne! Wengine ni kuondoka na kutafuta mahali popote ambapo wanaona kuna hatima ya maisha yao!
Mbona reactions ya tozo ilikua kubwa mtandaoni! Kulijenga taifa lako? Umeme na mgao baada ya miaka 60 toka tupate uhuru!Hata hapa Tz kazi zipo telee, tatizo ni kwamba huku ushoga haulipi kama huko, huko mwanaume unaweza kuolewa ukaishi vizuri tu, huku watu wana mapesa na wanunua kila kitu kwa cash, ndio maana unaona magari yapo barabarani, maduka yapo, watu wanajenga, watu wanasomesha, watu wanajenga shule binafsi, vyuo binafsi, nk. Tatizo sisi majeshi yetu ni ya ukombozi tu na kulinda mipaka, wakati huko majeshi yao ni ya kujenga uchumi, uporaji na wizi kwenye mataifa mengine na kupeleka kwao. KInachosaidia watu manamba kama nyinyi ni vitu vifuatavyo:
1. Ratiba ngumu (tight) za siku, wiki, mwezi na mwaka (kujilipua), huku watu hawako serious na matumizi ya muda wao (time management)
2. Kubana matumizi kwa kununua vitu vikuuvikuu au vilivyopitwa na wakati/msimu/fashion - mitumba/fast foods/clearance. Huku 95% wanapika wenyewe vyakula fresh, matunda fresh na nyama fresh, sio canned foods.
3. Kuwa mbali na extended families, ni wewe tu peke yako basi, lakini huku kuna ndugu wengi sana watakuhitaji uwasaidie na kutunza wazee wako waliozeeka.
4. kukopa.
5. wabongo Hamchagui kazi mkifika huko, huku kazi zipo lakini watu wanachagua .
Hata hapa bongo kama utaishi maisha kama hayo lazima utakuwa na financial freedom wakati huohuo ukiendelea kulijeng taifa lako kwa kodi, tozo na huduma. Furaha sio kuwa na pesa tu bhana wewe.
Kweli umanamba ni kipaji kama ilivyo ufupi na urefu.Mbona reactions ya tozo ilikua kubwa mtandaoni! Kulijenga taifa lako? Umeme na mgao baada ya miaka 60 toka tupate uhuru!
Hivi mnaijenga Tanzania au matumbo yenu!
Na inaposema vyakula fresh! Kweli huijui Marekani kabisa! Hukosi kabisa vyakula fresh! Ni chaguo lako!
Nakuuliza unayedai kuna vyakula fresh! Mbona mortality ya Tanzania iko chini kuliko ya US! Infants mortality ya Tanzania iko juu mno huwezi linganisha na Marekani!
Sasa hivyo vyakula fresh unavyosema vinamsadia nani?
Huna hoja kabisa Kavulata!
Naona akili yako iko fragmented...hoja zako unakuwa kama una bipolar!Hata hapa Tz kazi zipo telee, tatizo ni kwamba huku ushoga haulipi kama huko, huko mwanaume unaweza kuolewa ukaishi vizuri tu, huku watu wana mapesa na wanunua kila kitu kwa cash, ndio maana unaona magari yapo barabarani, maduka yapo, watu wanajenga, watu wanasomesha, watu wanajenga shule binafsi, vyuo binafsi, nk. Tatizo sisi majeshi yetu ni ya ukombozi tu na kulinda mipaka, wakati huko majeshi yao ni ya kujenga uchumi, uporaji na wizi kwenye mataifa mengine na kupeleka kwao. KInachosaidia watu manamba kama nyinyi ni vitu vifuatavyo:
1. Ratiba ngumu (tight) za siku, wiki, mwezi na mwaka (kujilipua), huku watu hawako serious na matumizi ya muda wao (time management)
2. Kubana matumizi kwa kununua vitu vikuuvikuu au vilivyopitwa na wakati/msimu/fashion - mitumba/fast foods/clearance. Huku 95% wanapika wenyewe vyakula fresh, matunda fresh na nyama fresh, sio canned foods.
3. Kuwa mbali na extended families, ni wewe tu peke yako basi, lakini huku kuna ndugu wengi sana watakuhitaji uwasaidie na kutunza wazee wako waliozeeka.
4. kukopa.
5. wabongo Hamchagui kazi mkifika huko, huku kazi zipo lakini watu wanachagua .
Hata hapa bongo kama utaishi maisha kama hayo lazima utakuwa na financial freedom wakati huohuo ukiendelea kulijeng taifa lako kwa kodi, tozo na huduma. Furaha sio kuwa na pesa tu bhana wewe.
