Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Unaambiwa ukweli unasema negativity,Unajua wewe ni Mjinga! Hao vijana unaowasema hata hapa Tanzania wapo.
Your level of Stupidity render me speechless!
Baki na Negativity zako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaambiwa ukweli unasema negativity,Unajua wewe ni Mjinga! Hao vijana unaowasema hata hapa Tanzania wapo.
Your level of Stupidity render me speechless!
Baki na Negativity zako.
Ukweli una ujua wewe! au unadandia gari kwa mbele?Unaambiwa ukweli unasema negativity,
Kwanza Nakusalimu Jamaa yangu Kavulata, Ni holiday seasons huku imeanza, tuna Thanksgiving, mojawapo ya sherehe muhimu US, nami nikaona nipite jukwaani kuona mnaendeleaje.Tanzania Kuna fursa nyingi kwa vijana kuliko Marekani. Tofauti ni kuwa ukiwa Marekani lazima ukasane saaaana ili utoboe kitu ambacho kinawezekana hata Huku Tanzania. Diamond platinum, harmonìze, na wengine wako vile kwa kuzanana saaana wakiwa hapahapa Tanzania. Marekani Kuna waimbaji weeengi sana huko lakini wanaofanikiwa ni wachache. Dawa kubwa iwe ni kufanyakazi kila kitu kwa bidii sio kuhamia Marekani. Tuwaambie ukweli vijana badala ya kuwapa false hope (matumaini bandia). Kifupi Marekani Kuna maskini wengi sana kuliko Tanzania, Kuna wafungwa wengi sana kuliko Tanzania, Kuna wasiokuwa na kazi wengi sana kuliko Tanzania, Kuna mashoga wengi sana kuliko Tanzania na Kuna wasiokuwa na elimu wengi Sana kuliko Tanzania na Kuna wabwia unga wengi kuliko Huku kwetu,
Sorry kwa number......Tanzania inaingia roughly mara 10 kwa US.....3,717,792/363,900..........*Kwanza Nakusalimu Jamaa yangu Kavulata, Ni holiday seasons huku imeanza, tuna Thanksgiving, mojawapo ya sherehe muhimu US, nami nikaona nipite jukwaani kuona mnaendeleaje.
Anyway Kavulata, kwa ulivyojitambulisha mwenyewe unaonekana ni msomi, ingawa sijui fani yako ni nini hasa, Nashangaa sana na obsession yako na US, kama ungelikuwa na obsession hiyo hiyo na Tanzania, basi kweli Tanzania ingesonga mbele sana! Huu mgao wa Umeme, maji, huduma za afya na za kijamii zingelikuwa zimetatatuliwa kwa sehemu kubwa sana kwa mchango wako tu!
Marekani ina watu au vikundi vya watu, tunaita "Think Tanks" wao ndio wanakosa usingizi mchana na usiku kufikiri nini kifanyike kwa taifa la Marekani, ndio maana Marekani iko hapa! Labda na wewe kwa Tanzania ungeingia kundi hilo! Ingawa uelewa wako unanitatiza sana!
Lakini kinachonishangaza ni pale unapojaribu kulinganisha Tanzania na Marekani! Kuhusu Umaskini, watu walioko magerezani, wasiokuwa na kazi nk! Ndio maana nimesema sijui fani yako kabisa! Na Umesoma nini hasa? Kiasi cha kwamba umelemaa hata kwenye ufikiri wa kawaida tu, ambaye msomi yoyote anatakiwa kuwa nao! Chuki yako binafsi na USA imeua your objectivity kabisa! Sasa utaweza kweli kuisaidia Tanzania ukiifunika akili yako kiasi hicho?
