Green card lottery ni Umanamba mamboleo

Green card lottery ni Umanamba mamboleo

Nilitaka kuonyesha kuwa tuna uwezo wa kuja na kuondoka hapo bila kushawishika kuzamia kabisa huko, tumeishi huko hata social security number yangu bado ninayo, account bado ninayo lakini home is best
Ni uamuzi na utashi wa mtu, pia mazingira ya kila mtu, yote maisha.
 
Mokake,
Mbona umekuja na very defeating arguments against yourself!
Sasa nani wa kumlaumu na hiyo brainwave! Marekani au nchi za kimaskini!
Mmeshindwa kutumia raslimali zenu, wengine wameziona, kwa nini wasizichukue! Wananazichukua kwa mikopo yenye utata! Ambayo mnawatuma viongozi wenu wenyewe kusaini mikataba mibovu!
Mnashindwa kutengeneza soko la ajira za wataalam wenu! Marekani inaziona hizo potential, inatengeneza program za kuchukua akili zenu! Mnaishia kupiga kelele!
Nani wa kumlaumu hasa? Marekani au upuuzi wa viongozi wenu!

Labda nikuulize, kwa nini chi masikini zisifanye the opposite! Kwa nini msifanye the opposite! Kwa nini tunashindwa ku drain brain from developed countries!
Sijaona nchi imepiga Marufuku Greencard! Labda Korea ya kiduku! Nayo sijui!

Ukweli unabakia nchi za kimaskini zisipobadili mwelekeo bado Marekani na washirika wake watachota kila aina ya raslimali!

Inasikitisha sana, haiwezekani wewe uwe brain drained na unajua kabisa kwamba you are brained drained na nafsi yako isikusute!!!, hiyo ni roho ya ubinafsi inayotukumba sisi waafrika weusi sote kwa ujumla, kila mtu ni mbinafsi katika nafasi yake na hapa hakuna wa kumlaumu mwenziye.

Suala linabaki palepale kwamba Green card lottery ni machine ya America ya kuchukua Watumwa stealthily kutoka nchi zingine ili kudhoofidha nchi hizo kimaendeleo hata kama watumwa hao hawataisaidia Marekani lakini lengo la America ni kuwaondosha huko ili kuzidhoofisha nchi hizo katika njia mbalimbali.

Pamoja na madhaifu yetu kwa ujumla lakini America naye anachangia pakubwa kutudhoofisha KWA MAKUSUDI, What a diabolic move!!!
 
Husutwi na dhamira jinsi politicians wenu ambao hawana game plans za kuikwamua nchi!

Naomba utusaidie, weka mjadala pembeni, nini kifanyike kuzuia watu wasitafute maisha nyumbani, wakati opportunities hakuna Tanzania!
Utasaidia wengi.
 
Angalau mseme nyie mlioko huko! Hati hata ufumbuzi wa nini ukosefu wa ajira, jinsi gani vijana wajikwamue! Yeye ni kuwakatisha tamaa tu!
Huyu achana nae Mkuu anasema MAREKANI KUNA TATIZO KUBWA LA AJIRA comment ya kwanza, kwenye comment ya pili anaandika MAREKANI WATU WANAFANYA KAZI ZAIDI YA MBILI, hivi unaweza kufanya kazi zaidi ya MBILI SEHEMU AMBAYO KUNA TATIZO KUBWA LA KUPATA KAZI? sio mzima huyu nakwambia.
 
Invigilator:
Jamaa anasukumwa na wivu, chuki binafsi, ujima, ubinasfi mpaka akili yake imeshindwa kufikiri kabisa!
 
Inasikitisha sana, haiwezekani wewe uwe brain drained na unajua kabisa kwamba you are brained drained na nafsi yako isikusute!!!, hiyo ni roho ya ubinafsi inayotukumba sisi waafrika weusi sote kwa ujumla, kila mtu ni mbinafsi katika nafasi yake na hapa hakuna wa kumlaumu mwenziye.

Suala linabaki palepale kwamba Green card lottery ni machine ya America ya kuchukua Watumwa stealthily kutoka nchi zingine ili kudhoofidha nchi hizo kimaendeleo hata kama watumwa hao hawataisaidia Marekani lakini lengo la America ni kuwaondosha huko ili kuzidhoofisha nchi hizo katika njia mbalimbali.

