Green card lottery ni Umanamba mamboleo

Wananchi wanataka mabadiliko, wanatafuta nafuu kwa mtu yeyote yule, wasipoyapata kwako watapindua tena na kuunga mkono aliyepindua. Bahati mbaya wapinduaji na hata wananchi hawajui kuwa tatizo lao liko nje ya nchi, mabeberu wamekaba njia zote za kupumulia. Ndio maana hata nchi zilizofanya mabadiliko ya watawala na vyama tawala kwa njia za kidemokrasia hawakupata nafuu yoyote pia. Yaani upindue au utumie kisanduku chakula kuleta uongozi mpya maisha ya watu yatabaki vilevile kama watu hawata address the actual problem (unyonyaji wa magharibi)
 
Ubaguzi upo kila mahala na haufuati rangi tu!! Wewe hapa bongo mtoto wa kabwela utajifananisha na Abdul mtoto wa Samia kupata fursa za biashara? What matters is who you know and not your knowledge1
 
Bila kujali umri wako lakini unaonekana ni punguani kabisa aliekuambia green card wanaaply africans tu ni nani??? Green card inakupa ruksa ya kuishi kama raia sasa hup utumwa unatoka wapi? Unaweza kuwa vyovyote unavyotaka in USA let people live the american dream nawewe kaa bongo nchi ambayo wazee ni wachache sana maana watu wanakufa kabla ya kufikia 60yrs, nchi bado ina malaria na typhoid huwa sitaki watoto wangu waje bongo mpaka wafikie 18yrs.

Bongo nchi ambayo bila connection kazi hupati. Najua unaona wivu namna ambavyo diasporas wanashusha miproject ya kueleweka bongo wakati huo wewe na elimu yako kubwa umejenga kinyumba cha vyumba vitatu huku unasubiri mafao yako yasiozidi mil100 baada ya kufanya kazi robo tatu ya maisha yako katika nchi ya vumbi huku unastaafu na ukimwi juu mbwa wewe.
 
Bora Uwe manamba ulaya na America, kuliko kuwa panya road mwenye degree bongo,
Umeajiriwa lakini kipato dunia, hakikidhi mahitaji yako,
Sasa si Bora Uwe manamba US, ajira, ipo,dollar za kutosha, mpaka utajenga mijengo nyumbani,
Bongo vijana hawawi manamba, wanafanywa machawa!
Wewe unakubali kuwa "chawa"ili upate kula yako, wakati huyo mwanasiasa, yeye watoto wake, wameishaandaliwa makampuni ya kusimamia, na ajira tamu tamu,
Angalia vitu kwa mapana yake,
 
Tofauti ipo kubwa bro,
Vijana wanaobahatika kufika ulaya na kufanya kazi za supermarket, u nesi nk, wanapata pesa nzuri sana,
Diaspora wa Kenya wanatuma nyumbani pesa nyingi sana zinazosaidia jamii zao,
Hao babu zetu walituma nini kama walikuwa wanalipwa vzr?
Hao viongozi, wako wa kisiasa, wanashirikiana na Hao "wakoroni" Kufanya biashara na kuanzisha makampuni, sasa wewe kapuku kaa useme,kwenda Ulaya, ni umanamba,
Kufanywa chawa, na mwafrika mwenzio ni sawa, Ila kuwa "manamba" Kwa mzungu sio sawa!!? "
"Not every thing you believe is true"
 
Zamani nilijifanyaga napinga kuzamia mtoni nikaja kugundua mimi ni mpumbavu, lofa na ms**nge mkubwa. Japo si nchi yagu lakini bora kuishi mbele ambako kodi inafanya kazi yake kuliko bongo

Hapa bongo sio kodi tu inayotafunwa, mapanya yanakopa mpaka WB yanatafuna halafu maendeleo yanamkamua mnyonge

Mapanya wakubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubaguzi upo kila mahala na haufuati rangi tu!! Wewe hapa bongo mtoto wa kabwela utajifananisha na Abdul mtoto wa Samia kupata fursa za biashara? What matters is who you know and not your knowledge1
dhambi za vijana waliozikimbia nchi zao zitafutwa kama watachuma fedha nyingi huko nje na kurudi kuwekeza huku kwao kuujenga uchumi wa nchi zao kwa manufaa ya jamii zao zilizoko Afrika. Vinginevyo ni hasara tu sawa mzazi mwenye mtoto hanithi asiyeweza kuendeleza uzao wake.
 

