Green card lottery ni Umanamba mamboleo

Green card lottery ni Umanamba mamboleo

Tanzania Kuna fursa nyingi kwa vijana kuliko Marekani. Tofauti ni kuwa ukiwa Marekani lazima ukasane saaaana ili utoboe kitu ambacho kinawezekana hata Huku Tanzania. Diamond platinum, harmonìze, na wengine wako vile kwa kuzanana saaana wakiwa hapahapa Tanzania. Marekani Kuna waimbaji weeengi sana huko lakini wanaofanikiwa ni wachache. Dawa kubwa iwe ni kufanyakazi kila kitu kwa bidii sio kuhamia Marekani. Tuwaambie ukweli vijana badala ya kuwapa false hope (matumaini bandia). Kifupi Marekani Kuna maskini wengi sana kuliko Tanzania, Kuna wafungwa wengi sana kuliko Tanzania, Kuna wasiokuwa na kazi wengi sana kuliko Tanzania, Kuna mashoga wengi sana kuliko Tanzania na Kuna wasiokuwa na elimu wengi Sana kuliko Tanzania na Kuna wabwia unga wengi kuliko Huku kwetu,
Kwanza Nakusalimu Jamaa yangu Kavulata, Ni holiday seasons huku imeanza, tuna Thanksgiving, mojawapo ya sherehe muhimu US, nami nikaona nipite jukwaani kuona mnaendeleaje.

Anyway Kavulata, kwa ulivyojitambulisha mwenyewe unaonekana ni msomi, ingawa sijui fani yako ni nini hasa, Nashangaa sana na obsession yako na US, kama ungelikuwa na obsession hiyo hiyo na Tanzania, basi kweli Tanzania ingesonga mbele sana! Huu mgao wa Umeme, maji, huduma za afya na za kijamii zingelikuwa zimetatatuliwa kwa sehemu kubwa sana kwa mchango wako tu!

Marekani ina watu au vikundi vya watu, tunaita "Think Tanks" wao ndio wanakosa usingizi mchana na usiku kufikiri nini kifanyike kwa taifa la Marekani, ndio maana Marekani iko hapa! Labda na wewe kwa Tanzania ungeingia kundi hilo! Ingawa uelewa wako unanitatiza sana!

Lakini kinachonishangaza ni pale unapojaribu kulinganisha Tanzania na Marekani! Kuhusu Umaskini, watu walioko magerezani, wasiokuwa na kazi nk! Ndio maana nimesema sijui fani yako kabisa! Na Umesoma nini hasa? Kiasi cha kwamba umelemaa hata kwenye ufikiri wa kawaida tu, ambaye msomi yoyote anatakiwa kuwa nao! Chuki yako binafsi na USA imeua your objectivity kabisa! Sasa utaweza kweli kuisaidia Tanzania ukiifunika akili yako kiasi hicho?

Sitaki kukupa darasa la Uchum bure hapa, lakini, kwa kutumia indicators zozote zinatotumika kupimia vigezo vya maendeleo, huwezi kulinganisha wingi wa maskini wa Tanzania na Marekani , na hapo inabidi kwanza tunaposema maskini tunaamanisha nini hasa, tunaweza kukukuta tunazungumza vitu tofauti kabisa, na hapo bado hujaangalia population ya USA ( 333,4000,650) na Tanzania ( 60,000,000) ambayo ni kwamba wingi wa watu Marekani ni mara tano ya idadi ya watu Tanzania! Na eneo la ukubwa wa Nchi ( 3.717,792 Square miles) Ni nchi ya Tatu kwa ukubwa ulimwenguni, ikiwa nyuma ya Russia na Canada, ambapo Tanzania (363, 900 Square miles), Hivyo ukubwa wa Marekani ni kama mara tisini ya Tanzania!

Sasa baada ya kuangalia idadi ya watu, ukubwa wa nchi unaweza kuangalia vigezo vingine pia, Professo wangu wa maendeleo ya uchumi ( Development Economics) alinifundisha kuangalia na vigezo vidogo vidogo tu, kama ni nani wana uwezo wa kupata maji ya bomba, utumiaji wa umeme, upatikanaji wa elimu ya msingi, kumiliki usafiri! barabara zinazopitika katika nchi, ukaribu wa hospitali nk!