Pamoja na madhaifu yetu kwa ujumla lakini America naye anachangia pakubwa kutudhoofisha KWA MAKUSUDI, What a diabolic move!!!
Swali langu mbona hujibu? Nani wa kumlaumu na hiyo brain drainage mnayoshindwa kuitumia?

Marekani kaiona anaiondoa! Mnaishia kulalamika Umanamba! Umanamba! Just give us solutions to curb the drainage!
Na bado serikali yako inatengezeza vibali maalumu kama sio uraia pacha!
Nakuuliza pia, brain yangu aliyonipa Mwenyezi Mungu, nani ana mamlaka nayo! Serikali ya CCM?
Kama kuna system chini ya jua ambayo inaweza kutumia brain yangu na kunipa nachotaka, kwa nini nisiende kweye hiyo system?
 
Naweza kuwa mdogo ki umri mkuu. Excuse me!!

Umeandika pumba[emoji706]

Hivi hapa Tz hakuna mashoga???

Tutumie akili vizuri kutafakari kabla ya kukurupuka.

Hakuna sehemu duniani hapa hakuna mashoga, ni wewe na maisha yako.

“MIND YOUR OWN BUSINESS”

Ukiishi katika hayo maneno hakika hutokuwa na makasiriko wala roho za kinyongo kwa walikuzidi mafanikio, Period
Hivi kwako wewe unadhani kuwa na mafanikio ni kuwa na nini?
 
Kavulata! Mbona kila mtu ana definition yake ya mafanikio! Wengine ni kukaa mahali ambapo mababu zake walipoishi karne na karne! Wengine ni kuondoka na kutafuta mahali popote ambapo wanaona kuna hatima ya maisha yao!
 
Inaumiza sana kuona unapotosha watu kiasi hiki, wewe pengine hata Marekani hujawahi kufika, kama ulifika hukuwa na documents za kukuwezesha kuishi kwa amani, ndugu zangu watanzania nawahakikishia Marekani kuna fursa zaidi ya mara 50,000 ya Tanzania, huwezi kukoswa kazi Marekani kama uko timamu kiakili, nipo Marekani kila unakopita ni matangazao ya kazi. Nashindwa kuelewa akili ya huyu jamaa aisee.
Hata hapa Tz kazi zipo telee, tatizo ni kwamba huku ushoga haulipi kama huko, huko mwanaume unaweza kuolewa ukaishi vizuri tu, huku watu wana mapesa na wanunua kila kitu kwa cash, ndio maana unaona magari yapo barabarani, maduka yapo, watu wanajenga, watu wanasomesha, watu wanajenga shule binafsi, vyuo binafsi, nk. Tatizo sisi majeshi yetu ni ya ukombozi tu na kulinda mipaka, wakati huko majeshi yao ni ya kujenga uchumi, uporaji na wizi kwenye mataifa mengine na kupeleka kwao. KInachosaidia watu manamba kama nyinyi ni vitu vifuatavyo:

1. Ratiba ngumu (tight) za siku, wiki, mwezi na mwaka (kujilipua), huku watu hawako serious na matumizi ya muda wao (time management)
2. Kubana matumizi kwa kununua vitu vikuuvikuu au vilivyopitwa na wakati/msimu/fashion - mitumba/fast foods/clearance. Huku 95% wanapika wenyewe vyakula fresh, matunda fresh na nyama fresh, sio canned foods.
3. Kuwa mbali na extended families, ni wewe tu peke yako basi, lakini huku kuna ndugu wengi sana watakuhitaji uwasaidie na kutunza wazee wako waliozeeka.
4. kukopa.
5. wabongo Hamchagui kazi mkifika huko, huku kazi zipo lakini watu wanachagua .

Hata hapa bongo kama utaishi maisha kama hayo lazima utakuwa na financial freedom wakati huohuo ukiendelea kulijeng taifa lako kwa kodi, tozo na huduma. Furaha sio kuwa na pesa tu bhana wewe.
 
Hivi kwako wewe unadhani kuwa na mafanikio ni kuwa na nini?
Kavulata; Wakati unaendelea na mada hii, hebu tupe njia ya kuzuia huu umanamba! Kwa taarifa kamili ni kuwa Serikali ya Samia iko mbioni kutengeneza rasimu ya vibali maalumu kwa hao unaowaita manamba!
Tunakwenda page 25, hujatoa hata hints kwa vijana ambao baadhi wametoka vyuoni wafanye nini!

