Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Mokake,
Husutwi na dhamira jinsi politicians wenu ambao hawana game plans za kuikwamua nchi!
Naomba utusaidie, weka mjadala pembeni, nini kifanyike kuzuia watu wasitafute maisha nyumbani, wakati opportunities hakuna Tanzania!
Utasaidia wengi.
that's a Simple Question.
Shida inayotukabili sisi sote, wewe, mimi na mwingine hapa kwetu ni Ubinafsi. Kiongozi kwa nafasi yake anakuwa mbinafsi, hawajibiki kwa ajili ya umma, wewe kwa nafasi yako ya ubinafsi unaona kupambana na hali hiyo huwezi unaamua kutoka nje kwa kudanganywa unafika huko unapata unachohitaji kwa ajili yako, nduguzo na watoto wako tu-- huo nao ni ubinafsi uleule kwa njia nyingine, ili to make difference ni lazima tuachane na ubinafsi na wote tujiulize; in the first place What can we do for our country??.
Hoja inabaki pale pale kwa kutumia loop hole ya ubinafsi wetu America anatumia Green card lottery kutudhoofisha, ni kama mtu amuibie kipofu huku akijua wizi ni mbaya na hapo hapo anamlaumu kipofu kwa kutoona, hicho ndicho anafanya Marekani.