Ukitumia vigezo hivyo hivyo utakuta mfanyakazi wa chini kabisa Marekani ukimlinganisha na mfanyakazi wa chini kabisa Tanzania ni watu tofauti kabisa! Na umetoa wingi wa vifungo magerezani, lakini hujaja kabisa na statistics ! Hujaonyesha wingi wa wafungwa Marekani Versus Tanzania, na wamefungwa kwa nini hasa! Unaweza kukuta ukitumia vigezo hivyo utafunga robo ya Watanzania! Na Marekani kuna watu wafungwa kwa white color crimes, ningesema mafisadi, au makosa yanayofanana na hayo, Je Tanzania unaweza kunipa hata fisadi mmoja anaozea gerezani? Marekani ninaweza kukupa lists ya matajiri ambao wako gerezani na hata kufia gerezani kitu ambacho Tanzania hakuna kabisa! Kama unaifuatilizia sasa Marekani sasa hivi, kuna mwanamke anakwenda jela Marekani miaka 11 kwa utapeli wa uwekezaji, ilikuwa ni kampuni kubwa huko Silicon Valley:

Elizabeth Holmes, the founder and CEO of failed blood-testing company Theranos, has been sentenced to 11 years and 3 months in federal prison for her role in committing a years-long fraud that saw her company ascend to the heights of Silicon Valley before collapsing in disgrace.

Holmes was convicted in January of four counts of lying to Theranos investors about the company’s technology and its financial health. She faced a potential maximum of 20 years in prison.

Sasa nakuuliza tu, unaweza kukuta watu kama hawa wanafungwa Tanzania? Hata Africa tu, watafungwa kama tu watakuwa kinyume na Chama Tawala, Kwa kifupi Marekani ina watu kama hao magerezani.Ukii apply hii Tanzania akina Chenge wangekuwa magerezani siku nyingi! Licha ya list kubwa kutoka Chama tawala!

Narudia ndugu yangu Kavulata, huwezi kulinganisha Tanzania na Marekani, ni nchi kama nch kwelii! Kama ilivyo Nanasi na chungwa, lakini unapotaka kulinganisha matunda hutayaweka katika kundi moja!

Na chuki yako yote na Marekani, angalau tafuta vitu vya kujifunza! Wasomi wa China wamefanya hivyo! Leo tunaona wana nyanyuka! Wewe kama msomi ungekaa mezani na kufikiri Marekani imefikaje hapo na kujaribu angalau kuwafundisha wengine! Sio kukosa usingizi kwa kulinganisha Marekani na Tanzania!

Be positive ndugu, utapata ugonjwa wa moyo! Weekend Njema.
 
Sorry kwa number......Tanzania inaingia roughly mara 10 kwa US.....3,717,792/363,900..........*
 
Unapoteza muda wako kubishana na mjinga,Iko wazi watz ambao wako nyumbani huwa na chuki na wenzao wanaoishi ughaibuni especially wanaoishi USA, Canada na UK
 
Kamongo,

Nakushukuru jamaa yangu, naona anasukumwa mno na chuki dhidi ya Marekani! Hata kama ana chuki na Marekani kama Nchi, kwa nini achukie hata Mtanzania mwenzake anayekuja tafuta maisha yake huku? It doesn't make a sense at all!
Naona ana wivu uliopitiliza! Nilijaribu kumwambia tena na tena, Marekani sio paradiso, lakini ina nyenzo nyingi mno za kukusaidia kusukuma ndoto zako kuliko nchi nyingi za Kimaskini! Sio Tanzania tu! Na wimbo wangu uko pale pale, ukiona options zako nchini zimekwama jaribu nje ya Nchi! Dunia imekua a global village!

Wachina wamezagaa ulimwengu mzima wakitafuta, kwa maana wamegundua kuna njia nyingine za kufikia mafanikio yao kifedha nje ya China! Wao si wapumbavu, sasa ndugu yangu Kavulata sijui kwa nini halioni hilo?

Vijana wamekimbia maisha ya vijijini Tanzania ( Machinga) kuja Dar, kisa ni kwamba kuna opportunities nyingi Dar, kuliko vijijini....Ni ukweli ambao uko ulimwengini mzima!
 
