Green card lottery ni Umanamba mamboleo

Green card lottery ni Umanamba mamboleo

Cassavaleaves unajuwa kuwa unapata dhambi kuwadanganya vijana wenzako watanzania kuwa maisha huko ni bull bull. Hebu angalia hii uone kama iko kwamtogole au wapi

We ulishafika US? una experience yeyote?
 
Unajua wewe ni Mjinga! Hao vijana unaowasema hata hapa Tanzania wapo.

Your level of Stupidity render me speechless!

Baki na Negativity zako.
Huna maana kabisa, ona hawa wako Marekani piA
 
Mkuu hawa watu wapo tayari kubaguliwa na kusimangwa bila kujali lolote kisa maisha bora, whites wanamwona mtu mweusi kama mtu duni, mwenye kubeba magonjwa, asiye muungwana wala mstaarabu, hata kama hawatakuonyesha kwa nje, ule ubaguzi upo kwa ndani. Wakati nilipokuwa huko masomoni nilihakikisha naishi eneo karibu na chuo ili niwe natembea kwa miguu nisipande mabasi yao, maana kwa ule ubaguzi ni kawaida kupitwa kwenye kituo sababu upo mweusi peke yako, au kususiwa siti ili usikaribiane na mzungu kwenye zile siti mbilimbili......kunga'ng'ania maisha bora katika mazingira ya kubaguliwa na kusimangwa wakati hujafukuzwa kwenu sioni kama ni akili, zaidi ya kuonekana kama ni utumwa wa kifikra zaidi.​
Well saying mkuu wachache saana tutakuelewa nimwkutana nayo hayo mkuu
 
Bora huko mana hata mgao wa maji hakuna wala wa umeme!
Na hata ikitokea ajali ya ndege unajua uwezekano wa kuokolewa haraka ni mkubwa na sio usubiri kamba ikuvute!
Acha ujinga wewe, marekani pia kuna tabu zake, wako maskini zaidi kuliko huku kwetu, ona hii
 
Huna maana kabisa, ona hawa wako Marekani piA
Labda nianze kuongea mabaya na umaskini wa Tanzania..Maana naona umejikita kwenye negative side ya Marekani.. kuhusu negative side ya Tanzania unajifanya kama hazipo vile.
 
Hapana, nataka tu vijana wetu wafahamu kabla hawajaamua. Nataka vijana wetu wajue kuwa Marekani ina 2 extremes (ina pande mbili kuu mno) yaani kuna matajiri wengi na wakubwa sana lakini kuna maskini sana wengi pia. yaani kuna maskini ambae hapa tanzania hakuna na kuna matajiri wakubwa ambao hapa tanzania hakuna pia. Hivyo asitokee mtu akadanganya watu kuwa Marekani ni kubaya saana au ni kuzuri saaana. Kuna malofa pia hata kule kama huku tu pia. Kila kitu na kila mahali kunategemea juhudi zako na baraka za MwenyeziMungu mwenyewe.
 
Labda nianze kuongea mabaya na umaskini wa Tanzania..Maana naona umejikita kwenye negative side ya Marekani.. kuhusu negative side ya Tanzania unajifanya kama hazipo vile.
Wewe jikite kwenye mazuri na Mimi nihangaikie mabaya ili vijana wetu wajue kuwa hata Marekani Kuna mashamba, ng'ombe, kuzibua mitaro, maskini wanaolala nje na kwenye car parkings.
 
Unataka kujua nini? Foleni ya watu wenye Food coupons kwenye super markets?
watumwa(babu zetu) toka Africa wamechangia sana kuifanya US iwe jinsi ilivyo leo, black people ni largest ethnic group USA,black labor ni foundational katika ukuaji wa uchumi wa America, hakuna kitu kibaya mtu mweusi kuishi US... hata wazungu wanafahamu hilo.. acha tufaidi mema ya nchi babu zetu ndio wameijenga America...
 
Wewe jikite kwenye mazuri na Mimi nihangaikie mabaya ili vijana wetu wajue kuwa hata Marekani Kuna mashamba, ng'ombe, kuzibua mitaro, maskini wanaolala nje na kwenye car parkings.
Masikini utofautiana viwango kwa vigezo vya nchi husika
 
Kwa wale tuliojaza green card lottery pale nyuma ya sky mall, kuna aliyepata confirmation code kama walivyoahidi. Mi bado bila bila
 
