misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 14,244
- 10,073
😂😂😂Bora huko mana hata mgao wa maji hakuna wala wa umeme!
Na hata ikitokea ajali ya ndege unajua uwezekano wa kuokolewa haraka ni mkubwa na sio usubiri kamba ikuvute!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂Bora huko mana hata mgao wa maji hakuna wala wa umeme!
Na hata ikitokea ajali ya ndege unajua uwezekano wa kuokolewa haraka ni mkubwa na sio usubiri kamba ikuvute!
mimi ni chawa wa watu wangu, ninajisikia vizuri na furaha kuhudumia watanzania wenzangu wanaohitaji akili, nguvu na maarifa yangu. Kwani ninafahamu kuwa kwavyovyote vile ninahitaji nyumba moja tu, kitanda kimoja tu, shamba moja tu, gari moja tu, sahani moja tu ya chakula, kusomesha watoto wangu kabla sijakufa. Siku za mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke sio nyingi sana na zilizojaa taabu. Nikishindwa kabisa kuwafanyia mema watu wangu basi nitapanda japo miti 3 ya kivuli na miti 5 ya matunda ili siku nikifa iwasaidie kwa kivuli na matunda. Kamwe kamwe siwezi kuwa mkimbizi hata kama unipe dunia yote, maana mimi ninapita lakini nchi yangu itabakia. Yaani wazungu wanatudharau sana kwa tabia yetu hii ya kipumbavu, ni heri kuwa mkimbizi wa nchi za kiafrika kuliko za wazungu. Huyo ndio mimi.Huyu jamaa kavulata huenda ni chawa mmoja wa CCM anakula na kusaza kupitia Rushwa...akishashiba anakuja kuandika makasiriko yake huku JF...na kumalizia hasira zake zake huku.
Yes, sijawahi kupata email yao kwenye inbox yangu wala kwenye junkNazungumzia E-mail yako wewe fungua sehemu ya Spam.
cassavaleaves inaonekana wewe huijui America vizuri, unafuata mkumbo tu na uko bize sana na vibarua. Sikiliza takwimu. Yaani wenyewe wanasema hali ni ngumu wewe unasema hali ni nzuri, unamdanganya nani kwa maslahi gani?Ndugu Kavulata salama huko?
Najua wengi tuko absorbed na World Cup, na kila mtu akiomba dua timu yake ifanikiwe, na tukiomba kizalendo, basi mioyo yetu iko katika timu zetu bara la Africa, ingawa hatujui zilizobaki zitatufikisha wapi hasa! Anyway nilikuwa nasoma magazeti na updates za Immigration US, na nikaona hiyo nukuu yako inayosema Tanzania ina fursa nyingi kwa vijana kuliko Marekani! Huwa nabakia kushangaa, mbona hutoi statistics? Na kama nilivyosema toka awali, huwezi kulinganisha Uchumi wa Marekani na Tanzania! Utakuwa hauko fare kabisa, ni kukusoma ufahamu wa elimu ya msingi katika uchumi!
Hata hivyo kama Marekani haina fursa kama unavyosema wewe, kitu gani kinafanya Idadi ya watu wanaochukua uraia wa Marekani kuwa kubwa kila Mwaka? Na China miaka mingi ndio imekuwa ikiongoza kwa watu wake kuchukua uraia wa Marekani unasemaje kwa hilo? Hao Wachina hawajui wanalolifanya?
Soma taarifa hii:
Immigration naturalizations in the US highest in a decade
Naturalizations among immigrants from almost every country have rebounded since the pandemic started.
Story at a glance
- The number of immigrants becoming citizens via naturalization is at 10-year high, according to a new Pew Research Center survey.
- Naturalizations are up among immigrants from every country except China.
- While historically immigrants from China have been one of the top 10 groups to earn citizenship through naturalization, naturalizations have gone down by 20 percent compared to the pre-pandemic average.
The number of immigrants choosing to become citizens is increasing in the United States after a striking drop at the beginning of the pandemic, a new study shows.
An analysis from the Pew Research Center published Friday found that over 900,000 U.S. immigrants became citizens of the U.S. in the 2022 fiscal year.