Umekosa hoja! Umejaribu kila njia...in short tengeneza thread nyingine! Serikali yako inatengeneza rasimu ya vibali maalumu!Kweli umanamba ni kipaji kama ilivyo ufupi na urefu.
Am_tunnechi amesema Ukiishi katika hayo maneno hakika hutokuwa na makasiriko wala roho za kinyongo kwa walikuzidi mafanikio. Mwambie huyo mwenzako anaedhani kuwa yeye ana mafanikio ya kuonewa kinyongo. Utamuoneaje kinyongo mtu aliyefanikiwa kwa kuikimbia jamii yake? au kwa kupapaswa? au kwa kufanya kazi chafu? au kwa kufanyakazi kwa bidii kila siku, kila wiki wakati wewe umelala? mafanikio si a relative term. kwangu mimi kuwa na mafanikio ni kuwa na mke mwema, watoto wema wacha mungu na wenye elimu, kutunza na kuwasaidia watu wangu kwa kutoa huduma yangu kwao, kulijenga taifa langu kwa mikono yangu. Lakini wewe kuwa na mafanikio ni kuwa tunna fedha nyingi mifukoni na kuwa na uwezo mkubwa wa kufanya manunuzi. .
Umekosa hoja! Umejaribu kila njia...in short tengeneza thread nyingine! Serikali yako inatengeneza rasimu ya vibali maalumu!
Nimemuuliza jamaa yako, mtafanyaje kuzuia umanamba? It seems you are fighting the losing battle!
Badala ya serikali kupiga Marufuku umanamba inatengeneza special status!
Maybe ungeandika hoja za msingi hapa, Serikali ingetafakari mara mbili!
Kavulata umeanzisha mada, ila umeshindwa kabisa kujenga hoja yako!
Nenda kajipange upya!
Mokaze;Inasikitisha sana, haiwezekani wewe uwe brain drained na unajua kabisa kwamba you are brained drained na nafsi yako isikusute!!!, hiyo ni roho ya ubinafsi inayotukumba sisi waafrika weusi sote kwa ujumla, kila mtu ni mbinafsi katika nafasi yake na hapa hakuna wa kumlaumu mwenziye.
Suala linabaki palepale kwamba Green card lottery ni machine ya America ya kuchukua Watumwa stealthily kutoka nchi zingine ili kudhoofidha nchi hizo kimaendeleo hata kama watumwa hao hawataisaidia Marekani lakini lengo la America ni kuwaondosha huko ili kuzidhoofisha nchi hizo katika njia mbalimbali.
Pamoja na madhaifu yetu kwa ujumla lakini America naye anachangia pakubwa kutudhoofisha KWA MAKUSUDI, What a diabolic move!!!
Tunatofautiana kwenye Vision. Wewe unawaza kuhusu tumbo lako na wanao wakati mimi ninawaza kuhusu nchi ambayo uzao wangu, shangazi na wajomba wanaishi na wataendelea kuishi. Yaani nimeshapita huko kwenye tumbo langu tu na wanangu. Hii inanifanya nisiwe na cha maana sana cha kuongea na wewe ambao tayari umeshafanya maamuzi ya kuwa bwabwa. Kuandika kote huku ninakofanya ni kwaajili ya wale maskini vijana ambao hawajaamua lakini wanatarajia kufanya maamuzi kwa kudanganywa na akina cassava kuwa US hakuna doa hata moja njooni.Naona akili yako iko fragmented...hoja zako unakuwa kama una bipolar!
Naomba usinichekeshe! Una vision wewe! Kama wenye vision wana akili kama yako mgao wa umeme, maji utaendalea kuwepo Tanzania miaka mingine 60 tena...yaani miaka 120 toka tupate uhuruTunatofautiana kwenye Vision. Wewe unawaza kuhusu tumbo lako na wanao wakati mimi ninawaza kuhusu nchi ambayo uzao wangu, shangazi na wajomba wanaishi na wataendelea kuishi. Yaani nimeshapita huko kwenye tumbo langu tu na wanangu. Hii inanifanya nisiwe na cha maana sana cha kuongea na wewe ambao tayari umeshafanya maamuzi ya kuwa bwabwa. Kuandika kote huku ninakofanya ni kwaajili ya wale maskini vijana ambao hawajaamua lakini wanatarajia kufanya maamuzi kwa kudanganywa na akina cassava kuwa US hakuna doa hata moja njooni.