Sitaki kukupa darasa la Uchum bure hapa, lakini, kwa kutumia indicators zozote zinatotumika kupimia vigezo vya maendeleo, huwezi kulinganisha wingi wa maskini wa Tanzania na Marekani , na hapo inabidi kwanza tunaposema maskini tunaamanisha nini hasa, tunaweza kukukuta tunazungumza vitu tofauti kabisa, na hapo bado hujaangalia population ya USA ( 333,4000,650) na Tanzania ( 60,000,000) ambayo ni kwamba wingi wa watu Marekani ni mara tano ya idadi ya watu Tanzania! Na eneo la ukubwa wa Nchi ( 3.717,792 Square miles) Ni nchi ya Tatu kwa ukubwa ulimwenguni, ikiwa nyuma ya Russia na Canada, ambapo Tanzania (363, 900 Square miles), Hivyo ukubwa wa Marekani ni kama mara tisini ya Tanzania!
Sasa baada ya kuangalia idadi ya watu, ukubwa wa nchi unaweza kuangalia vigezo vingine pia, Professo wangu wa maendeleo ya uchumi ( Development Economics) alinifundisha kuangalia na vigezo vidogo vidogo tu, kama ni nani wana uwezo wa kupata maji ya bomba, utumiaji wa umeme, upatikanaji wa elimu ya msingi, kumiliki usafiri! barabara zinazopitika katika nchi, ukaribu wa hospitali nk!
Ukitumia vigezo hivyo hivyo utakuta mfanyakazi wa chini kabisa Marekani ukimlinganisha na mfanyakazi wa chini kabisa Tanzania ni watu tofauti kabisa! Na umetoa wingi wa vifungo magerezani, lakini hujaja kabisa na statistics ! Hujaonyesha wingi wa wafungwa Marekani Versus Tanzania, na wamefungwa kwa nini hasa! Unaweza kukuta ukitumia vigezo hivyo utafunga robo ya Watanzania! Na Marekani kuna watu wafungwa kwa white color crimes, ningesema mafisadi, au makosa yanayofanana na hayo, Je Tanzania unaweza kunipa hata fisadi mmoja anaozea gerezani? Marekani ninaweza kukupa lists ya matajiri ambao wako gerezani na hata kufia gerezani kitu ambacho Tanzania hakuna kabisa! Kama unaifuatilizia sasa Marekani sasa hivi, kuna mwanamke anakwenda jela Marekani miaka 11 kwa utapeli wa uwekezaji, ilikuwa ni kampuni kubwa huko Silicon Valley:
Elizabeth Holmes, the founder and CEO of failed blood-testing company Theranos, has been sentenced to 11 years and 3 months in federal prison for her role in committing a years-long fraud that saw her company ascend to the heights of Silicon Valley before collapsing in disgrace.
Holmes was convicted in January of four counts of lying to Theranos investors about the company’s technology and its financial health. She faced a potential maximum of 20 years in prison.
Sasa nakuuliza tu, unaweza kukuta watu kama hawa wanafungwa Tanzania? Hata Africa tu, watafungwa kama tu watakuwa kinyume na Chama Tawala, Kwa kifupi Marekani ina watu kama hao magerezani.Ukii apply hii Tanzania akina Chenge wangekuwa magerezani siku nyingi! Licha ya list kubwa kutoka Chama tawala!
Narudia ndugu yangu Kavulata, huwezi kulinganisha Tanzania na Marekani, ni nchi kama nch kwelii! Kama ilivyo Nanasi na chungwa, lakini unapotaka kulinganisha matunda hutayaweka katika kundi moja!
Na chuki yako yote na Marekani, angalau tafuta vitu vya kujifunza! Wasomi wa China wamefanya hivyo! Leo tunaona wana nyanyuka! Wewe kama msomi ungekaa mezani na kufikiri Marekani imefikaje hapo na kujaribu angalau kuwafundisha wengine! Sio kukosa usingizi kwa kulinganisha Marekani na Tanzania!
Be positive ndugu, utapata ugonjwa wa moyo! Weekend Njema.
Unapoteza muda wako kubishana na mjinga,Iko wazi watz ambao wako nyumbani huwa na chuki na wenzao wanaoishi ughaibuni especially wanaoishi USA, Canada na UKKwanza Nakusalimu Jamaa yangu Kavulata, Ni holiday seasons huku imeanza, tuna Thanksgiving, mojawapo ya sherehe muhimu US, nami nikaona nipite jukwaani kuona mnaendeleaje.