That total represents the third-highest number of immigrants becoming citizens in a single year on record and the most of in any fiscal year since 2008, according to the analysis.
Pew researchers looked at data from the Department of Homeland Security and the Census Bureau released during the first three-quarters of the year.
The spike in naturalizations coincides with an uptick in immigrants receiving lawful green cards and more foreign students, tourists and other lawful temporary migrants arriving in the country after an early pandemic dip, according to another Pew survey.
Researchers found that naturalizations in the United States are back to where they were before the pandemic began in 2020.
For about roughly a decade before the pandemic, the average number of naturalizations per three months in the United States was 190,000.
That number plummeted to 81,000 between April and June of 2020 during the early months of the coronavirus outbreak, the analysis found.
Naturalizations finally rebounded and surpassed the country’s quarterly average by 10,0000 in early 2021.
Naturalizations from immigrants from most countries have gone up by 20 percent their pre-pandemic averages, researchers found.
But researchers were surprised that there has only been an 8 percent increase in naturalizations from immigrants from Mexico compared to the nation’s pre-pandemic average.
The country has home to the most immigrants who achieve citizenship through naturalization every year for the past 25 years.
Meanwhile, naturalizations among immigrants from sub-Saharan Africa, Asia, Latin America and the Middle East and North Africa have gone up by 15 to 26 percent more compared to their pre-pandemic average, according to the survey.
One exception to the upward trend is China. The naturalization rate among immigrants from China has plummeted, decreasing by 20 percent compared to pre-pandemic levels.
Swala la msingi ambalo la kujiuliza Mwaka 2022 idadi ya watu kama 900,000. waliamua kuchukua uraia wa Marekani, unadhani ni nini hasa kiliwasukuma kufanya hivyo! Jibu la msingi ni kwamba huko walikotoka kuna fursa chache kulinganisha na Marekani! Licha ya yote utakayoyasema kuhusu USA, lakini kuna fursa za msingi wengi watu wa kuja tumeziona kuliko tuliko toka.
cassavaleaves inaonekana wewe huijui America vizuri, unafuata mkumbo tu na uko bize sana na vibarua. Sikiliza takwimu. Yaani wenyewe wanasema hali ni ngumu wewe unasema hali ni nzuri, unamdanganya nani kwa maslahi gani?
Kavulata,Kavulata always you argue like a layman! Moja hunijui kabisa, mbili sihangaiki na vibarua, na watu wote wa kuja walio na akili timamu toka nje hatuishi katika povert line.
Hiyo ni kwa wazawa ambao wame abuse all the privileges za US!
Niko US I owner the house, najua kuna wazawa hawana nyumba! My kids ni graduates ! Hawafanyi vibarua! Nawajua Wamerekani ambao hawajamaliza vyuo.
Naujua mno umaskinii wa US. Na najua umasikini wa USA compare na wa nchi za third world! Nimetembea ulimwenguni kuliko wewe, nazijua slums za India, Mathare Kenya, Slums za West Africa! Huwezi kulinganisha na umasikini wa US kwa kiwango chochote.
Na jambo la mwisho kabisa la kuzingatia, tembelea sehemu za umaskini za US, hukuti labisa watu wa kuja kama sisi! Hujukuti Mchina! Mhindi! Na vigumu kabisa kukuta hata Mnaigeria! Maana watu kama sisi tukifika huku tunajua tumekuja kufanya nini!
Huijui Mare kabisa, hujui dynamics za US.
Swali kubwa kwako, kwa nini basi kila mwaka number ya wanaotaka kuingia US toka nje inaongezeka! Wao hawajaona hiyo poverty? Wewe tu ndio umeona! Wewe ndio mjuaji kuliko hao maelfu wanaoingia Marekani?
Bado narudia Marekani ukiwa na legal papers ni rahisi mno kufika mahali ambapo huwezi kufika Tanzania.
Na jambo lingine Kavulata, ambalo hutaki au kwa makusudi kabisa hulizungumzii, ni kuwa toka mwanzoni nimesema na narudia kusema, kwa wale ambao options za nyumbani Tanzania zimefungwa, si vibaya kujaribu nje ya nchi! Wewe unanifanya kama na advocate kila mtu aje Marekani!
