Green card lottery ni Umanamba mamboleo

Green card lottery ni Umanamba mamboleo

Mokake,
Husutwi na dhamira jinsi politicians wenu ambao hawana game plans za kuikwamua nchi!

Naomba utusaidie, weka mjadala pembeni, nini kifanyike kuzuia watu wasitafute maisha nyumbani, wakati opportunities hakuna Tanzania!
Utasaidia wengi.

that's a Simple Question.

Shida inayotukabili sisi sote, wewe, mimi na mwingine hapa kwetu ni Ubinafsi. Kiongozi kwa nafasi yake anakuwa mbinafsi, hawajibiki kwa ajili ya umma, wewe kwa nafasi yako ya ubinafsi unaona kupambana na hali hiyo huwezi unaamua kutoka nje kwa kudanganywa unafika huko unapata unachohitaji kwa ajili yako, nduguzo na watoto wako tu-- huo nao ni ubinafsi uleule kwa njia nyingine, ili to make difference ni lazima tuachane na ubinafsi na wote tujiulize; in the first place What can we do for our country??.

Hoja inabaki pale pale kwa kutumia loop hole ya ubinafsi wetu America anatumia Green card lottery kutudhoofisha, ni kama mtu amuibie kipofu huku akijua wizi ni mbaya na hapo hapo anamlaumu kipofu kwa kutoona, hicho ndicho anafanya Marekani.
 
Swali langu mbona hujibu? Nani wa kumlaumu na hiyo brain drainage mnayoshindwa kuitumia?

Marekani kaiona anaiondoa! Mnaishia kulalamika Umanamba! Umanamba! Just give us solutions to curb the drainage!
Na bado serikali yako inatengezeza vibali maalumu kama sio uraia pacha!
Nakuuliza pia, brain yangu aliyonipa Mwenyezi Mungu, nani ana mamlaka nayo! Serikali ya CCM?
Kama kuna system chini ya jua ambayo inaweza kutumia brain yangu na kunipa nachotaka, kwa nini nisiende kweye hiyo system?

Hatukatai kwamba unayo mamlaka kwenye brain yako aliyokupa Mungu, lakini kwanini hutaki kukubali kwamba Green card lottery ni mchezo mchafu wa America kuua nguvu kazi za mataifa mengine ikichukua madhaifu ya nchi hizo na shida za watu wao kama loop hole na mbaya zaidi utakuta watu hao walisomeshwa kwa fedha za walalahoi wa nchi hizo.
 
that's a Simple Question.

Shida inayotukabili sisi sote, wewe, mimi na mwingine hapa kwetu ni Ubinafsi. Kiongozi kwa nafasi yake anakuwa mbinafsi, hawajibiki kwa ajili ya umma, wewe kwa nafasi yako ya ubinafsi unaona kupambana na hali hiyo huwezi unaamua kutoka nje kwa kudanganywa unafika huko unapata unachohitaji kwa ajili yako, nduguzo na watoto wako tu-- huo nao ni ubinafsi uleule kwa njia nyingine, ili to make difference ni lazima tuachane na ubinafsi na wote tujiulize; in the first place What can we do for our country??.

Hoja inabaki pale pale kwa kutumia loop hole ya ubinafsi wetu America anatumia Green card lottery kutudhoofisha, ni kama mtu amuibie kipofu huku akijua wizi ni mbaya na hapo hapo anamlaumu kipofu kwa kutoona, hicho ndicho anafanya Marekani.
Ni kupe siri ndogo kabisa ya Mafanikio, binadamu ni mbinafsi, that is our nature! Hivyo ukitaka kufanikiwa jenga system inayoweza kutumia ubinafsi ndani ya binadamu, na ukatengeneza sheria tu kuutawala kwa mipaka fulani! Hiyo ndio siri ya Capitalism!
Ukiona mtu kaja kufungua duka mtaani kwako, au kanunua daladala, si kwamba anawapenda watu, anataka faida kwake binafsi! Au mangi akifungua bucha mtaani kwako, sio kwamba anataka mle nyama! La Hashanah anataka pesa yenu! Na njia rahisi ya kupata pesa ni kujenga bucha! Siri hiyo ndio inaendeleza mtu binafsi mpaka taifa!
 
