cassavaleaves
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 1,799
- 2,237
Ni maskini Jeuri kweli! Nakusamehe kwa IQ ndogo, nakusamehe kwa ushamba pia, lakini mpaka kuwa na roho mbaya!Akili ndefu ni kuwa mkimbizi na kulikana taifa lako na uraia wako? shame. Ikitokea xenophobia unatetemeka na kutafuta pa kujificha. PATA SEMA lakini Mimi ni maskini jeuri, sijuti kuwa mtanzania Wala kuishi Tanzania.
Discussion yangu yote iko centered kwa wale ambao options nyumbani zimekataa, you keep ignoring that!
Kwenye Mada hata hujoa hints au options zozote zile kwa wale graduates wanaotuombe P3 wafungue biashara!
Uko kimya kabisa, sasa kama sio roho mbaya ni nini !
Unakuja kujitapa umejaza Passports kwa kuja Marekani! Hata senti hujawahi kununua ticket ya ndege! Watu tunakuja Tanzania kwa Tickets zetu! Tunazunguka mikoani kuona jamaa kwa tickets zetu! Nimeleta wazazi wangu kunisalimia kwa tickets nilizonunua mwenyewe, nime attend misiba ya ndugu zangu kwa gharama zangu.
Sasa Wewe mshamba unajionyesha kwa kusafirishwa na serikali! Poor you!
Natoa options tu! Niliowasaidia kuingia US kihalali mpaka leo wananishukuru!
Una roho mbaya sana jamaa yangu! Kuzaliwa Kome visiwani, au Igagala, sio justification ya huo wivu na chuki!
Huna uzakendo wala hujui uzalendo nini, umejificha tu ndani ya kichaka hicho!Pathetic and sad!