Na amevaa nguo ya mtumba, taulo ya mtumba.unakuta yeye mwenyewe mtoa post amecheza hiyo bahati nasibu
Kamongo,Unapoteza muda wako kubishana na mjinga,Iko wazi watz ambao wako nyumbani huwa na chuki na wenzao wanaoishi ughaibuni especially wanaoishi USA, Canada na UK
Ni kazi gani hizo utafanya tz ili utoboe?. Angalia: mkazi wa Dar anaamka saa 10 alfajiri kwenda kazini kurudi ni saa 4 za usiku, je unadhani anapenda kuamka mda huo? na je anapenda kurudi nyumbani saa 4 za usiku? je mikoani kuna mkazi anaenda saa 10 au 11 alfajiri kazini? tambua kuwa mazingira yaweza kukufanya kuwa mchapakazi au mvuvi, wa mkoani akiamka saa 11 kwenda kazini atafika kazini atajikuta yuko peke yake mpaka saa 3 aubuhi ndipo pengine anaweza kuona mtu wa kumsalimia kwenye biashara yake, je siku inayofuata ataamka muda huo kwenda kazini??Unapoonhelea maisha ya Marekani unaongelea kufanya kazi kufa na kupona la sivyo uta perish. Hata tz ukifanyakazi zako vizuri ambazo sio za kuajiliwa lazima utatoka kimaisha. Kila kitu kipo Huku, Mimi binafsi nasikia vizuri sana kama nikiwa sehemu ya watu wanaowahudumia watanzania wenzangu. Sipendi kuishi kwa hofu na kubaguliwa.
Sengobad,Ni kazi gani hizo utafanya tz ili utoboe?. Angalia: mkazi wa Dar anaamka saa 10 alfajiri kwenda kazini kurudi ni saa 4 za usiku, je unadhani anapenda kuamka mda huo? na je anapenda kurudi nyumbani saa 4 za usiku? je mikoani juna mkazi anaenda saa 10 au 11 alfajiri kazini? tambua kuwa mazingira yaweza kukufanya kuwa mchapakazi au mvuvi, wa mkoani akiamka saa 11 kwenda kazini atafika kazini atajikuta yuko peke yake mpaka saa 3 aubuhi ndipo pengine anaweza kuona gata mtu wa kumsalimia kwenye biashara yake, je siku inayofuata ataamka muda huo kwenda kazini??
Sengobad: Nilitaka kumuonyesha Kavulata, umaskini unapimwa kwa vigezo tofauti kabisaSengobad,
Kitu ambacho Kavulata hakifahamu, hata vigezo vya kupima umaskini vinatofautiana kati ya Mataifa yaliyo mbele katika maendeleo ya viwanda na nchi maskini: ( Indicators and Monitoring Framework)
Ukitumia vigezo hivi Marekani, watu wote ni matajiri! Lakini maana hakuna mgao wa maji, maji ni safi (Mamlaka za maji zinapoleta maji yenye athari yoyote ile ni kosa kubwa sana) Hakuna ukosefu wa Umeme, kuwa Tv, gari ni kitu cha kwaida kabisa, Hivyo vigezo vinayotumika kupima umaskini Marekani ni tofauti kabisa!
- Adult or child malnourishment
- Disrupted or curtailed schooling (a minimum of years 1-8)
- The absence of any household member who has completed 6 years of schooling
- Child mortality within the household within the last 5 years
- Lack of access to safe drinking water
- Lack of access to basic sanitation services
- Lack of access to clean cooking fuel
- Lack of basic modern assets (radio, TV, telephone, computer, bike, motorbike, etc.)
- Lack of access to reliable electricity
Kwa kifupi nitakupotezea muda tu nikikuletea charts za Umaskini wa Marekani! Au mtu wa kipato cha chini Marekani kisheria, nachukulia anayefanya kazi kama waiters ( inategemea naye anafanyia wapi)au waafanyakazi wa kawaida viwandani, gas stations etc, wasio na skills kabisa. Ukiwachukua watu hao hao ukiwalinganisha na mtu wa kazi hizo Tanzania utaona kitu tofauti kabisa!