Hatukatai kwamba unayo mamlaka kwenye brain yako aliyokupa Mungu, lakini kwanini hutaki kukubali kwamba Green card lottery ni mchezo mchafu wa America kuua nguvu kazi za mataifa mengine ikichukua madhaifu ya nchi hizo na shida za watu wao kama loop hole na mbaya zaidi utakuta watu hao walisomeshwa kwa fedha za walalahoi wa nchi hizo.
Kama serikali haina plans za waliowasomesha! Utailaumu Marekani! Wewe unasema ni mchezo mchafu! India inayoleta kwa wingi Software developers na Engineers inaona ni neema!
 
Naomba usinichekeshe! Una vision wewe! Kama wenye vision wana akili kama yako mgao wa umeme, maji utaendalea kuwepo Tanzania miaka mingine 60 tena...yaani miaka 120 toka tupate uhuru
Mawazo finyu, mgando! Kwa wasomi kama wewe ndio maana taifa linapiga mark time!
Umeandika mengi mno, sijaona hata tone la kuondoa tatizo la ajira! Sana umesema Passport yako imejaa kwa kuja Marekani!
Tuna safari ndefu sana!
Wakati India inatuma kwa wingi Software engineers na H IB Visa na wamejazana Silicone Valley....wewe hata kuwapa uthubu Vijana wa Tanzania unashindwa!
CCM itatutawala kwa muda mrefu sana!
Hata kufikiria ni taaluma, wewe acha sisi tuendelee kuishi gizaji kama mazuzu. Lakini sina shaka nimekuelimisha vya kutosha ila hutaki kukiri humu jf. Narudia tena, hivyo unacholipwa huko na kufurahia is just a tip of an ice b kuliko kile wabwenyenye wanachokivuna toka kwako, tatizo lako unalinganisha anacholipwa mzibua mitaro wa bongo na mzibua mitaro Marekani bila kulinganisha volume ya nguvu, muda, makato, na bei ya vitu ukiwa US na TZ. Wale unaowaona wanalala kwenye magari huko marekani inawezekana wanalipwa zaidi ya TZS 5,000,000 kwa mwezi, lakini ona hazitoshi kulipia estate mpaka wanalala kwenye magari yao ya mkopo. Hapa Tz mshahara wa TZS 5,000,000 kwa mwezi unakuwezesha kula, kusomesha na kulipia nyumba na kubaki kidogo.

Sisi sasa hivi tunapeleka barabara, umeme, maji, shule, zahanati kwa kila kijiji kwa kodi zetu na mikopo. Tunajivunia kwa hilo, kuna siku tutagundua tunakokwama na kuwachukulia hatua wote wanaotukwamisha, lakini hatuwazi kuwa refugees kama njia mlioichukuwa ninyi cowards.
 
Ni kupe siri ndogo kabisa ya Mafanikio, binadamu ni mbinafsi, that is our nature! Hivyo ukitaka kufanikiwa jenga system inayoweza kutumia ubinafsi ndani ya binadamu, na ukatengeneza sheria tu kuutawala kwa mipaka fulani! Hiyo ndio siri ya Capitalism!
Ukiona mtu kaja kufungua duka mtaani kwako, au kanunua daladala, si kwamba anawapenda watu, anataka faida kwake binafsi! Au mangi akifungua bucha mtaani kwako, sio kwamba anataka mle nyama! La Hashanah anataka pesa yenu! Na njia rahisi ya kupata pesa ni kujenga bucha! Siri hiyo ndio inaendeleza mtu binafsi mpaka taifa!