Unapoonhelea maisha ya Marekani unaongelea kufanya kazi kufa na kupona la sivyo uta perish. Hata tz ukifanyakazi zako vizuri ambazo sio za kuajiliwa lazima utatoka kimaisha. Kila kitu kipo Huku, Mimi binafsi nasikia vizuri sana kama nikiwa sehemu ya watu wanaowahudumia watanzania wenzangu. Sipendi kuishi kwa hofu na kubaguliwa.
Ni kazi gani hizo utafanya tz ili utoboe?. Angalia: mkazi wa Dar anaamka saa 10 alfajiri kwenda kazini kurudi ni saa 4 za usiku, je unadhani anapenda kuamka mda huo? na je anapenda kurudi nyumbani saa 4 za usiku? je mikoani kuna mkazi anaenda saa 10 au 11 alfajiri kazini? tambua kuwa mazingira yaweza kukufanya kuwa mchapakazi au mvuvi, wa mkoani akiamka saa 11 kwenda kazini atafika kazini atajikuta yuko peke yake mpaka saa 3 aubuhi ndipo pengine anaweza kuona mtu wa kumsalimia kwenye biashara yake, je siku inayofuata ataamka muda huo kwenda kazini??
 
Ni kazi gani hizo utafanya tz ili utoboe?. Angalia: mkazi wa Dar anaamka saa 10 alfajiri kwenda kazini kurudi ni saa 4 za usiku, je unadhani anapenda kuamka mda huo? na je anapenda kurudi nyumbani saa 4 za usiku? je mikoani juna mkazi anaenda saa 10 au 11 alfajiri kazini? tambua kuwa mazingira yaweza kukufanya kuwa mchapakazi au mvuvi, wa mkoani akiamka saa 11 kwenda kazini atafika kazini atajikuta yuko peke yake mpaka saa 3 aubuhi ndipo pengine anaweza kuona gata mtu wa kumsalimia kwenye biashara yake, je siku inayofuata ataamka muda huo kwenda kazini??
Sengobad,

Kitu ambacho Kavulata hakifahamu, hata vigezo vya kupima umaskini vinatofautiana kati ya Mataifa yaliyo mbele katika maendeleo ya viwanda na nchi maskini: ( Indicators and Monitoring Framework)

  1. Adult or child malnourishment
  2. Disrupted or curtailed schooling (a minimum of years 1-8)
  3. The absence of any household member who has completed 6 years of schooling
  4. Child mortality within the household within the last 5 years
  5. Lack of access to safe drinking water
  6. Lack of access to basic sanitation services
  7. Lack of access to clean cooking fuel
  8. Lack of basic modern assets (radio, TV, telephone, computer, bike, motorbike, etc.)
  9. Lack of access to reliable electricity
Ukitumia vigezo hivi Marekani, watu wote ni matajiri! Lakini maana hakuna mgao wa maji, maji ni safi (Mamlaka za maji zinapoleta maji yenye athari yoyote ile ni kosa kubwa sana) Hakuna ukosefu wa Umeme, kuwa Tv, gari ni kitu cha kwaida kabisa, Hivyo vigezo vinayotumika kupima umaskini Marekani ni tofauti kabisa!

Kwa kifupi nitakupotezea muda tu nikikuletea charts za Umaskini wa Marekani! Au mtu wa kipato cha chini Marekani kisheria, nachukulia anayefanya kazi kama waiters ( inategemea naye anafanyia wapi)au waafanyakazi wa kawaida viwandani, gas stations etc, wasio na skills kabisa. Ukiwachukua watu hao hao ukiwalinganisha na mtu wa kazi hizo Tanzania utaona kitu tofauti kabisa!

Kwenye interview ya kazi ya kawaida( au ya chini) kama hapa Texas swali muhimu unaloulizwa, je una reliable transport! Ukiwa na maana una gari? Maana yake wanataka kujua attendance yako itakua ni reliable. Kwa Tanzania mtu wa chini, anayeuza mafuta Petrol stations, au mhudumu hotelini huwezi kumuuliza swali hilo!

Leo hii ukija Marekani kama miji ya Houston, Dallas, San Antonio, na mingineyo, kitu cha kwanza ni kujifunza ni kuendesha gari, au kumiliki gari! Gari sio luxury ni necessity! Tofauti kabisa na Tanzania, hapo ndio utajua mtu akikuambia Maskini wa Marekani na Tanzania!