Kwenye interview ya kazi ya kawaida( au ya chini) kama hapa Texas swali muhimu unaloulizwa, je una reliable transport! Ukiwa na maana una gari? Maana yake wanataka kujua attendance yako itakua ni reliable. Kwa Tanzania mtu wa chini, anayeuza mafuta Petrol stations, au mhudumu hotelini huwezi kumuuliza swali hilo!
Leo hii ukija Marekani kama miji ya Houston, Dallas, San Antonio, na mingineyo, kitu cha kwanza ni kujifunza ni kuendesha gari, au kumiliki gari! Gari sio luxury ni necessity! Tofauti kabisa na Tanzania, hapo ndio utajua mtu akikuambia Maskini wa Marekani na Tanzania!
Naona ukija Marekani na kukutana na omba omba basi una piga kelele kuna Maskini! Na Marekani pia kuna maskini! Hilo jambo huwezi kuzuia, ni matakwa ya mtu binafsi, maana huwezi kumzuia mtu kulewa, au kutumia madawa ya kulevya, kuwa malaya, kwa ukijinga wako ukashindwa kulipa kodio ya nyumba!
Umepewa nyumba karibu na bure na serikali ya kuishi kwa kuwa na kipato duni, wewe ukageuza danguro au kuuzia madawa ya kulevya! Ukifukuzwa lazima utakua omba omba! Lazima utaishi chini ya madaraja! Asiliamia kubwa ya hao omba omba wamefika hapo kwa uchaguzi mbaya dhidi ya maisha yao! Ni vigumu kabisa kwa mimi na wewe tuliotoka Tanzania kuja kutafuta hapa kuingia katika ujinga huo! Nimesikia kuna Mtanzania mmoja alijiingiza kwenye madawa ya kulevya akaishia hapo! Hayo ni maamuzi ya mtu binafsi!
Hivyo unapoaangalia umaskini, uwe na wigo mkubwa wa vigezo vyako!
Imagination!!? there is statistical evidence for what I am saying. Unabisha kuwa hule kuna mashoga wengi kule huku au unashangaa nini. Unabisha kuwa kule kuna wabwia unga wengi kuliko huku? au unataka kubisha kuwa kule kuna maskini wengi zaidi kuliko huku? kubisha hayo ni jitihada madhubuti za kueneza ushogga kwa vijana wetu, watakuja huko wakidhani mambo ni rahisi hivyo na kuishia kuolewa.Imagination just an illusion
You don't want the truth rather than constant reassurance that what you believe is the only truth.Imagination!!? there is statistical evidence for what I am saying. Unabisha kuwa hule kuna mashoga wengi kule huku au unashangaa nini. Unabisha kuwa kule kuna wabwia unga wengi kuliko huku? au unataka kubisha kuwa kule kuna maskini wengi zaidi kuliko huku? kubisha hayo ni jitihada madhubuti za kueneza ushogga kwa vijana wetu, watakuja huko wakidhani mambo ni rahisi hivyo na kuishia kuolewa.
Kavulata,Imagination!!? there is statistical evidence for what I am saying. Unabisha kuwa hule kuna mashoga wengi kule huku au unashangaa nini. Unabisha kuwa kule kuna wabwia unga wengi kuliko huku? au unataka kubisha kuwa kule kuna maskini wengi zaidi kuliko huku? kubisha hayo ni jitihada madhubuti za kueneza ushogga kwa vijana wetu, watakuja huko wakidhani mambo ni rahisi hivyo na kuishia kuolewa.
Kavulata:Imagination!!? there is statistical evidence for what I am saying. Unabisha kuwa hule kuna mashoga wengi kule huku au unashangaa nini. Unabisha kuwa kule kuna wabwia unga wengi kuliko huku? au unataka kubisha kuwa kule kuna maskini wengi zaidi kuliko huku? kubisha hayo ni jitihada madhubuti za kueneza ushogga kwa vijana wetu, watakuja huko wakidhani mambo ni rahisi hivyo na kuishia kuolewa.