Nauridia tena msimamo wangu, kwa wale ambao options za kutimiza ndoto zako Tanzania zimefungwa, jaribu nje ya Tanzania!
Usidanganywe wala kutishwa na watu kama kina Kavulata! Mpaka mada hii ilipiofika hajatoa options zozote zile kwa wengi wasio na ajira bongo! Wapi wakapate mikopo au wafanye nini.
Kavulata, ukija Marekani nitafute! Kwa nini tuandikie mate wino upo!
Mwakani Mwenyezi Mungu akipenda nakuja bongo! Tutafutane, tunywe kahawa na kufahamiana!
Ni kweli unachosema, kule kwenye mashamba ya mkonge na yalipo machimbo ya madini kulikuwa na wazawa ambao hawakushirikishwa kwenye kazi za shambani na uchimbaji madini. Hii ilisababisha wageni (manamba) kuwa na nafuu ya kiuchumi kuliko wazawa, na hiki ndicho unachokisema hapa, kuwa manamba mna hali ya afadhali kidogo kuliko baadhi ya wazawa. Hata mimi silipingi hilo kwakuwa nafahamu kuwa mgeni hawezi kuchagua kazi na mshahara, hata wazaramo huku Dar wana hali mbaya kuliko wageni. Shida yangu kwako ni wewe kuonyesha kuwa US kuko shwari kabisa hakuna asiyekuwa na shida hata kidogo huku ukijua kuwa unawadanganya. Ni heri ukamwambia kijana ukweli ili msije kulaumiana. Sio kweli kwamba wageni wote mko shwali na salama kabisa huko ugenini, kusema hivyo ni uongo mwingine mpya kwa vijana wa kibongo. Yaani unataka kuwaaminisha kuwa US hakuna matata kwa wageni wote. Mimi ninawafahamu vijana wa bongo ambao wanalala kwenye magari yao, nawafahamu vijana wa bongo ambao wamefungwa kwa uhalifu, nawafahamu vijana wa kibongo ambao wanatamani kurudi nyumbani lakini wanashindwa ama kwa kukosa nauli, passport, visa kwisha au kujisikia aibu kurudi tz bila kitu cha maana.Kavulata always you argue like a layman! Moja hunijui kabisa, mbili sihangaiki na vibarua, na watu wote wa kuja walio na akili timamu toka nje hatuishi katika povert line.
Hiyo ni kwa wazawa ambao wame abuse all the privileges za US!
Niko US I owner the house, najua kuna wazawa hawana nyumba! My kids ni graduates ! Hawafanyi vibarua! Nawajua Wamerekani ambao hawajamaliza vyuo.
Naujua mno umaskinii wa US. Na najua umasikini wa USA compare na wa nchi za third world! Nimetembea ulimwenguni kuliko wewe, nazijua slums za India, Mathare Kenya, Slums za West Africa! Huwezi kulinganisha na umasikini wa US kwa kiwango chochote.
Na jambo la mwisho kabisa la kuzingatia, tembelea sehemu za umaskini za US, hukuti labisa watu wa kuja kama sisi! Hujukuti Mchina! Mhindi! Na vigumu kabisa kukuta hata Mnaigeria! Maana watu kama sisi tukifika huku tunajua tumekuja kufanya nini!
Huijui Mare kabisa, hujui dynamics za US.
Swali kubwa kwako, kwa nini basi kila mwaka number ya wanaotaka kuingia US toka nje inaongezeka! Wao hawajaona hiyo poverty? Wewe tu ndio umeona! Wewe ndio mjuaji kuliko hao maelfu wanaoingia Marekani?
Bado narudia Marekani ukiwa na legal papers ni rahisi mno kufika mahali ambapo huwezi kufika Tanzania.
Na jambo lingine Kavulata, ambalo hutaki au kwa makusudi kabisa hulizungumzii, ni kuwa toka mwanzoni nimesema na narudia kusema, kwa wale ambao options za nyumbani Tanzania zimefungwa, si vibaya kujaribu nje ya nchi! Wewe unanifanya kama na advocate kila mtu aje Marekani!