Naona ukija Marekani na kukutana na omba omba basi una piga kelele kuna Maskini! Na Marekani pia kuna maskini! Hilo jambo huwezi kuzuia, ni matakwa ya mtu binafsi, maana huwezi kumzuia mtu kulewa, au kutumia madawa ya kulevya, kuwa malaya, kwa ukijinga wako ukashindwa kulipa kodio ya nyumba!

Umepewa nyumba karibu na bure na serikali ya kuishi kwa kuwa na kipato duni, wewe ukageuza danguro au kuuzia madawa ya kulevya! Ukifukuzwa lazima utakua omba omba! Lazima utaishi chini ya madaraja! Asiliamia kubwa ya hao omba omba wamefika hapo kwa uchaguzi mbaya dhidi ya maisha yao! Ni vigumu kabisa kwa mimi na wewe tuliotoka Tanzania kuja kutafuta hapa kuingia katika ujinga huo! Nimesikia kuna Mtanzania mmoja alijiingiza kwenye madawa ya kulevya akaishia hapo! Hayo ni maamuzi ya mtu binafsi!

Hivyo unapoaangalia umaskini, uwe na wigo mkubwa wa vigezo vyako!
 
Sengobad: Nilitaka kumuonyesha Kavulata, umaskini unapimwa kwa vigezo tofauti kabisa
 
Imagination just an illusion
Imagination!!? there is statistical evidence for what I am saying. Unabisha kuwa hule kuna mashoga wengi kule huku au unashangaa nini. Unabisha kuwa kule kuna wabwia unga wengi kuliko huku? au unataka kubisha kuwa kule kuna maskini wengi zaidi kuliko huku? kubisha hayo ni jitihada madhubuti za kueneza ushogga kwa vijana wetu, watakuja huko wakidhani mambo ni rahisi hivyo na kuishia kuolewa.
 
You don't want the truth rather than constant reassurance that what you believe is the only truth.

If you think you're true all the time.you can't learn anything.
 
Imagination!!? there is statistical evidence for what I am saying. Unabisha kuwa hule kuna mashoga wengi kule huku au unashangaa nini. Unabisha kuwa kule kuna wabwia unga wengi kuliko huku? au unataka kubisha kuwa kule kuna maskini wengi zaidi kuliko huku? kubisha hayo ni jitihada madhubuti za kueneza ushogga kwa vijana wetu, watakuja huko wakidhani mambo ni rahisi hivyo na kuishia kuolewa.
Kavulata,

Hivyo unamaanisha nini unaposema Marekani kuna maskini wengi kuliko Tanzania una maana gani hasa? Ni indicators gani unazotumia? Mbona unakuwa ni kama layman wa mtaani jamaa yangu! Ni Multidimensional Poverty Measures ? Au tupe kigezo chochote ulichotumia kusema " Marekani ina maskini wengi kuliko Tanzania" ni lever gani hasa? Ukosefu wa elimu? Mahitaji ya msingi kama maji. umeme? Makazi? Ni nini hasa unatumia!

Na kama kuwa na wabwia unga wengi ni dalili ya umaskini basi nadhani hujui mengi kuhusu ubwia unga! Na kama unadhani ushoga ni dalili ya umaskini basi utashangaa! Maana mashoga wengi ni watu wenye pesa mno!! Ni watu waliojikinai, ni watu wanaoongoza institutions kubwa na ndio wenye nguvu kuuneza dunia.....tafuta orodha yao mitandaoni! Hivyo vitu havina kabisa uhusiano na umaskini! Wengi wanaona ni matatizo yanaoletwa na affluent ( Utajiri). Rais Kenyatta alimjibu vizuri sana Obama katika swala hilo! Tafuta hotuba hizo mtandaoni!

Nimekuomba sana uwe objective ndugu yangu! Na kigezo kipi hasa unatumia kusema huyu maskini au tajiri? Fafanua, maana wewe ni msomi? Chukua basi hata masomo online ya bure kabisa kusoma " Development Economics" Nenda mitandaoni kusoma Umaskini unapimwaje, na utaona vigezo mbali mbali! Labda umaskini unaozungumzia wewe ni wa aina nyingine!

Niko likizo! Hivyo tuzidi habarishana!
 
