Green card lottery ni Umanamba mamboleo

Green card lottery ni Umanamba mamboleo

Kavulata, naona sasa unaingiza harufu za Ukabila! Umeshindwa kabisa kuuza hoja zako, nadhani kila mtu anayesoma hoja zako, anaona zinasukumwa na chuki binafsi tu! Hatujaona kabisa uzalendo wako, sana sana umeonyesha ulimbukeni, na ushamba, sina haja ya kuzirudia nukuu zako tena, maana zinaleta ukakasi mno kuhusu elimu yako! Na hata huko kutembea kwako kumeshindwa kabisa kukusaidia kufikiri!

Na inasikitisha mno watu kama ninyi ndio mmejaa wizarani! Anyway kwa kukusaidia tu, mimi sijatoka Kanda ya Kaskazini! Ukoo wangu ni mchanganyiko hasa, a truly Tanzanian, nimechanganya makabila mpaka dini! (Ukristo na Uislamu) Na ndugu pande zote. Hii imenisadia kumwangalia mtu kama kama mtu, bila kujali kabila, lake, dini yake, na taifa lake, nilifunzwa ubaya wa "stereotyping mapema mno maishani, hivyo iliniezesha kufanya kazi Mashirika ya Kimataifa hata kabla ya kuamua kuishi Marekani, na kunikutanisha na watanzania ambao kwa miaka mingi wamekua wakifanya kazi nje ya nchi ya Tanzania katika mashirika kama Africare UNDP, FAO, UNICEF,DFID nk katika nafasi kubwa, na ilikuwa ikituumiza sana kuona idadi ya Watanzania ni ndogo mno, ukilinganisha na wenzetu kutoka Kenya, Ghana, Nigeria, Uganda, na kila mara tunapokutana ilikuwa tunafikia, tufanyeje kuwafanya Watanzania wajaribu kutafuta kazi za kimataifa, kwa faida zao binafsi na hata mbeleni kwa faida ya Tanzania. Maana wenzetu wa mataifa mengine walikuwa wakiletana na wanasaidiana.

Nimekuja Marekani nikiwa na Financial Freedom kubwa ambayo labda kwa sasa wewe unajaribu kufikia kwa Per Diem za serikalini! Nimekulia, Upanga, Oysterbay, Masaki! Hiyo ndiyo Dar es Salaam yangu, kwa mbeleko ya wazazi wangu ambao walikuwa na broader perspective ya maisha, urithi mkubwa walioniachia, ambao najivunia! na mimi pia kuishia kutengeneza makazi yangu na biashara zangu sehemu hizo hizo Dar es Saam.

Nikiwa na miaka ya 30 to 35 tayari nilikuwa nime achieve vitu vingi ambavyo mamilioni ya Watanzania watakwenda kaburini hawata weza kupata, maana najua maisha ya vijijini kwa undani! Vijiji ambavyo bado wengi wanaona gari inapoleta mitihani ya darasa la saba, au padri anapokuja kusalisha misa baada ya ya muda mrefu, au wanapoletewa Masanduku ya kupiga kura kila baada mika mitano mitano, na wakati mwingine mbio za mwenge. Watu hao kamwe kama hakuna nguvu au neema ya Mwenyezi Mungu ni vigumu kutoka hapo walipo, Sijaona utashi wowote wa kisiasa kuwaondoa watu hao katika uduni huo wa maisha.

Hayo ndio maisha yangu! Nilifikia hali hiyo si kwa vile ni genius! Ni mipango ya mwezi Mungu tu, ambaye anakuleta duniani bila kuchagua mzazi, wala mahali pa kuzaliwa ! Na ambaye pia anajua lini na wapi nitavuta pumzi yangu ya mwisho! Ni muumini naye amini uwepo wa Mungu, hasa katika mafunzo ya Predestination! "My destiny is in the hand of God"

Mtazamo wangu wa maisha ni kuwa, baraka za Mungu na mafanikio ambayo amekupa bure jaribu kama unaweza kuwasaidia wenzako ambao unapishana nao ulimwenguni kwa muda mfupi, kimawazo na kihali, na huo ndio umekuwa msimamo wangu, kwa wale ambao wanaona Tanzania ni ngumu, au milango imefungwa, kwa kuwaambia si mbaya kujaribu nje ya nchi! Kama mimi nimeweza, kwa nini wengine wasiweze! Hivyo si mrubuni wala kumshawishi mtu! Sipati faida yoyote kwa kufanya hivyo, ni kusaidia tu watu kufikisha ndoto zao!