Mkuu, Umenena vyema kabisa.Kavulata:
Kitu ambacho Kavulata hakifahamu, hata vigezo vya kupima umaskini vinatofautiana kati ya Mataifa yaliyo mbele katika maendeleo ya viwanda na nchi maskini: ( Indicators and Monitoring Framework)
Ukitumia vigezo hivi Marekani, watu wote ni matajiri! Lakini maana hakuna mgao wa maji, maji ni safi (Mamlaka za maji zinapoleta maji yenye athari yoyote ile ni kosa kubwa sana) Hakuna ukosefu wa Umeme, kuwa Tv, gari ni kitu cha kwaida kabisa, Hivyo vigezo vinayotumika kupima umaskini Marekani ni tofauti kabisa!
- Adult or child malnourishment
- Disrupted or curtailed schooling (a minimum of years 1-8)
- The absence of any household member who has completed 6 years of schooling
- Child mortality within the household within the last 5 years
- Lack of access to safe drinking water
- Lack of access to basic sanitation services
- Lack of access to clean cooking fuel
- Lack of basic modern assets (radio, TV, telephone, computer, bike, motorbike, etc.)
- Lack of access to reliable electricity
Kwa kifupi nitakupotezea muda tu nikikuletea charts za Umaskini wa Marekani! Au mtu wa kipato cha chini Marekani kisheria, nachukulia anayefanya kazi kama waiters ( inategemea naye anafanyia wapi)au waafanyakazi wa kawaida viwandani, gas stations etc, wasio na skills kabisa. Ukiwachukua watu hao hao ukiwalinganisha na mtu wa kazi hizo Tanzania utaona kitu tofauti kabisa!
Kwenye interview ya kazi ya kawaida( au ya chini) kama hapa Texas swali muhimu unaloulizwa, je una reliable transport! Ukiwa na maana una gari? Maana yake wanataka kujua attendance yako itakua ni reliable. Kwa Tanzania mtu wa chini, anayeuza mafuta Petrol stations, au mhudumu hotelini huwezi kumuuliza swali hilo!
Leo hii ukija Marekani kama miji ya Houston, Dallas, San Antonio, na mingineyo, kitu cha kwanza ni kujifunza ni kuendesha gari, au kumiliki gari! Gari sio luxury ni necessity! Tofauti kabisa na Tanzania, hapo ndio utajua mtu akikuambia Maskini wa Marekani na Tanzania!
Naona ukija Marekani na kukutana na omba omba basi una piga kelele kuna Maskini! Na Marekani pia kuna maskini! Hilo jambo huwezi kuzuia, ni matakwa ya mtu binafsi, maana huwezi kumzuia mtu kulewa, au kutumia madawa ya kulevya, kuwa malaya, kwa ukijinga wako ukashindwa kulipa kodio ya nyumba!
Umepewa nyumba karibu na bure na serikali ya kuishi kwa kuwa na kipato duni, wewe ukageuza danguro au kuuzia madawa ya kulevya! Ukifukuzwa lazima utakua omba omba! Lazima utaishi chini ya madaraja! Asiliamia kubwa ya hao omba omba wamefika hapo kwa uchaguzi mbaya dhidi ya maisha yao! Ni vigumu kabisa kwa mimi na wewe tuliotoka Tanzania kuja kutafuta hapa kuingia katika ujinga huo! Nimesikia kuna Mtanzania mmoja alijiingiza kwenye madawa ya kulevya akaishia hapo! Hayo ni maamuzi ya mtu binafsi!
Kavulata:
Labda nikusaidie list ya Vitabu vikufungue macho: ( Viko vingi mno) Na vingine vingi vimeaandikwa na waafrica wenyewe.