Kavulata:

Kitu ambacho Kavulata hakifahamu, hata vigezo vya kupima umaskini vinatofautiana kati ya Mataifa yaliyo mbele katika maendeleo ya viwanda na nchi maskini: ( Indicators and Monitoring Framework)

  1. Adult or child malnourishment
  2. Disrupted or curtailed schooling (a minimum of years 1-8)
  3. The absence of any household member who has completed 6 years of schooling
  4. Child mortality within the household within the last 5 years
  5. Lack of access to safe drinking water
  6. Lack of access to basic sanitation services
  7. Lack of access to clean cooking fuel
  8. Lack of basic modern assets (radio, TV, telephone, computer, bike, motorbike, etc.)
  9. Lack of access to reliable electricity
Ukitumia vigezo hivi Marekani, watu wote ni matajiri! Lakini maana hakuna mgao wa maji, maji ni safi (Mamlaka za maji zinapoleta maji yenye athari yoyote ile ni kosa kubwa sana) Hakuna ukosefu wa Umeme, kuwa Tv, gari ni kitu cha kwaida kabisa, Hivyo vigezo vinayotumika kupima umaskini Marekani ni tofauti kabisa!

Kwa kifupi nitakupotezea muda tu nikikuletea charts za Umaskini wa Marekani! Au mtu wa kipato cha chini Marekani kisheria, nachukulia anayefanya kazi kama waiters ( inategemea naye anafanyia wapi)au waafanyakazi wa kawaida viwandani, gas stations etc, wasio na skills kabisa. Ukiwachukua watu hao hao ukiwalinganisha na mtu wa kazi hizo Tanzania utaona kitu tofauti kabisa!

Kwenye interview ya kazi ya kawaida( au ya chini) kama hapa Texas swali muhimu unaloulizwa, je una reliable transport! Ukiwa na maana una gari? Maana yake wanataka kujua attendance yako itakua ni reliable. Kwa Tanzania mtu wa chini, anayeuza mafuta Petrol stations, au mhudumu hotelini huwezi kumuuliza swali hilo!

Leo hii ukija Marekani kama miji ya Houston, Dallas, San Antonio, na mingineyo, kitu cha kwanza ni kujifunza ni kuendesha gari, au kumiliki gari! Gari sio luxury ni necessity! Tofauti kabisa na Tanzania, hapo ndio utajua mtu akikuambia Maskini wa Marekani na Tanzania!

Naona ukija Marekani na kukutana na omba omba basi una piga kelele kuna Maskini! Na Marekani pia kuna maskini! Hilo jambo huwezi kuzuia, ni matakwa ya mtu binafsi, maana huwezi kumzuia mtu kulewa, au kutumia madawa ya kulevya, kuwa malaya, kwa ukijinga wako ukashindwa kulipa kodio ya nyumba!

Umepewa nyumba karibu na bure na serikali ya kuishi kwa kuwa na kipato duni, wewe ukageuza danguro au kuuzia madawa ya kulevya! Ukifukuzwa lazima utakua omba omba! Lazima utaishi chini ya madaraja! Asiliamia kubwa ya hao omba omba wamefika hapo kwa uchaguzi mbaya dhidi ya maisha yao! Ni vigumu kabisa kwa mimi na wewe tuliotoka Tanzania kuja kutafuta hapa kuingia katika ujinga huo! Nimesikia kuna Mtanzania mmoja alijiingiza kwenye madawa ya kulevya akaishia hapo! Hayo ni maamuzi ya mtu binafsi!
Imagination!!? there is statistical evidence for what I am saying. Unabisha kuwa hule kuna mashoga wengi kule huku au unashangaa nini. Unabisha kuwa kule kuna wabwia unga wengi kuliko huku? au unataka kubisha kuwa kule kuna maskini wengi zaidi kuliko huku? kubisha hayo ni jitihada madhubuti za kueneza ushogga kwa vijana wetu, watakuja huko wakidhani mambo ni rahisi hivyo na kuishia kuolewa.
Kavulata:

Labda nikusaidie list ya Vitabu vikufungue macho: ( Viko vingi mno) Na vingine vingi vimeaandikwa na waafrica wenyewe.

1. The Wealth and Poverty of Africa States: Morten Jerven
2.Poverty and Wellbeing in East Africa- A multifaced Economic Approach
3.Inside Poverty and Development in Africa-Africa Dynamics

Lakini kama unataka kutengeneza hoja ya umaskini USA basi soma kitabu hiki;

1. Poorly Understood: What Americans get wrong on Poverty ( Several authors) Kitakupa angalau hoja ya kulinganisha maskini wa USA na hao wa nchi kama Tanzania, itabidi uangalie vigezo tofauti kabisa!