Nauridia tena msimamo wangu, kwa wale ambao options za kutimiza ndoto zako Tanzania zimefungwa, jaribu nje ya Tanzania!
Usidanganywe wala kutishwa na watu kama kina Kavulata! Mpaka mada hii ilipiofika hajatoa options zozote zile kwa wengi wasio na ajira bongo! Wapi wakapate mikopo au wafanye nini.
Kavulata, ukija Marekani nitafute! Kwa nini tuandikie mate wino upo!
Mwakani Mwenyezi Mungu akipenda nakuja bongo! Tutafutane, tunywe kahawa na kufahamiana!
Kavulata: ni dakika 55 tu toka napoishi na South Dallas, wengi wa maskini hao wame abuse kila options za serikali!Je Marekani shule za awali ni bure! Vyuo vina grants/ loans za serikali, watu wenye kipato cha chini wana upendeleo zaidi!Kavulata,
Unanichekesha sana kuwa sijui umaskini wa US, sihitaji clips za YouTube, njoo nikupeleke South Dallas, hizo picha ni afadhali! Lakini umaskini huo unaelezeka!
Nakuuliza unajua umaskini wa Tanzania? Nimeikatisha Tanzania kila pande! Mojawapo ya kila pande! Kazi yangu Tanzania ilikuwa hiyo! Nimekwambia si umaskini wa Tanzania tu! Nimekatiza slums zenye umaskini Afrika hata Tanzania hatujafika huko!
Hivyo huwezi hata chembe kunieleza kwa hilo! Nikienda South Dallas nitakuletea picha za umaskini kuliko hizo zako, halafu nilinganishe na maskini wa Tanzania!
Una hakika unachokisema? Umeandika, sasa kama umekuja Marekani kufanya uhalifu unategemea nini! Mbona Tanzania tunafunga Wachina waliofanya uhalifu? Nawajua sana watu toka nje ambao wamekuja kuwekeza wakaacha kilicho waleta wakafungwa!Ni kweli unachosema, kule kwenye mashamba ya mkonge na yalipo machimbo ya madini kulikuwa na wazawa ambao hawakushirikishwa kwenye kazi za shambani na uchimbaji madini. Hii ilisababisha wageni (manamba) kuwa na nafuu ya kiuchumi kuliko wazawa, na hiki ndicho unachokisema hapa, kuwa manamba mna hali ya afadhali kidogo kuliko baadhi ya wazawa. Hata mimi silipingi hilo kwakuwa nafahamu kuwa mgeni hawezi kuchagua kazi na mshahara, hata wazaramo huku Dar wana hali mbaya kuliko wageni. Shida yangu kwako ni wewe kuonyesha kuwa US kuko shwari kabisa hakuna asiyekuwa na shida hata kidogo huku ukijua kuwa unawadanganya. Ni heri ukamwambia kijana ukweli ili msije kulaumiana. Sio kweli kwamba wageni wote mko shwali na salama kabisa huko ugenini, kusema hivyo ni uongo mwingine mpya kwa vijana wa kibongo. Yaani unataka kuwaaminisha kuwa US hakuna matata kwa wageni wote. Mimi ninawafahamu vijana wa bongo ambao wanalala kwenye magari yao, nawafahamu vijana wa bongo ambao wamefungwa kwa uhalifu, nawafahamu vijana wa kibongo ambao wanatamani kurudi nyumbani lakini wanashindwa ama kwa kukosa nauli, passport, visa kwisha au kujisikia aibu kurudi tz bila kitu cha maana.
Kuna Watanzania waliofungwa China! Na bado kuna watanzania wanaenda kubeba mali China! Hivyo utasemaje? Tuwakataze watu ambao wanajua wanakwenda kutafuta mali China sababu ya wahalifu!Una hakika unachokisema? Umeandika, sasa kama umekuja Marekani kufanya uhalifu unategemea nini! Mbona Tanzania tunafunga Wachina waliofanya uhalifu? Nawajua sana watu toka nje ambao wamekuja kuwekeza wakaacha kilicho waleta wakafungwa!