Hivyo tukubali kutokubaliana, wewe umewekwa kwa sasa kwenye position hiyo ya kuwasadia Watanzania, fanya unaloweza kufanya.Nami nitafanya naloweza kufanya nikiwa na nia safi na dhamira njema.

Naamini wako watakao soma posts zako na zangu pia, kwa msemo wa Mhe mstaafu Rais Kikwete, akili za kuambiwa changanya na kwako watafanyia kazi.

Siku Njema, Maisha mema!.
Mimi sina position yoyote, ni lumpen kama walivyo wengine, ninachotofautiana na wewe ni picha unayoichora kuhusu Marekani watanzania waione Marekani kupitia picha yako hiyo na picha unayoichora Tanzania ili Marekani waione Tanzania kupitia picha yako hiyo ofu.

Unachora picha kwamba Marekani maisha ni rahisi, hakuna asiyekuwa na kazi, hakuna ombaomba, hakuna maskini, hakuna anayeshindwa kuishi, hakuna uhalifu. Kisha unachora picha ya Tanzania isiyokuwa na jema hata moja, hakuna umeme, maji, chakula, shule Wala oxygen, hivyo hakufai kuishi. Huu ndio ugomvi wangu na wewe, basi. Waambie vijana ukweli, both sides of the coin ili wawe na informed choice badala ya kuwapa matumaini bandia.
 
Nakuunga mkono mkuu, hilo la ubaguzi nimechomekea kidogo lakini kwa experience yangu halikunitokea dhahiri.....labda kama ulivyosema kuna watu ambao ni asilimia kubwa tu ambao hawajawahi kutoka kwenye nchi zao kwenda maeneo tofauti kushuhudia uhalisia wa mambo ulivyo, zaidi ya kuhadithiwa au kusoma kwenye media. Sasa ukikutana na mzungu ambaye habari alizonazo kuhusu Afrika ni kwamba huko kuna magonjwa hatari kama Ebola na watu ni wagomvi wanapigana wenyewe kwa wenyewe akiogopa kukaa kwenye siti moja na wewe kwenye gari itakuwa ni kutokana na notion aliyo nayo kwa wakati huo kuhusu mtu mweusi, but with time akijifunza kuishi na watu weusi au akapata fursa ya kutembelea Afrika unakuta mtazamo wake unabadilika kabisa. Kwa hiyo nakubaliana na wewe kwenye kutofanya generalization kwenye hili na kwamba kwa sisi tulio na some experience na maisha ya huko, we should have some balanced views kwenye hili, isije kuonekana situation ni mbaya kihivyo kumbe kiuhalisia zinakuwa ni isolated cases.​
We ni mkundyu unasema balanced view halafu unageneralize na kusema Marekani nchi ya mashoga na manamba , we mseng€ nini ?
 
Mwafrica anapigana kwenda Ulaya na USA kusurrender nguvu kazi, hii ni aina mpya ya ukoloni tofauti na ile ya kuswaga kwa mijeledi.

Ulaya na America zilijengwa kwa jasho na damu na watu kufanya kazi usiku na mchana, Mwafrica anataka ajengewe Africa kwa favor ya wazungu, Wachina, waarabu na wahindi, huku yeye ameweka mikono mifukoni anakula bata.

Wenye uwezo wa kubadiri hii hali ni sisi wenyewe WaAfrica kwa kuamua kujitoa kizazi hiki kwa manufaa ya kizazi kijacho.

Hawa viongozi wabovu wanaotusumbua ni sisi wenye uwezo wa kuwatoa na kuwaadabisha huku tukiset utaratibu na kuweka mambo sawa.
 
We ni mpuuz endelea kulipwa huku 5 kwa siku hapo lumumba , msukule mmoja wewe
Kama wewe unashikishwa ukuta kwa vilainishi unapenda na wengine waje wafanye hivyo. Wacha udalali bro!
 