Panua wigo wako wa kuangalia mambo!
 
Mkuu, Umenena vyema kabisa.

Lakini kumu elewesha huyu ndugu kavulata ni kupoteza muda wako bure sawa na kupigia mbuzi gitaa.
 
Imagination!!? there is statistical evidence for what I am saying. Unabisha kuwa hule kuna mashoga wengi kule huku au unashangaa nini. Unabisha kuwa kule kuna wabwia unga wengi kuliko huku? au unataka kubisha kuwa kule kuna maskini wengi zaidi kuliko huku? kubisha hayo ni jitihada madhubuti za kueneza ushogga kwa vijana wetu, watakuja huko wakidhani mambo ni rahisi hivyo na kuishia kuolewa.

Kavulata:

Hebu angalia wahamiaji wengi Marekani wanatoka nchi gani hasa! Africa hatumo!

here do immigrants come from?​

Mexico, China and India are among top birthplaces for immigrants in the U.S.
Mexico is the top origin country of the U.S. immigrant population. In 2018, roughly 11.2 million immigrants living in the U.S. were from there, accounting for 25% of all U.S. immigrants. The next largest origin groups were those from China (6%), India (6%), the Philippines (4%) and El Salvador (3%).

By region of birth, immigrants from Asia combined accounted for 28% of all immigrants, close to the share of immigrants from Mexico (25%). Other regions make up smaller shares: Europe, Canada and other North America (13%), the Caribbean (10%), Central America (8%), South America (7%), the Middle East and North Africa (4%) and sub-Saharan Africa (5%).

Who is arriving today?​

Among new immigrant arrivals, Asians outnumber Hispanics
More than 1 million immigrants arrive in the U.S. each year. In 2018, the top country of origin for new immigrants coming into the U.S. was China, with 149,000 people, followed by India (129,000), Mexico (120,000) and the Philippines (46,000).

By race and ethnicity, more Asian immigrants than Hispanic immigrants have arrived in the U.S. in most years since 2009. Immigration from Latin America slowed following the Great Recession, particularly for Mexico, which has seen both decreasing flows into the United States and large flows back to Mexico in recent years.

Ukiangalia Mwaka 2018 nchi ya kwanza kuingiza kwa wingi watu Marekani ni China, ikufuatiwa na India, Mexico na Phillipine....Hawa watakua legal immigrants....walioomba wenyewe! Sasa acha illegal immigrants toka nchi kama Mexico na Nchi nyingine.

Number ya Africa ni ndogo sana, sana sana ni ya Wakimbizi! Toka Burundi, Congo, Ethiopia na nchi kama hizo!

Nakuuliza na wachina na ujanja wao wanaweza kuwa Manamba! Kwa kifupi kuna kitu wanatafuta Marekani! Karibu, na wengi wanakuja na mitaji, yaani Business Visa, wanaingiza Marekani Dola za uwekezaji! Hii ndio mojawapo Marekani inaingiza pesa toka Nchi mbali mbali! Watu kuja kuwekeza! Mwekezaji anajua wazi pesa yake utarudi!

Kuna Mtanzania hapa Texas ameanza kutengeneza products za maji ya kunywa.....aliingia kama mwanafunzi, leo ana products anauza US!

Badili mawazo yako jamaa yangu!
 
Imagination!!? there is statistical evidence for what I am saying. Unabisha kuwa hule kuna mashoga wengi kule huku au unashangaa nini. Unabisha kuwa kule kuna wabwia unga wengi kuliko huku? au unataka kubisha kuwa kule kuna maskini wengi zaidi kuliko huku? kubisha hayo ni jitihada madhubuti za kueneza ushogga kwa vijana wetu, watakuja huko wakidhani mambo ni rahisi hivyo na kuishia kuolewa.

Hebu tuletee hizo statistical evidence! I'm just curious! Najua Marekani ina mashoga wengi......lakini poverty sio sababu kubwa! Affluent and boredom! Ugonjwa wa wenye vitu mara nyingi! Kweli Utaboreka Tanzania, huna maji, umeme, huna kazi nk sana sana utakua na ugonjwa mweingine sijui jina lake, lakini sio boredom!