Kwa hivyo Mtanzania akijiingiza katika Uhalifu US asifungwe?
Please make your arguments as a learned person!
Hapo sasa tunaanza kuelewena kwa mbali. hakuna ubishi kuwa US ni taifa kubwa, hakuna ibishi kuwa matajiri wakubwa wako marekani, na hakuna ubishi kuwa US ni taifa la wahamiaji mwanzo mwisho ukiachilia mbali wale red Indies (wazawa), hakuna ubishi kuwa wamarekani mmoja mmoja ni watu wema sana, wenye huruma na wastaarabu kupitiliza, fursa zipo Lakini hakuna ubishi kuwa maisha huko ni ALL or NONE yaani DO or DIE, hakuna vuguvugu, no free lunch, no free zone. Jambo hili ni lazima mlihubiri sana kila unapokutana na kijana anaetaka kuja huko kujaribu bahati yake. Wewe na vijana wenzako fungeni mikanda kama mnavyofanya sasa mpate mitaji ya kuwekeza kwenu badala ya kupanga kufia ugenini wewe na wajukuu zako. Hapa nilitaka tu kukuonyesha umaskini wa kipato na ule wa chakula is everywhere worldwide, bahati nzuri mimi niliishi sana vijijini huko kwa miaka mingi sana hivyo nafahamu nini ninakisema.Kavulata,
Unanichekesha sana kuwa sijui umaskini wa US, sihitaji clips za YouTube, njoo nikupeleke South Dallas, hizo picha ni afadhali! Lakini umaskini huo unaelezeka!
Nakuuliza unajua umaskini wa Tanzania? Nimeikatisha Tanzania kila pande! Mojawapo ya kila pande! Kazi yangu Tanzania ilikuwa hiyo! Nimekwambia si umaskini wa Tanzania tu! Nimekatiza slums zenye umaskini Afrika hata Tanzania hatujafika huko!
Hivyo huwezi hata chembe kunieleza kwa hilo! Nikienda South Dallas nitakuletea picha za umaskini kuliko hizo zako, halafu nilinganishe na maskini wa Tanzania!
Kavulata; umehamisha magoli sana kwenye Mada uliyoileta mwenyewe! Inaonyesha mada yako ilikuwa na mengi mno ndani yako! Hatukuwa kabisa tunalinganisha Utajiri/ Umaskini wa Marekani, wote tutaonekana wajinga, maana statistics ziko wazi!Hapo sasa tunaanza kuelewena kwa mbali. hakuna ubishi kuwa US ni taifa kubwa, hakuna ibishi kuwa matajiri wakubwa wako marekani, na hakuna ubishi kuwa US ni taifa la wahamiaji mwanzo mwisho ukiachilia mbali wale red Indies (wazawa), hakuna ubishi kuwa wamarekani mmoja mmoja ni watu wema sana, wenye huruma na wastaarabu kupitiliza, fursa zipo Lakini hakuna ubishi kuwa maisha huko ni ALL or NONE yaani DO or DIE, hakuna vuguvugu, no free lunch, no free zone. Jambo hili ni lazima mlihubiri sana kila unapokutana na kijana anaetaka kuja huko kujaribu bahati yake. Wewe na vijana wenzako fungeni mikanda kama mnavyofanya sasa mpate mitaji ya kuwekeza kwenu badala ya kupanga kufia ugenini wewe na wajukuu zako. Hapa nilitaka tu kukuonyesha umaskini wa kipato na ule wa chakula is everywhere worldwide, bahati nzuri mimi niliishi sana vijijini huko kwa miaka mingi sana hivyo nafahamu nini ninakisema.
Kavulata:Kavulata; umehamisha magoli sana kwenye Mada uliyoileta mwenyewe! Inaonyesha mada yako ilikuwa na mengi mno ndani yako! Hatukuwa kabisa tunalinganisha Utajiri/ Umaskini wa Marekani, wote tutaonekana wajinga, maana statistics ziko wazi!
Umekuwa unahama mno kwenye Mada hii! Mpaka naona kama unasukumwa na chuki binafsi na USA! Ambapo sikukatazi kabisa kuwa na mtazamo huo!