Kavulata, hivi uko kwenye akili timamu......Babu wa babu yangu sijui alitoka Congo au Gabon......Maana Wabantu walihama toka West Africa.....mimi nimejikuta niko Tanzania......Baba yangu alijitoka kijijini kwao kahangaika kuja ku settle Dar.....Hao Matajiri Wa Kihindi wanaomiliki Utajiri Tanzania wana dhambi yoyote kwa kuondoka India.......Unajua Rostam Aziz kwao wapi.....

Nilikuja Marekani kwa Utashi wangu.....Hata Wazazi wangu wengepinga ulikua ni uamuzi wangu binafsi Mkuu.....Sijajuta.....familia yangu US haina majuto......na laiti ungelijua wingi wa wanafamilia na marafiki wanaotaka niwasaidie waje US.......

Kama kuna dhambi kubwa ni hao wanaotembea na V8 wakila kodo za wananchi....Mpaka leo tunachimbiwa vyoo kwa msaada, tunaletewa msaada wa Condom.....Tunaletewa vyandalua kujikinga na Malaria.....Huoni hiyo ni dhambi kubwa!

Utumwa wa mawazo kumiliki maisha yako, huo ulinipita mbali...
 

Mkuu nimempa data hapo na kuonyesha bado waafrika ni ndogo sana......jamaa hataki ukweli huu....
 
Wahindi wengi tulionao hapa walizaliwa Tanzania kama vile Afro-Americans wengi walivyozaliwa hapohapo tz. Rostam amezaliwa hapahapana wazazi wake hawakuwa manamba. Wahindi wetu wengi ni wawekezaji (wana mitaji) sio watu wanaopalilia matikiti ya watanzania. Hii ni tofauti sana na vijana wetu wengi wanaohamia Ulaya na marekani ambao 99% wanafanyakazi kwenye glossaries, hardware (stores), mashambani, hospitality, wachunga ng'ombe kule Taxes, ujenzi, car wash, vinyozi na kazi nyingine ambazo wenyeji hawazipendi kwasababu ni chafu, ngumu au zina malipo ya chini sana. Hivyo usifananishe wahindi wa bongo na manamba wa marekani.
 
nenda mwenyewe wenzako walikataa ikashindikana. hebu ona

View: https://www.youtube.com/watch?v=us5_eQO3KmM
 

Umewahi kufika Texas au unasikia......Unajua hata Ngo'mbe wa Texas wanafugwaje....Tembea uone Kavulata....usingoje kusimuliwa... kweli huijui Marekani kabisa.....Kazi za Mashambani zinafanywa na watu toka South America, tena kwa Visa Maalumu...sio illegal immigrants.....

Anyway...niko Marekani....Community ya Watanzania niliyonayo Dallas sio unayoizungumza Mkuu....najua wako watu wasio na Makaratasi.....Siwezi kutoa siri za mafanikio ya watu hapa....Kama umekunywa maji ya Bendera yaoge kabisa Mkuu......Tuko Marekani na pia Rais Samia anatungenezea vibali maalumu.....wewe meza misumari!

Hao Warusi, Wachina unadhani ni wapuuzi kuomba Greencard....Unashindwa kukubali Ukweli kuwa Africa ni wachache kabisa wanaoingia Marekani kwa GreenCARD.....hata unapozungumzia illegal immigrants Africa ni kama 2% -8%.....

In short huna uzalendo wowote....ni chuki binafsi....Ushamba ndio unaokusuma....Huna hoja yoyote ya msingi kwa mtu anayeamua binafsi kwa utashi wake mwenyewe kutafuta maisha nje ya Tanzania.....
 

Manamba toka Ulaya...Marekani haina mchezo....

ngalia Jedwali..."
EUROPE
ALBANIA 2,001GREECE 28NORTHERN IRELAND 4
ARMENIA 3,525HUNGARY 66NORWAY 4
AUSTRIA 34ICELAND 4POLAND 228
AZERBAIJAN 1,260IRELAND 13PORTUGAL 10
BELARUS 1,535ITALY 154Macau 7
BELGIUM 32KAZAKHSTAN 1,908ROMANIA 228
BOSNIA AND HERZEGOVINA 47KOSOVO 413RUSSIA 5,505
BULGARIA 161KYRGYZSTAN 2,846SERBIA 134
CROATIA 12LATVIA 48SLOVAKIA 20
CYPRUS 8LITHUANIA 91SLOVENIA 2
CZECH REPUBLIC 19MALTA 8SPAIN 96
DENMARK 12MOLDOVA 670SWEDEN 26
Faroe Islands 1MONTENEGRO 28SWITZERLAND 27
ESTONIA 17NETHERLANDS 19TAJIKISTAN 2,485
FINLAND 14Aruba 4TURKEY 3,383
FRANCE 209Curacao 1TURKMENISTAN 555
GEORGIA 2,071Sint Maarten 3UKRAINE 3,808
GERMANY 512NORTH MACEDONIA 258UZBEKISTAN 5,511
 

Lumumba na Kelele zake zote...Wakenya wameweka Pamba masikioni.....mwaka jana wameingia Marekani 3400....Kazana Kavulata.....! Labda Waafrica watakusikia...