Wanatumia madawa Tanzania ni kuiga tu, hawajui hata ni nini hasa kimewasukuma hapo!
 
Sengobad: Nilitaka kumuonyesha Kavulata, umaskini unapimwa kwa vigezo tofauti kabisa
Kaka nchi za Marekani na Canada Zina wazee wengi sana kuliko vijana (nguvu kazi), hii maana yake nini? Maana yake hakuna walipa Kodi wa kutosha, yaani wanaofanyakazi na kukatwa Kodi hivyo wanahitaji "mapunda" kutoka wherever in the world yaende 1. Kutunza wazee, 2, kufanyakazi zao, 3. Kulipa Kodi kubwa na 3. Kuinua uchumi wa mataifa hayo.

Kule Tanga enzi zile ilikuwa juu sana kutokana kiuchumi kutokana na manamba waliopelekwa kule kwenye mashamba na viwanda vya mkonge, mpira, kahawa, na chai. Manamba wanalipwa pesa kidogo lakini kazi nyingi na kukatwa Kodi kubwa.

Tukirudi kwenye hoja ya umaskini, kaka Marekani Kuna watu ambao hawana option kabisa, yaani akiwa maskini anakuwa maskini kabisa milele. Hapa kwetu maskini na options nyingi, anaweza kuwa Hana duka lakini kesho akawa na duka, anaweza kwenda kulima maana ardhi IPO TU Kijijini kwao, anaweza kufunga nguruwe, Kuku, mbuzi, sungura, kuvua, kufungua genge nk wakati wote akipenda. Hapa Marekani sio hivyo, maduka, mashamba, wakulima, nk tayari vipo na kazi kubwa kuvimiliki. Hivyo watu hapa wataendelea kuajiriwa na kufa kwa madeni hadi siku ya kiama, hakuna ambae Hana deni, Hata Marekani yenyewe Ina deni kubwa sana la China, ukienda madukani bidhaa nyingi kama sio zote ni za China, wenzangu Mimi wananunua vitu vya clearance (vilivyo expire au kupitwa na msimu)
 
Imagination just an illusion
Mtu mwenye akili zote kichwani hawezi kushabikia kuwa economic refugee, badala yake anatumia akili, kipaji, nguvu na maarifa yake kuyageuza mazingira yake ili yamfae yeye na wengine, kila mtu lazima aache legacy kabla hajaondoka duniani, kama utashindwa kabisa kuacha uridhi mzuri kwa taifa lako angalau basi panda hata miti 2 tu ya kivuli kwenu ili watu wakukumbuke wakati wakijinga na jua kali.

Greencard na scheme nyingine za aina hii ziko mataifa ya Marekani, canada, Uingereza, Ufaransa na na nchi za Nordic. Leo lao kuu ni kuchukua bure nguvukazi ya mataifa maskini iliyokuzwa na kusomeshwa kwa taabu sana kwa kodi za nchi na watu maskini bila kulipa hata shilingi moja wala bila mikataba ya aina yoyote. Nguvukazi ya mamilioni ya watu inasombwa kwenda marekani na nchi nyingine kwenda kufanyishwa kazi mbalimbali zinazojenga uchumi wao.

Watu wa nchi hizo wanakataa kuzaana kwa kuogopa maisha magumu. Ushoga ni sehemu ya mkakati huo wa kukataa kuzaana, yaani mume anamuoa mume, na mke anamuoa mke ili mimba isitokee. Lakini ukienda kule marekani, pamoja na watu kukakaa kuoa, lakini hata hao wachache waliopo wengi wao wako jeshini wamesambazwa kwenye vikosi vilivyoko nje ya marekani karibu dunia nzima ili kulinda maslahi ya Marekani duniani kote.

Ni mtu mjinga tu anaesherehekea kuikimbia nchi yake, eti ameukata, yaani uzuzu wa starehe za kitumwa.
 
Kwa upande mwingine upo sahihi.. lakini naona wewe unataka ku deal na mabaya ya Marekani tu pasipo kutaka kusikia mazuri yake pia.

Nafsini mwako naona umejenga chuki automatically na Marekani na wazungu kwa ujumla.

Lakini pia kila lenye ubaya pia lina uzuri pia..kama umechagua kuongelea mabaya kwenye huu Uzi tambua pia kuna mazuri pia.
 
Back
Top Bottom