Hiyo sio ubinafsi huo ni ujasiriamali, unawasogezea watu huduma karibu, (creation of utilities for all), ubinafsi ni selfishness, self-centred, yaani unafikiria watoto na nduguzo tu katika jambo ambalo ungelitumia kwa umma, haiwezekani umesomeshwa kwa kodi za umma halafu unadanganyika kwa Green card lottery unaenda kufanya kazi Marekani kwa faida ya wewe na watoto wako ukiacha solemba umma uliokusomesha, assume you are a doctor of medicine.
 
Hata kufikiria ni taaluma, wewe acha sisi tuendelee kuishi gizaji kama mazuzu. Lakini sina shaka nimekuelimisha vya kutosha ila hutaki kukiri humu jf. Narudia tena, hivyo unacholipwa huko na kufurahia is just a tip of an ice b kuliko kile wabwenyenye wanachokivuna toka kwako, tatizo lako unalinganisha anacholipwa mzibua mitaro wa bongo na mzibua mitaro Marekani bila kulinganisha volume ya nguvu, muda, makato, na bei ya vitu ukiwa US na Marekani. Wale unaowaona wanalala kwenye magari huko marekani inawezekana wanalipwa zaidi ya TZS 5,000,000 kwa mwezi, lakini ona hazitoshi kulipia estate mpaka wanalala kwenye magari yao ya mkopo. Hapa Tz mshahara wa TZS 5,000,000 kwa mwezi unakuwezesha kula, kusomesha na kulipia nyumba na kubaki kidogo.
Naona unasukumwa na wivu tu! Owner wa factory unataka alipwe sawa na mimi! Nakuuliza hata hivyo viwanda vya kina MO Pugu Road, wanalipwa sawa na MO!
Hao matajiri wa mabasi na malori Tanzania wanajilpa sawa na madereva na utingo!
Ndio maana nasema una akili finyu! Tena finyu mno! Hata enzi za Mashirika ya Umma ya Nyerere General Managers hakuwa analipwa sawa na mhasibu au mhudumu au engineer!
Wigo wako wa kufikiri ni wa zamani sana!
 
Hiyo sio ubinafsi huo ni ujasiriamali, unawasogezea watu huduma karibu, (creation of utilities for all), ubinafsi ni selfishness, self-centred, yaani unafikiria watoto na nduguzo tu katika jambo ambalo ungelitumia kwa umma, haiwezekani umesomeshwa kwa kodi za umma halafu unadanganyika kwa Green card lottery unaenda kufanya kazi Marekani kwa faida ya wewe na watoto wako ukiacha solemba umma uliokusomesha, assume you are a doctor of medicine.
Nasikitika sana...tuna safari ndefu mno! Sijui ni nani atakuja kuvunja huo umaskini wa fikra Tanzania...
 
Kama serikali haina plans za waliowasomesha! Utailaumu Marekani! Wewe unasema ni mchezo mchafu! India inayoleta kwa wingi Software developers na Engineers inaona ni neema!

Sasa serikali ikusomeshe halafu ikupangie plan gani??--then what good to be an educated person??!!, nini maana ya kuelimika??.

Unajua sometimes nadhani inatakiwa wawepo viongozi mithili ya Josef Stalin, wewe unaelimishwa na serikali kwa elimu uliyopata uje kusaidia umma wewe tena unaitaka government ifanye kitu fulani kwa ajili yako!!!-- na unaona shida unaamua kudanganyika na unakimbilia Marekani ili upate mkate wako kwa ajili ya kizazi chako!!!😏
 
Mleta mada uko brainwashed.

In terms of opportunities huwezi kulinganisha US na Tanzania unapokomalia kusema fursa zipo .

Kwa miaka yangu hii niliyoishi hapa nimeshuhudia wageni wengi kama mimi waliokuja na kuanza moja ila wakafanikiwa vizuri tu sana kushinda waliowaacha huko.

US mtu anaweza kufanya kazi hata 4 tofauti kwa siku na zikawa na malipo ya 30-60 $ kwa saa je Tanzania kuna mtu anaweza kufanya hivyo?

Kwa kuwa mnaaminishwa uzalendo uchwara eti ni kubakia nyumbani na kupigika na maisha halafu viongozi wanawatumia kama daraja na mtaji kutajirika ndio mnaona uzalendo?