Kama wewe unashikishwa ukuta kwa vilainishi unapenda na wengine waje wafanye hivyo. Wacha udalali bro!
Mkuu hata mimi nimegundua jambo hilo kwa huyu jamaa, kanogewa mchezo kaamua kutufanya sisi maadui zake wakubwa, maana si kwa mapovu na matusi anayotoa.........yeye aendelee kusukumiwa mwenyewe, asitake kulazimisha ushawishi kwa vijana wengine nao wakaharibiwe kama yeye. Haishangazi matusi kama haya ni shehemu ya maisha ya watu weusi huko marekani wanaojiita nigga wanaoishi magetoni kutokana na mfumo baguzi kuwanyima fursa ya kuelimika angalau wastaarabike kidogo. Wanaishia kukaa magetoni, kuvuta bangi na kufanya kazi za kutumia nguvu nyingi na akili kidogo, kwa hiyo unaweza kuelewa kwa nini huyu mtu kajaa matusi mdomoni, typical character ya mtu ambaye ni socially marginalized.....​
 
Mimi sina position yoyote, ni lumpen kama walivyo wengine, ninachotofautiana na wewe ni picha unayoichora kuhusu Marekani watanzania waione Marekani kupitia picha yako hiyo na picha unayoichora Tanzania ili Marekani waione Tanzania kupitia picha yako hiyo ofu.

Unachora picha kwamba Marekani maisha ni rahisi, hakuna asiyekuwa na kazi, hakuna ombaomba, hakuna maskini, hakuna anayeshindwa kuishi, hakuna uhalifu. Kisha unachora picha ya Tanzania isiyokuwa na jema hata moja, hakuna umeme, maji, chakula, shule Wala oxygen, hivyo hakufai kuishi. Huu ndio ugomvi wangu na wewe, basi. Waambie vijana ukweli, both sides of the coin ili wawe na informed choice badala ya kuwapa matumaini bandia.
Watz wengi huwa mnahisi watu wanaoishi USA, Canada na Europe wanaringa,pia kufanikiwq ni juhudi za mtu na bahati,Kuna watu wako Tz wamesoma na wanamaisha mabovu.
 
Ukiwa na green card, bado unakuwa raia wa ulikotoka, ile ni visa sio pasi ya kusafiria ya nchi tofauti, ambayo ukiwa nayo basi si raia wa Tz.
Nmemuuliza huyo kenge aliyekuwa anazungumzia green card ni kuukana uraia wa nchi yako.
 
ℍ𝕚𝕧𝕚 𝔼𝔹𝕄 𝕜𝕖𝕤𝕙𝕒𝕗𝕦𝕟𝕘𝕦𝕝𝕚𝕨𝕒?
 
Ushoga ni faragha ya mtu ,kama na wewe unataka ni kubwa shoga panua mkundv wako ufirwe uwe shoga au tagmfuta bwana akuoe awe anakufyira huko matakoni maana unataka ni sana kufyirwa ili uwe kama hao mashoga unaowaongelea humu , mashoga wapo hapo bongo kila mtaa , pumbafu
nyie ni pesa pesa pesa tu, hamuoni shida kusambaza na kutumia vilainishi. Tunajua hunajua tunajua sana kuwa ni ma pro ushoga, kama A=B na B=C kwanini ushangae A kuwa sawa na C?. Yaani wewe unnapenda sana Marekani, na marekani inapenda sana Ushoga, kwanini na wewe usiwe shoga? hesabu tu za kawaida.
 
Mzee kwa hili povu si bure wewe umeolewa na kibabu cha kimarekani, bwahahaha.......
Ni mulemule, utakuta kibabu cha kizungu kinakula pension yake ya kutosha, kinatafuta kijana wa kumpapasa na kumkung'ung'uta ampe fedha, unadhani vijana hawa wanaokimbia ukosefu wa umeme kwao watazikataa? ili iweje kwa mfano!
 
Wewe goal yako kuu ni kupambana kwa hali na Mali hata kwa kuu tako lako moja ili kupata financial freedom. Sisi wenzio tunapqmbania kupata total freedom yetu, jamii na taifa lote kwa do or die tukiwa humuhumu. Hata hako kaahueni wanakokapata weusi pale Marekani ilikuwa ni kazi ngumu ya akina Martin Luther king na wenzake, kalipatika kwa jasho na ujasili sio kwa kuwaza kiboyaboya kama wanavyowaza watafuta greencard ili kukimbia matatizo kwao, huo ni uboya uliokithili kiwango. Huwezi kukimbia tatizo labda uwe umebemendwa akili. Mungu hakuwa mjinga kutuweka sisi Tanzania.