Hujaleta hata single website wapi wapate mikopo! Wapi wapate ajira! Wewe umeikomalia Marekani na ubaya wake!
Mara mashoga, Mara ubaguzi..Mara hiki au kile! Ulimwenguni kote wanajua kinachofanyika US, lakini kila mwaka idadi inaongezeka kwa watu wanaotaka kuingia nchi hii! Sio kutoka Tanzania! Bali Ulimwenguni kote! Hujiulizi kulikoni?
 
Kavulata! Mbona kila mtu ana definition yake ya mafanikio! Wengine ni kukaa mahali ambapo mababu zake walipoishi karne na karne! Wengine ni kuondoka na kutafuta mahali popote ambapo wanaona kuna hatima ya maisha yao!
Am_tunnechi amesema Ukiishi katika hayo maneno hakika hutokuwa na makasiriko wala roho za kinyongo kwa walikuzidi mafanikio. Mwambie huyo mwenzako anaedhani kuwa yeye ana mafanikio ya kuonewa kinyongo. Utamuoneaje kinyongo mtu aliyefanikiwa kwa kuikimbia jamii yake? au kwa kupapaswa? au kwa kufanya kazi chafu? au kwa kufanyakazi kwa bidii kila siku, kila wiki wakati wewe umelala? mafanikio si a relative term. kwangu mimi kuwa na mafanikio ni kuwa na mke mwema, watoto wema wacha mungu na wenye elimu, kutunza na kuwasaidia watu wangu kwa kutoa huduma yangu kwao, kulijenga taifa langu kwa mikono yangu. Lakini wewe kuwa na mafanikio ni kuwa tunna fedha nyingi mifukoni na kuwa na uwezo mkubwa wa kufanya manunuzi. .
 
Hata hapa Tz kazi zipo telee, tatizo ni kwamba huku ushoga haulipi kama huko, huko mwanaume unaweza kuolewa ukaishi vizuri tu, huku watu wana mapesa na wanunua kila kitu kwa cash, ndio maana unaona magari yapo barabarani, maduka yapo, watu wanajenga, watu wanasomesha, watu wanajenga shule binafsi, vyuo binafsi, nk. Tatizo sisi majeshi yetu ni ya ukombozi tu na kulinda mipaka, wakati huko majeshi yao ni ya kujenga uchumi, uporaji na wizi kwenye mataifa mengine na kupeleka kwao. KInachosaidia watu manamba kama nyinyi ni vitu vifuatavyo:

1. Ratiba ngumu (tight) za siku, wiki, mwezi na mwaka (kujilipua), huku watu hawako serious na matumizi ya muda wao (time management)
2. Kubana matumizi kwa kununua vitu vikuuvikuu au vilivyopitwa na wakati/msimu/fashion - mitumba/fast foods/clearance. Huku 95% wanapika wenyewe vyakula fresh, matunda fresh na nyama fresh, sio canned foods.
3. Kuwa mbali na extended families, ni wewe tu peke yako basi, lakini huku kuna ndugu wengi sana watakuhitaji uwasaidie na kutunza wazee wako waliozeeka.
4. kukopa.
5. wabongo Hamchagui kazi mkifika huko, huku kazi zipo lakini watu wanachagua .

Hata hapa bongo kama utaishi maisha kama hayo lazima utakuwa na financial freedom wakati huohuo ukiendelea kulijeng taifa lako kwa kodi, tozo na huduma. Furaha sio kuwa na pesa tu bhana wewe.
Mbona reactions ya tozo ilikua kubwa mtandaoni! Kulijenga taifa lako? Umeme na mgao baada ya miaka 60 toka tupate uhuru!
Hivi mnaijenga Tanzania au matumbo yenu!
Na inaposema vyakula fresh! Kweli huijui Marekani kabisa! Hukosi kabisa vyakula fresh! Ni chaguo lako!

Nakuuliza unayedai kuna vyakula fresh! Mbona mortality ya Tanzania iko chini kuliko ya US! Infants mortality ya Tanzania iko juu mno huwezi linganisha na Marekani!

Sasa hivyo vyakula fresh unavyosema vinamsadia nani?
Huna hoja kabisa Kavulata!
 
Kweli umanamba ni kipaji kama ilivyo ufupi na urefu.
 