Lakini nashindwa kabisa kukuelewa hata wale ambao wana nia ya kuja unawakatisha tamaa!
Wewe una failure story za watu waliokuja US, mimi sikukatalii kabisa! Nimechangia nauli ya watu waliokuja US wakapoteza focus! Hata wengekuwa bongo wangeshindwa tu! Umalaya wa kupindukia, ulevi haumfikishi mtu mahali popote, sembuse ugenini!
Mimi nina success stories! Hutaki kabisa kuzisikia! Hapo ndipo unaponishangaza! Wewe umeniambia ni msomi, na umekuja mara nyingi US, mimi sijabisha!!Ila mimi nitapokueleza nina nyumba US, watoto wangu wemesoma na kufanikiwa, na wafahamu Watanzania wengi ambao siwezi kutoa majina yao humu wana mafanikio makubwa kunizidi mimi! Kwako inakua ngumu mno!
Umejiwekea ukuta mkubwa mno! Kwa msomi kama wewe inakua tabu kidogo!
Kavulata:mimi ni chawa wa watu wangu, ninajisikia vizuri na furaha kuhudumia watanzania wenzangu wanaohitaji akili, nguvu na maarifa yangu. Kwani ninafahamu kuwa kwavyovyote vile ninahitaji nyumba moja tu, kitanda kimoja tu, shamba moja tu, gari moja tu, sahani moja tu ya chakula, kusomesha watoto wangu kabla sijakufa. Siku za mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke sio nyingi sana na zilizojaa taabu. Nikishindwa kabisa kuwafanyia mema watu wangu basi nitapanda japo miti 3 ya kivuli na miti 5 ya matunda ili siku nikifa iwasaidie kwa kivuli na matunda. Kamwe kamwe siwezi kuwa mkimbizi hata kama unipe dunia yote, maana mimi ninapita lakini nchi yangu itabakia. Yaani wazungu wanatudharau sana kwa tabia yetu hii ya kipumbavu, ni heri kuwa mkimbizi wa nchi za kiafrika kuliko za wazungu. Huyo ndio mimi.
Kavulata:Kavulata; umehamisha magoli sana kwenye Mada uliyoileta mwenyewe! Inaonyesha mada yako ilikuwa na mengi mno ndani yako! Hatukuwa kabisa tunalinganisha Utajiri/ Umaskini wa Marekani, wote tutaonekana wajinga, maana statistics ziko wazi!
Umekuwa unahama mno kwenye Mada hii! Mpaka naona kama unasukumwa na chuki binafsi na USA! Ambapo sikukatazi kabisa kuwa na mtazamo huo!
Lakini nashindwa kabisa kukuelewa hata wale ambao wana nia ya kuja unawakatisha tamaa!
Wewe una failure story za watu waliokuja US, mimi sikukatalii kabisa! Nimechangia nauli ya watu waliokuja US wakapoteza focus! Hata wengekuwa bongo wangeshindwa tu! Umalaya wa kupindukia, ulevi haumfikishi mtu mahali popote, sembuse ugenini!
Mimi nina success stories! Hutaki kabisa kuzisikia! Hapo ndipo unaponishangaza! Wewe umeniambia ni msomi, na umekuja mara nyingi US, mimi sijabisha!!Ila mimi nitapokueleza nina nyumba US, watoto wangu wemesoma na kufanikiwa, na wafahamu Watanzania wengi ambao siwezi kutoa majina yao humu wana mafanikio makubwa kunizidi mimi! Kwako inakua ngumu mno!
Umejiwekea ukuta mkubwa mno! Kwa msomi kama wewe inakua tabu kidogo!