Do not uproot the pumpkin at your home state (Chinua Chebe)
Kama wewe ni ME Mungu hakuwa mjinga kukuwekea govi kwa nini ulilitoa au haujalitoa??.......watz wengi ipo shida kwenye ufikiriaji wetu
 
Kaka sisi Mimi, wewe na wengiñe humu tujisifu kwa kupiga vifua vyetu kwaajili ya kuwafundisha na kuwahabarisha watanzania wenzetu kile tunachokifahamu kuhusu greencard lottery na maisha ya wazungu ( the other side of the coin of greencard) kwakuwa tunayafahamu na tumeyapitia pia sisi wenyewe,

Faida za kuwa mkimbizi wa kisiasa, kiuchumi, kimazingira au kifikra ni chache sana kuliko hasara zake. Hata wayahudi walipata hasara kubwa sana kwa kuwa wakimbizi wa dunia nzima, waliteswa, walibaguliwa, walidharauliwa, walidhulumiwa, na hata kuawa kwa mamilioni hadi pale walipoamuua kurudi kwenye nchi Yao ya Israel. Kule Marekani Kuna watu wa rangi mbalimbali, lakini rangi duni Sana na isiyokubalika ni rangi yetu, hasa kutokana na historia Yao kwao kuwa walikuwa ni watumwa. Watoto wa kizungu wanapewa maagizo na mafundisho maalumu kuhusu waafrika, na hata sera ya kumiliki na kutembea na silaha kwa wazungu ni kwaajili ya kujikinda dhidi ya waafrika (watumwa), mzungu ameruhusiwa kumpiga risasi mzungu hata bila sababu Wala ushahidi wa kutosha.

Hata kwenye elimu weusi wanabaguliwa sana, elimu ya juu weusi ni wachache sana. Ukimuona mwanafunzi mweusi kwenye darasa la masters na PhD ujue ameletwa kwa scholarship fulani kutoka Africa lakini sio black Americans. Ni wachache sana na wengi wao hawakusoma sana, mara nyingi wanafanya donkey jobs kama vile jeshini, mashambani, kuimba, kucheza mpira wa kikapu na michezo mingine kama boxing, table tennis na riadha. Maisha Yao ni ya kuhangaika sana, binafsi namchukia mtu anaewashawishi vijana wetu waende wakatafute maisha ng'ambo ambako ni wachache TU ambao wanatoboa tena wenye elimu inayohitajika.
Ungejaribu kutuelezea tabia ambazo zimefanya mpaka black Americans wamekuwa hivyo ningekuelewa lakini sio kila kitu kusingizia wazungu.

Labda tu kwa asiyejua lakini sehemu wanazokaa mablack zinajulikana ni fujo, uhuni Sasa hapo mafanikio ya kufika mbali yatapatikana wapi. Wewe mwenyewe chukulia hapa hapa Bongo tu tulinganishe kimafanikio watu wanaokaa Masaki na Buguruni Spengo tutengeneze ulinganifu.

Halafu Kuna watz ambao wameenda Marekani via DV Lottery na elimu zao na wanafanya mishe nyingine tofauti na elimu zao kwa kufanya biashara au hata kazi tofauti na elimu zao huko unyamwezini sema nini wabongo wengi ujuaji mwingi kwa vitu vilivyo wazi.

Mm nashauri watu, wadau ikitokea tena labda tuseme mwakani umeshinda DV Lottery nenda kapige interview ubalozi maana wanasema za kuambiwa changanya na zako na maisha yako yapo juu yako mwenyewe.
 
Kama wewe unashikishwa ukuta kwa vilainishi unapenda na wengine waje wafanye hivyo. Wacha udalali bro!
Mama yako na wewe punga ndio nawashikisha ukuta na kuwasugua bila vilainishi , kuuma wewe
 
Mama yako na wewe punga ndio nawashikisha ukuta na kuwasugua bila vilainishi , kuuma wewe
Watu kama nyiye ndo mnakwamisha mchakato wa uraia pacha nchini. Hebu fikiria mtu anasema nimeamua kuukana uraia wa tanzania kwasababu tz ni washenzi kwenye kila kitu chake kwakuwa eti kuna umaskini, hakuna umeme, hakuna maji, hakuna ushoga, hakuna demokrasia, nk. nani anakubali uraia pacha kuruhusu jitu bwabwa kama hili liwe na passport yetu? anatutukanisha, anakuja tz akiwa amevalia mavazi na vidani vyenye rangi za upinde (rain bow)
 