Awamu ya 5 ndio mkapandikizwa chuki na washamba kuwa diaspora ni wasaliti huku mkiitwa wanyonge ili muone umasikini ni kitu cha kawaida.

Tembea ujionee mengi ,pengine usikute hata Isebania hapo hujakanyanga.
 
Nasikitika sana...tuna safari ndefu mno! Sijui ni nani atakuja kuvunja huo umaskini wa fikra Tanzania...

Ni wewe na mimi inatakiwa kwa pamoja tuje kuvunja huu "umaskini wa fikra", lakini kazi itakuwa ngumu kwani wewe uzalendo umekushinda na umekimbia battle field, Rudi nyumbani tupambane ili tujikwamue na shida kama hizo, nchi yetu ni 60yrs old, America ni 200yrs old Kama nipo sahihi, imepitia hatua nyingi na misukosuko kibao hadi hii leo ni Super power, rudi nyumbani tujenge nchi ili historia utuandike kama jinsi historia inavyowaandika Americans forefathers kwa kuijenga nchi yao kiasi kwamba wewe leo hii unatanua na kurusha mawe kwa nchi yako uliyozaliwa kwa kupitia matunda na jasho la American forefathers, Come back home to build our country and be remembered in history among Tz forefathers.
 
Hata kufikiria ni taaluma, wewe acha sisi tuendelee kuishi gizaji kama mazuzu. Lakini sina shaka nimekuelimisha vya kutosha ila hutaki kukiri humu jf. Narudia tena, hivyo unacholipwa huko na kufurahia is just a tip of an ice b kuliko kile wabwenyenye wanachokivuna toka kwako, tatizo lako unalinganisha anacholipwa mzibua mitaro wa bongo na mzibua mitaro Marekani bila kulinganisha volume ya nguvu, muda, makato, na bei ya vitu ukiwa US na TZ. Wale unaowaona wanalala kwenye magari huko marekani inawezekana wanalipwa zaidi ya TZS 5,000,000 kwa mwezi, lakini ona hazitoshi kulipia estate mpaka wanalala kwenye magari yao ya mkopo. Hapa Tz mshahara wa TZS 5,000,000 kwa mwezi unakuwezesha kula, kusomesha na kulipia nyumba na kubaki kidogo.

Sisi sasa hivi tunapeleka barabara, umeme, maji, shule, zahanati kwa kila kijiji kwa kodi zetu na mikopo. Tunajivunia kwa hilo, kuna siku tutagundua tunakokwama na kuwachukulia hatua wote wanaotukwamisha, lakini hatuwazi kuwa refugees kama njia mlioichukuwa ninyi cowards.
Nakuuliza tena, labda umekuja Dar ukubwani, wale wauza Ice cream wa Bakharesa, waliosambaa Dar Nzima walikuwa wanalipwa sawa na Bakharesa! Au waliokuwa wakitengeneza mikate na kuisambaza wana lipwa sawa na Bakharesa!
Kwa hiyo mimi Software engineer niliyetoka bongo unataka nilipwe sawa owner wa Yahoo! Au Amazon! Au owner wa Walmart!
Kwa hiyo ni sawa Tanzania,ila sio sawa Marekani!
Ndio maana nasema una upungufu wa akili! Na mawazo kama yako Tanzania haitafika popote pale!
Ndio maana kila mwenye mafanikio Tanzania ataitwa Freemason au mchawi!
 
Ni wewe na mimi inatakiwa kwa pamoja tuje kuvunja huu "umaskini wa fikra", lakini kazi itakuwa ngumu kwani wewe uzalendo umekushinda na umekimbia battle field, Rudi nyumbani tupambane ili tujikwamue na shida kama hizo, nchi yetu ni 60yrs old, America ni 200yrs old Kama nipo sahihi, imepitia hatua nyingi na misukosuko kibao hadi hii leo ni Super power, rudi nyumbani tujenge nchi ili historia utuandike kama jinsi historia inavyowaandika Americans forefathers kwa kuijenga nchi yao kiasi kwamba wewe leo hii unatanua na kurusha mawe kwa nchi yako uliyozaliwa kwa kupitia matunda na jasho la American forefathers, Come back home to build our country and be remembered in history among Tz forefathers.
Nimekuachia wewe! Una wigo mpana sana! Ukishindwa CCM kamsaidie Zitto au Mbatia, sina huo wito!
 