watumwa(babu zetu) toka Africa wamechangia sana kuifanya US iwe jinsi ilivyo leo, black people ni largest ethnic group USA,black labor ni foundational katika ukuaji wa uchumi wa America, hakuna kitu kibaya mtu mweusi kuishi US... hata wazungu wanafahamu hilo.. acha tufaidi mema ya nchi babu zetu ndio wameijenga America...
SEMA utakavyosema kuwaambia vijana wa Tanzania lakini haitaondoa ukweli kuwa Tanzania itajengwa na vijana wa Tanzania wenyewe. Sisi hatuna bahati ya kutumia watumwa wa kutusaidia kufanya kazi zetu. Pia haitaondoa ukweli kuwa wazungu bado wanahitaji vibarua vya dezo, malighafi na masoko hadi Leo sawa na zamani. Hata Leo hii wanahakikisha kuwa vitu hivyo 3 wanavipata kwa njia yoyote Ile unataka au hutaki. Green card imebuniwa kama njia mojawapo ya kuwapata wafanyakazi wa dezo hasa msimu wa mavuno mashambani na kazi nyingine chafu (blue collar) kwenye hardwares na stores mbalimbali na wachache sana wale wasomi sana watafanyakazi zenye ahueni. Utalipwa, kukopeshwa kila kitu na kukatwa Kodi kubwa sana ya mapato lakini na tozo kwenye kila kitu na tips utatoa TU utake usitake. Yaani ukiwa Marekani lazima uwe "the working class" mpaka hapo itakapotangazwa vinginevyo. Yale matabaka ya wazungu, waasia na waafrika yako veryvery very very clear and conspicuous. Ndani kwa ndani hata wazungu wenyewe wanayo matabaka ya wenye hadhi na wasio na hadhi. Hizi ni taarifa ambazo kila anaetaka kwenda kuishi anatakiiwa awe nazo kabla hayaondoka. Kule hakuna kukwepa kulipa Kodi kama Huku kwetu kuwa unaweza kufungua genge, glossy, kufuga Kuku na nguruwe popote au kwenye makazi yako au njia za waenda kwa miguu au kutandika chini au kuuza karanga barabarani kupaka watu rangi za kucha mitaani na majumbani kiholela kama Huku.
 
Kwa wale tuliojaza green card lottery pale nyuma ya sky mall, kuna aliyepata confirmation code kama walivyoahidi. Mi bado bila bila
Nenda kwenye Email yako.. Sehemu ya "Spam"... click hapo utakuta confirmation number yako.
Screenshot_20221202-101140_1.jpg
 
Wewe jikite kwenye mazuri na Mimi nihangaikie mabaya ili vijana wetu wajue kuwa hata Marekani Kuna mashamba, ng'ombe, kuzibua mitaro, maskini wanaolala nje na kwenye car parkings.
Sawa...Hata ukijaribu kuongea mabaya ya Marekani bado vijana tutaenda Marekani tu!.

Bongo bahati mbaya [emoji23][emoji23]....
 
SEMA utakavyosema kuwaambia vijana wa Tanzania lakini haitaondoa ukweli kuwa Tanzania itajengwa na vijana wa Tanzania wenyewe. Sisi hatuna bahati ya kutumia watumwa wa kutusaidia kufanya kazi zetu. Pia haitaondoa ukweli kuwa wazungu bado wanahitaji vibarua vya dezo, malighafi na masoko hadi Leo sawa na zamani. Hata Leo hii wanahakikisha kuwa vitu hivyo 3 wanavipata kwa njia yoyote Ile unataka au hutaki. Green card imebuniwa kama njia mojawapo ya kuwapata wafanyakazi wa dezo hasa msimu wa mavuno mashambani na kazi nyingine chafu (blue collar) kwenye hardwares na stores mbalimbali na wachache sana wale wasomi sana watafanyakazi zenye ahueni. Utalipwa, kukopeshwa kila kitu na kukatwa Kodi kubwa sana ya mapato lakini na tozo kwenye kila kitu na tips utatoa TU utake usitake. Yaani ukiwa Marekani lazima uwe "the working class" mpaka hapo itakapotangazwa vinginevyo. Yale matabaka ya wazungu, waasia na waafrika yako veryvery very very clear and conspicuous. Ndani kwa ndani hata wazungu wenyewe wanayo matabaka ya wenye hadhi na wasio na hadhi. Hizi ni taarifa ambazo kila anaetaka kwenda kuishi anatakiiwa awe nazo kabla hayaondoka. Kule hakuna kukwepa kulipa Kodi kama Huku kwetu kuwa unaweza kufungua genge, glossy, kufuga Kuku na nguruwe popote au kwenye makazi yako au njia za waenda kwa miguu au kutandika chini au kuuza karanga barabarani kupaka watu rangi za kucha mitaani na majumbani kiholela kama Huku.
Bongo bahati mbaya..nchi ya connection, Uchawa, Rushwa,kujuana,kusifia viongozi.

Ujinga, upumbavu wote ni Tz...na ma CCM wote ni wala rushwa tu.

America for life...[emoji41][emoji41]
 
Sawa...Hata ukijaribu kuongea mabaya ya Marekani bado vijana tutaenda Marekani tu!.

Bongo bahati mbaya [emoji23][emoji23]....

Yani mtu uzi mzima ni kusema negative tu, kama kafeli yeye avunge.

Kila mtu ako na plans zake na ndoto pia.

Huwezi fananisha US na Tz hata siku moja,
Utaonekana akili huna na punguani.

Kila mtu apiganie ndoto zake, tusipangiane maisha.

Abaki mwenyewe ajenge nchi yake ya mafisadi na rushwa kila kona.

US is a land of opportunities as long as ukiwa na target zako, unatusua vizuri.

Ngoja nijipange na mimi, uzalendo mwingi utakufa njaa.

Dunia yote ni yetu, na tunastahili kuishi sehemu yeyote.
 
Huyu jamaa kavulata huenda ni chawa mmoja wa CCM anakula na kusaza kupitia Rushwa...akishashiba anakuja kuandika makasiriko yake huku JF...na kumalizia hasira zake zake huku.
 
Back
Top Bottom