AFRICA
ALGERIA 5,526ESWATINI 5MOZAMBIQUE 2
ANGOLA 422ETHIOPIA 2,761NAMIBIA 6
BENIN 404GABON 45NIGER 78
BOTSWANA 9GAMBIA, THE 65RWANDA 1,024
BURKINA FASO 137GHANA 3,398SENEGAL 253
BURUNDI 400GUINEA 706SIERRA LEONE 522
CABO VERDE 24GUINEA-BISSAU 9SOMALIA 1,541
CAMEROON 2,392KENYA 3,417SOUTH AFRICA 222
CENTRAL AFRICAN REPUBLIC 19LIBERIA 1,221SOUTH SUDAN 53
CHAD 257LIBYA 397SUDAN 4,863
COMOROS 3MADAGASCAR 21TANZANIA 165
CONGO, DEMOCRATIC REPUBLIC OF THE 4,385MALAWI 23TOGO 1,036
CONGO, REPUBLIC OF THE 389MALI 90TUNISIA 168
COTE D’IVOIRE 552MAURITANIA 174UGANDA 1,044
DJIBOUTI 249MAURITIUS 1ZAMBIA 59
EGYPT 5,529MOROCCO 4,469ZIMBABWE 202
EQUATORIAL GUINEA 4Western Sahara 2
ERITREA 376
 

Msaidie Rais.......achana na watu wanaotaka kutafuta maisha nje.....

Rais Samia Suluhu Hassan anasema :

"Sote tunafahamu kuwa miaka ya 1960/70 nchi yetu na nchi za bara la Asia zilikuwa na uchumi unaolingana, lakini 'baada ya muda' wenzetu wametupita tena sana. Mfano Thailand kwa miaka hiyo ilikuwa na 'GDP Per Capita' ya Dola 166 na Tanzania tulikuwa 165. Leo Thaliland wako Dola 7,495 na sisi tuko 1,227.


Hali ya maisha ni ngumu....Lakini Kavulata huoni hilo.....
 

Nimekwambia kampe Rais ushauri......

“Mtuambie wenzetu wamefanya uchawi gani kukua kiuchumi, na sisi tunakosa nini, tuna rasilimali hatuzitumii? au kitu gani, ila niseme ni wazi wenzetu wamepiga hatua kubwa sana licha ya kuwa sisi tumewazidi kwenye rasilimali diplomasia ya uchumi ifanye kazi hapa, tujiulize tuliachwa wapi?” - Rais SuluhuSamia
 

Unampigia mbuzi gitaa......labda hujui nini kinatakiwa kifanyike nchi za Kiafrica.....

WORLD

Nearly 2,000 migrants have died crossing the Mediterranean this year. Here's why​


Hundreds died aboard the Adriana

According to IOM data, at least 1,999 migrants died between January 1 and June 26 of this year, mostly from drowning. In the same period last year, 1,358 died. These tallies include those who died in the three major routes across the Mediterranean, as well as at the Atlantic route from West Africa.


GOATS AND SODA

They set sail with dreams and met disaster: Stories from the ill-fated migrant ship

One enormous tragedy accounts for a large portion of the uptick: the capsizing of the fishing boat Adriana two weeks ago in deep waters off the coast of Greece. The boat had departed Libya crammed with hundreds of people. When it capsized, it took the lives of most of the migrants on board, and IOM estimates the number who perished at 596

More people are attempting the crossing​

Another factor is that the overall number of migrants attempting to cross the Mediterranean is higher than it was last year.

Italy in particular has seen a significant increase in the number of migrants arriving: more than 60,000 so far this year, compared with fewer than 27,000 at this point last year. IOM estimates that the total arrivals of migrants by sea to Mediterranean Europe are more than 82,000 this year, compared to fewer than 49,000 by this time last year.
 
Kaka hii ni MORDEN SLAVERY! hata ujifarague namna gani, aina hii ya slavery haitafuti watu wenye nguvu tu za kufanyakazi, bali inazingatia ujuzi wa mtu bila kujali ana rangi gani na anatoka bara gani. Hata hivyo, lengo lao kuu ni kupata cheap mixed skills labor. Utabishana hadi kufa lakini huu nin umanamba (modern slavery).
 
So wewe hapa tanzania sio mtumwa???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…