Hata hapa Tz kazi zipo telee, tatizo ni kwamba huku ushoga haulipi kama huko, huko mwanaume unaweza kuolewa ukaishi vizuri tu, huku watu wana mapesa na wanunua kila kitu kwa cash, ndio maana unaona magari yapo barabarani, maduka yapo, watu wanajenga, watu wanasomesha, watu wanajenga shule binafsi, vyuo binafsi, nk. Tatizo sisi majeshi yetu ni ya ukombozi tu na kulinda mipaka, wakati huko majeshi yao ni ya kujenga uchumi, uporaji na wizi kwenye mataifa mengine na kupeleka kwao. KInachosaidia watu manamba kama nyinyi ni vitu vifuatavyo:

1. Ratiba ngumu (tight) za siku, wiki, mwezi na mwaka (kujilipua), huku watu hawako serious na matumizi ya muda wao (time management)
2. Kubana matumizi kwa kununua vitu vikuuvikuu au vilivyopitwa na wakati/msimu/fashion - mitumba/fast foods/clearance. Huku 95% wanapika wenyewe vyakula fresh, matunda fresh na nyama fresh, sio canned foods.
3. Kuwa mbali na extended families, ni wewe tu peke yako basi, lakini huku kuna ndugu wengi sana watakuhitaji uwasaidie na kutunza wazee wako waliozeeka.
4. kukopa.
5. wabongo Hamchagui kazi mkifika huko, huku kazi zipo lakini watu wanachagua .

Hata hapa bongo kama utaishi maisha kama hayo lazima utakuwa na financial freedom wakati huohuo ukiendelea kulijeng taifa lako kwa kodi, tozo na huduma. Furaha sio kuwa na pesa tu bhana wewe.
Naona akili yako iko fragmented...hoja zako unakuwa kama una bipolar!
 
Kweli umanamba ni kipaji kama ilivyo ufupi na urefu.
Umekosa hoja! Umejaribu kila njia...in short tengeneza thread nyingine! Serikali yako inatengeneza rasimu ya vibali maalumu!

Nimemuuliza jamaa yako, mtafanyaje kuzuia umanamba? It seems you are fighting the losing battle!
Badala ya serikali kupiga Marufuku umanamba inatengeneza special status!
Maybe ungeandika hoja za msingi hapa, Serikali ingetafakari mara mbili!
Kavulata umeanzisha mada, ila umeshindwa kabisa kujenga hoja yako!
Nenda kajipange upya!
 
Am_tunnechi amesema Ukiishi katika hayo maneno hakika hutokuwa na makasiriko wala roho za kinyongo kwa walikuzidi mafanikio. Mwambie huyo mwenzako anaedhani kuwa yeye ana mafanikio ya kuonewa kinyongo. Utamuoneaje kinyongo mtu aliyefanikiwa kwa kuikimbia jamii yake? au kwa kupapaswa? au kwa kufanya kazi chafu? au kwa kufanyakazi kwa bidii kila siku, kila wiki wakati wewe umelala? mafanikio si a relative term. kwangu mimi kuwa na mafanikio ni kuwa na mke mwema, watoto wema wacha mungu na wenye elimu, kutunza na kuwasaidia watu wangu kwa kutoa huduma yangu kwao, kulijenga taifa langu kwa mikono yangu. Lakini wewe kuwa na mafanikio ni kuwa tunna fedha nyingi mifukoni na kuwa na uwezo mkubwa wa kufanya manunuzi. .

Hivi umeelewa nilichokiandika mkuu?? Ama umesoma bila kuelewa.

Ukiwa bizi na mambo yako, huo mda wa kuanza kuchunguza watu na kucomplain sijui manamba mara wanaoenda abroad ni utumwa blah blah blah mingi[emoji706]

Live your life mkuu, utaishi kwa amani ya moyo hapa duniani.

Mimi bado sijafanikiwa kwa hesabu zangu, ila thanks to Almighty amenijaalia sina roho ya husda na wivu kwa watu.

Na napenda sana kuona watu wakifanikiwa either kiuchumi or kielimu.

Napambana na kuangalia fursa zilipo nami nijongee huko zilipo, na si kukaa hapa na kudumazana akili tu hakuna kinachoendelea.

Najitizama mimi na family yangu, ni vipi nijajikwamua kiuchumi.

Iwe kwenda nje ya nchi nikipata fursa, naingia kwa miguu yote huku nikifahamu naenda kufanya nini kwa ajili yangu na kizazi changu.

Na sio nyie wafia siasa za CCM, rushwa kila kona mnatasema kitu gani.

Life!’s good!! Tujaletwa duniani kuteseka laaa, bali ni kula mema ya nchi.
 
Umekosa hoja! Umejaribu kila njia...in short tengeneza thread nyingine! Serikali yako inatengeneza rasimu ya vibali maalumu!