Kavulata: Unajua unachokisema au umekaririshwa? Niko Marekani, sikuja kwa kufungwa mnyororo,na hata nikitaka kuondoka hakuna kamba iliyonifunga.
Ushauri kila siku kwa vijana wa kitanzania, kama unaona opportunities zimebana Tanzania jaribu popote, nina mifano mingi mno, na nimeona kwa watu toka mataifa mbali mbali niliokutana nao US!
Ukiwa na focus, na documents halali na yote unayoyasikia kuhusu Marekani, ni mahali unaweza kufikisha ndoto zako, sisemi ni rahisi, lakini kuna nyenzo ambazo hupati katika nchi nyingi za Kiafrica.
Sijahonga au kumuona yoyote watoto wangu kupata mikopo ya vyuo vyao, sikuwa na connection zozote zile watoto wangu kupata white color jobs! In short mtoto wangu alikuwa recruited akiwa bado chuoni, na leo akiwa na miaka24 is making almost $ 85,000/ Wenzake aliowaacha bongo waliomaliza chuo wanasaka ajira!
Sasa sijui ni utumwa wa aina gani huo!
Ni kweli Marekani/ Canada zinataka nguvu kazi, lakini ukiingia huku ni juhudi zako na akili yako! Wengine wataenda juu, na wengine chini, sawasawa na wazawa! Anayenifyekea majani nyumbani kwangu ni mzungu! Maana sina muda! Na kila baada ya wiki mbili au tatu ananipigia simu kama yameota aje kufyeka! Na ameniambia ni fundi katika serikali yetu ya mtaa anatafuta pesa ya ziada! Hii ndio Marekani, simdharau najua anachotafuta!
Hivyo usikaririshwe na akina Lumumba.
Hulazimishwi ni akili yako tu! Wengine wanatumia hapo bongo wanatoka! Wengine mambo yanakataa! Maisha popote pale!
Tanzania Kuna fursa nyingi kwa vijana kuliko Marekani. Tofauti ni kuwa ukiwa Marekani lazima ukasane saaaana ili utoboe kitu ambacho kinawezekana hata Huku Tanzania. Diamond platinum, harmonìze, na wengine wako vile kwa kuzanana saaana wakiwa hapahapa Tanzania. Marekani Kuna waimbaji weeengi sana huko lakini wanaofanikiwa ni wachache. Dawa kubwa iwe ni kufanyakazi kila kitu kwa bidii sio kuhamia Marekani. Tuwaambie ukweli vijana badala ya kuwapa false hope (matumaini bandia). Kifupi Marekani Kuna maskini wengi sana kuliko Tanzania, Kuna wafungwa wengi sana kuliko Tanzania, Kuna wasiokuwa na kazi wengi sana kuliko Tanzania, Kuna mashoga wengi sana kuliko Tanzania na Kuna wasiokuwa na elimu wengi Sana kuliko Tanzania na Kuna wabwia unga wengi kuliko Huku kwetu,
 
Tanzania Kuna fursa nyingi kwa vijana kuliko Marekani. Tofauti ni kuwa ukiwa Marekani lazima ukasane saaaana ili utoboe kitu ambacho kinawezekana hata Huku Tanzania. Diamond platinum, harmonìze, na wengine wako vile kwa kuzanana saaana wakiwa hapahapa Tanzania. Marekani Kuna waimbaji weeengi sana huko lakini wanaofanikiwa ni wachache. Dawa kubwa iwe ni kufanyakazi kila kitu kwa bidii sio kuhamia Marekani. Tuwaambie ukweli vijana badala ya kuwapa false hope (matumaini bandia). Kifupi Marekani Kuna maskini wengi sana kuliko Tanzania, Kuna wafungwa wengi sana kuliko Tanzania, Kuna wasiokuwa na kazi wengi sana kuliko Tanzania, Kuna mashoga wengi sana kuliko Tanzania na Kuna wasiokuwa na elimu wengi Sana kuliko Tanzania na Kuna wabwia unga wengi kuliko Huku kwetu,
Imagination just an illusion
 
Back
Top Bottom