Sio wito bali uzalendo umekushinda.

Green card lottery is American neo-imperialism in action.

An inkling:-
Rudi home, soon you will be annihilated with nuke weapons, for WW lll is in tunnel.
 
Haaaahh imefika huko! Kumbe ni chuki binafsi...basi nikiri mjadala umenishinda!
 
😀😀 Mkuu cassavaleaves, sina chuki na Americans lakini ninayo chuki na mambo ya America/Administrations.

Kuhusu nuclear war, kwa mazingira yaliyopo ya kutunishiana misuli kati ya USA na Russia, Iran vs Israel, Korea vs Korea na hususan katika hii vita ya Ukraine na Russia usalama wa dunia sio stable kabisa, NATABIRI vita itakayopiganwa sio ya conventional weapons bali itakuwa Nuke weapons.

Chuma kwa sana huko USA na uje kujenga na kuishi huku Africa, tunakupenda.😀
 
Hakuna perfect nation chini ya jua! Kama ambavyo hakuna binadamu mkamilifu!
Lakini America na mapungufu yake yote kama taifa, ina mambo mengi ya kujifunza! Imekuwa ni hub ya uchumi wa dunia, military imekuwa mbele muda mrefu kwa sababu ina watu wanaofikiri kwa ajili ya taifa lao! Na mambo mengi ambao huwezi kukubaliana na US. Kuna mambo mengi mno unaweza kujifunza.
Huo ndio umekuwa msimamo wangu!
Hatujui nani atakuwa Super power baada ya US.....naye atafanya nini kuisukuma dunia! Mimi na wewe naamini hatukuwepo!
Hivyo chuki dhidi ya US bila kujifunza kutoka kwake huwa haisaidii! Huo ndio mtazamo wangu!
 
Mimi sijasema kwamba ipo nchi perfect na siichukii America kama nchi bali nachukia matendo mabaya ya tawala za America (administrations), yapo matendo mazuri ya kuigwa lakini pia yapo matendo mabaya ya kupingwa likiwemo la Green card lottery, America ni nchi yenye nguvu kubwa kiuchumi nk, kwa hali ya kawdida tungetaraji isimamie uchumi wa dunia kwa ustawi wa watu wote duniani kinyume chake tawala za America kwa miongo mingi ndizo zimekuwa kinara wa political chaos sehemu mbalimbali duniani, America/administrations has been lustful for wealth by hooks or crooks so as to mantain her superpower and with all forces to remain unbeaten in the position, hii ni hali ya hatari ya kutotaka kupitwa ambayo hatimaye vita vinaweza na hasa vitatokea kwanini yeye usipitwe umekuwa nani??--- Nuke wars are under way.
 
Nani ambaye alikuwa Super Power akataka kupitwa? Sijui kama unajua historia! Sijui umesoma historia ya dunia kiasi gani!

Labda nchi iliyokuwa Super power ikaachia madaraka yake!

Hata CCM tu haitaki tu Tanzania haitaki!

Na unaposema Nuke war are coming! Una hakika kabisa nani atakuwa mshindi! Mimi sijui! Utakuwa ni kati ya watu wachache wanaojua matokea ya Nuke Wars!
Wanaojua Power ya Nukes, wanafahamu wazi Russia, China na hata US hawataki vita hivyo! Labda kiduku wa Korea tu, ambaye hata akitumia nukes zake zote hawezi kuwa Super power! Anaweza kuleta destructions! But he cannot win any war with US and US allies.

Anyway mada yetu ni umanamba! Sipendi kuipindisha!
 
Back
Top Bottom