Nimemuuliza jamaa yako, mtafanyaje kuzuia umanamba? It seems you are fighting the losing battle!
Badala ya serikali kupiga Marufuku umanamba inatengeneza special status!
Maybe ungeandika hoja za msingi hapa, Serikali ingetafakari mara mbili!
Kavulata umeanzisha mada, ila umeshindwa kabisa kujenga hoja yako!
Nenda kajipange upya!

Hawana point kabisa hao, Mkuu.

Usipoteze muda wako bure, ingelikuwa watu wa kuelewa kitambo wangelielewa.

Wapo kwa ajili ya kupinga kila kitu.
 
Inasikitisha sana, haiwezekani wewe uwe brain drained na unajua kabisa kwamba you are brained drained na nafsi yako isikusute!!!, hiyo ni roho ya ubinafsi inayotukumba sisi waafrika weusi sote kwa ujumla, kila mtu ni mbinafsi katika nafasi yake na hapa hakuna wa kumlaumu mwenziye.

Suala linabaki palepale kwamba Green card lottery ni machine ya America ya kuchukua Watumwa stealthily kutoka nchi zingine ili kudhoofidha nchi hizo kimaendeleo hata kama watumwa hao hawataisaidia Marekani lakini lengo la America ni kuwaondosha huko ili kuzidhoofisha nchi hizo katika njia mbalimbali.

Pamoja na madhaifu yetu kwa ujumla lakini America naye anachangia pakubwa kutudhoofisha KWA MAKUSUDI, What a diabolic move!!!
Mokaze;
Tanzania imedhohifika na nini toka Greencard ianze? Au taja nchi yoyote ya Africa ambayo matatizo yao ni braindrainage!
Kila mwaka vyuo vikuu vinazalisha vijana ambao wanashindwa kuwa absorbed kwenye soko la ajira! Ni Marekani ya kulaumiwa? Au hauko Tanzania nini?
Wangapi wamesoma Petroleum Engineering, Computer science, nk wanazunguka mitaani! Na hata ukiwaajiri anaanza na Tsh 500,000/ Mtu huyo akipata kazi nje unasema Kawa manamba!
Mnashindwa kujua Software engineers wa India mchana na usiku wanagombea HB Visa kuja kufanya kazi US! Na ndio wengi Software developers wamejazana Silicone Valley! India haijalalamika umanamba! Bali kila leo ina encourage watu wao waje US!

Mmekaririshwa na elimu zilizopitwa na wakati, hata hamjui dunia inakwendaje leo!
Siri moja ya America ni kuingiza watu wenye vipaji mbalimbali! Na sababu mojawapo ya umaskini wa Africa ni kushindwa kutumia vipaji vya wananchi wao!
Nani wa kumlaumu! Jibu lenu rahisi ni Marekani! Kweli safari yetu itakuwa ndefu sana!
 
Naona akili yako iko fragmented...hoja zako unakuwa kama una bipolar!
Tunatofautiana kwenye Vision. Wewe unawaza kuhusu tumbo lako na wanao wakati mimi ninawaza kuhusu nchi ambayo uzao wangu, shangazi na wajomba wanaishi na wataendelea kuishi. Yaani nimeshapita huko kwenye tumbo langu tu na wanangu. Hii inanifanya nisiwe na cha maana sana cha kuongea na wewe ambao tayari umeshafanya maamuzi ya kuwa bwabwa. Kuandika kote huku ninakofanya ni kwaajili ya wale maskini vijana ambao hawajaamua lakini wanatarajia kufanya maamuzi kwa kudanganywa na akina cassava kuwa US hakuna doa hata moja njooni.
 
Naomba usinichekeshe! Una vision wewe! Kama wenye vision wana akili kama yako mgao wa umeme, maji utaendalea kuwepo Tanzania miaka mingine 60 tena...yaani miaka 120 toka tupate uhuru
Mawazo finyu, mgando! Kwa wasomi kama wewe ndio maana taifa linapiga mark time!
Umeandika mengi mno, sijaona hata tone la kuondoa tatizo la ajira! Sana umesema Passport yako imejaa kwa kuja Marekani!
Tuna safari ndefu sana!
Wakati India inatuma kwa wingi Software engineers na H IB Visa na wamejazana Silicone Valley....wewe hata kuwapa uthubu Vijana wa Tanzania unashindwa!
CCM itatutawala kwa muda mrefu sana!
 
Back
Top Bottom