1. The Wealth and Poverty of Africa States: Morten Jerven
2.Poverty and Wellbeing in East Africa- A multifaced Economic Approach
3.Inside Poverty and Development in Africa-Africa Dynamics
Lakini kama unataka kutengeneza hoja ya umaskini USA basi soma kitabu hiki;
1. Poorly Understood: What Americans get wrong on Poverty ( Several authors) Kitakupa angalau hoja ya kulinganisha maskini wa USA na hao wa nchi kama Tanzania, itabidi uangalie vigezo tofauti kabisa!
Panua wigo wako wa kuangalia mambo!
Imagination!!? there is statistical evidence for what I am saying. Unabisha kuwa hule kuna mashoga wengi kule huku au unashangaa nini. Unabisha kuwa kule kuna wabwia unga wengi kuliko huku? au unataka kubisha kuwa kule kuna maskini wengi zaidi kuliko huku? kubisha hayo ni jitihada madhubuti za kueneza ushogga kwa vijana wetu, watakuja huko wakidhani mambo ni rahisi hivyo na kuishia kuolewa.

Kaka nchi za Marekani na Canada Zina wazee wengi sana kuliko vijana (nguvu kazi), hii maana yake nini? Maana yake hakuna walipa Kodi wa kutosha, yaani wanaofanyakazi na kukatwa Kodi hivyo wanahitaji "mapunda" kutoka wherever in the world yaende 1. Kutunza wazee, 2, kufanyakazi zao, 3. Kulipa Kodi kubwa na 3. Kuinua uchumi wa mataifa hayo.Sengobad: Nilitaka kumuonyesha Kavulata, umaskini unapimwa kwa vigezo tofauti kabisa
Mtu mwenye akili zote kichwani hawezi kushabikia kuwa economic refugee, badala yake anatumia akili, kipaji, nguvu na maarifa yake kuyageuza mazingira yake ili yamfae yeye na wengine, kila mtu lazima aache legacy kabla hajaondoka duniani, kama utashindwa kabisa kuacha uridhi mzuri kwa taifa lako angalau basi panda hata miti 2 tu ya kivuli kwenu ili watu wakukumbuke wakati wakijinga na jua kali.Imagination just an illusion
Kwa upande mwingine upo sahihi.. lakini naona wewe unataka ku deal na mabaya ya Marekani tu pasipo kutaka kusikia mazuri yake pia.Mtu mwenye akili zote kichwani hawezi kushabikia kuwa economic refugee, badala yake anatumia akili, kipaji, nguvu na maarifa yake kuyageuza mazingira yake ili yamfae yeye na wengine, kila mtu lazima aache legacy kabla hajaondoka duniani, kama utashindwa kabisa kuacha uridhi mzuri kwa taifa lako angalau basi panda hata miti 2 tu ya kivuli kwenu ili watu wakukumbuke wakati wakijinga na jua kali.
Greencard na scheme nyingine za aina hii ziko mataifa ya Marekani, canada, Uingereza, Ufaransa na na nchi za Nordic. Leo lao kuu ni kuchukua bure nguvukazi ya mataifa maskini iliyokuzwa na kusomeshwa kwa taabu sana kwa kodi za nchi na watu maskini bila kulipa hata shilingi moja wala bila mikataba ya aina yoyote. Nguvukazi ya mamilioni ya watu inasombwa kwenda marekani na nchi nyingine kwenda kufanyishwa kazi mbalimbali zinazojenga uchumi wao.
Watu wa nchi hizo wanakataa kuzaana kwa kuogopa maisha magumu. Ushoga ni sehemu ya mkakati huo wa kukataa kuzaana, yaani mume anamuoa mume, na mke anamuoa mke ili mimba isitokee. Lakini ukienda kule marekani, pamoja na watu kukakaa kuoa, lakini hata hao wachache waliopo wengi wao wako jeshini wamesambazwa kwenye vikosi vilivyoko nje ya marekani karibu dunia nzima ili kulinda maslahi ya Marekani duniani kote.
Ni mtu mjinga tu anaesherehekea kuikimbia nchi yake, eti ameukata, yaani uzuzu wa starehe za kitumwa.