DuuuhHiyo hali unayoiona huko marekani na Ulaya imepatikana kwa mapambano makali kati ya wasionacho na wenyenacho (mabwanyenye). Kama wananchi wangekuwa wapumbavu kama wewe wanaotaka ready made hali bora wangeshakimbia na wao kwenda nchi nyingine kuwa manamba kama nyie ambao mko tayari hata ikibidi kupapaswa nyuma ilimradi upate hela. Mtu haoni aibu kutamka kuwa amechukua uraia wa marekani eti kwasababu tz hakuna umeme na maji na demokrasia, yaani mkulima mpumbavu kakimbia shamba na kuwaachia tumbili wale kwakisingio kuwa shambani kuna visiki vingi na hakuna umeme na nyumba zenye tiles. Vijana kama hawa ni heri waondoke kama walivyofanya na hakuna kuwapa uraia pacha ni hatari sana. Mwingine anasema ni heri ya mkoloni. Hawana akili ya kudadavua kwa kina kuhusu the basic cause kwanini bara la afrika ni maskini, wanahangaika na just the immediate causes of the problem. Poor poor poor and shame on them to be very happy and comfortable for being a cheap labor in a foreign nation. They are cowards and slave blooded money mongers. Kijana kamili hawezi kulitusi taifa lake badala yake atatafuta majibu ya matatizo ya taifa lake yasiyompendeza. Ndio maana duniani kote utawasikia vijana wakiingia kwenye siasa kwa wingi, kuandamana, kufanya makongamano, kupindua, kuzomea, kufungulia kesi serikali zao zisizokidhi matarajio yao. Hawa weti sisi wanawashawishi vijana wenzao waikimbie nchi mazima na kuchukua passport za nchi hizo, shame shame.
Aiseemimi ni chawa wa watu wangu, ninajisikia vizuri na furaha kuhudumia watanzania wenzangu wanaohitaji akili, nguvu na maarifa yangu. Kwani ninafahamu kuwa kwavyovyote vile ninahitaji nyumba moja tu, kitanda kimoja tu, shamba moja tu, gari moja tu, sahani moja tu ya chakula, kusomesha watoto wangu kabla sijakufa. Siku za mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke sio nyingi sana na zilizojaa taabu. Nikishindwa kabisa kuwafanyia mema watu wangu basi nitapanda japo miti 3 ya kivuli na miti 5 ya matunda ili siku nikifa iwasaidie kwa kivuli na matunda. Kamwe kamwe siwezi kuwa mkimbizi hata kama unipe dunia yote, maana mimi ninapita lakini nchi yangu itabakia. Yaani wazungu wanatudharau sana kwa tabia yetu hii ya kipumbavu, ni heri kuwa mkimbizi wa nchi za kiafrika kuliko za wazungu. Huyo ndio mimi.
Hiyo hali unayoiona huko marekani na Ulaya imepatikana kwa mapambano makali kati ya wasionacho na wenyenacho (mabwanyenye). Kama wananchi wangekuwa wapumbavu kama wewe wanaotaka ready made hali bora wangeshakimbia na wao kwenda nchi nyingine kuwa manamba kama nyie ambao mko tayari hata ikibidi kupapaswa nyuma ilimradi upate hela. Mtu haoni aibu kutamka kuwa amechukua uraia wa marekani eti kwasababu tz hakuna umeme na maji na demokrasia, yaani mkulima mpumbavu kakimbia shamba na kuwaachia tumbili wale kwakisingio kuwa shambani kuna visiki vingi na hakuna umeme na nyumba zenye tiles. Vijana kama hawa ni heri waondoke kama walivyofanya na hakuna kuwapa uraia pacha ni hatari sana. Mwingine anasema ni heri ya mkoloni. Hawana akili ya kudadavua kwa kina kuhusu the basic cause kwanini bara la afrika ni maskini, wanahangaika na just the immediate causes of the problem. Poor poor poor and shame on them to be very happy and comfortable for being a cheap labor in a foreign nation. They are cowards and slave blooded money mongers. Kijana kamili hawezi kulitusi taifa lake badala yake atatafuta majibu ya matatizo ya taifa lake yasiyompendeza. Ndio maana duniani kote utawasikia vijana wakiingia kwenye siasa kwa wingi, kuandamana, kufanya makongamano, kupindua, kuzomea, kufungulia kesi serikali zao zisizokidhi matarajio yao. Hawa weti sisi wanawashawishi vijana wenzao waikimbie nchi mazima na kuchukua passport za nchi hizo, shame shame.