Mokaze,
Ingawa unamjibu AM_ Tunnech, labda ningependa kuweka wazo langu, Kavulata ameleta mada ambayo haikua inahusiana na ushoga kabisa! Argument yake kubwa ilikuwa kuondoka nchini through Greencard in umanamba wa aina fulani kutokana na msimamo wake, ambao hakatazwi kabisa kuamini kama anavyoamini.
Lakini alivyokuwa anashindwa kutetea hoja yake, akaingiza mada nyingi tu! Kama Ushoga! Ubaguzi ! na mambo mengine mengi, akahama kwenye mada yake kuu ya msingi!.
Mokaze, sikupenda kuingiza kwenye mabishano ya ushoga na Kavulata, kwa sababu tu moja, Ushoga hauathiri kabisa maisha yangu ugenini, na kuzuia kufanya nalotaka kulifanya Marekani! Na haizuii wanaoingia Marekani kutafuta ndoto zao Marekani! Kuna Waislamu wana misikiti mikubwa na kila leo wanafurika Marekani
Ushoga Marekani ni chaguo la mtu binafsi kabisa, kwa taarifa nyingi asilimia yao ni ndogo mno!
WASHINGTON, D.C. -- The percentage of U.S. adults who self-identify as lesbian, gay, bisexual, transgender or something other than heterosexual has increased to a new high of 7.1%, which is double the percentage from 2012, when Gallup first measured it.
Gallup asks Americans whether they personally identify as straight or heterosexual, lesbian, gay, bisexual, or transgender as part of the demographic information it collects on all U.S. telephone surveys. Respondents can also volunteer any other sexual orientation or gender identity they prefer. In addition to the 7.1% of U.S. adults who consider themselves to be an LGBT identity, 86.3% say they are straight or heterosexual, and 6.6% do not offer an opinion. The results are based on aggregated 2021 data, encompassing interviews with more than 12,000 U.S. adults.
Jambo ambalo hata hapa Marekani linawashangaza wengi, ni kuwa asilimia hiyo 7.1% Ina nguvu mno kipesa! Sio Marekani tu, dunia nzima! Kwa kukujulisha tu aslimia hiyo ina influence Democratic Party hata Republican pia, na wana nguvu hata kwenye World Platform! Hata UN!
Kwa watu wengi ambao wanajua Dunia inaenda wapi, ni swala la muda tu! Dunia nzima itaiingizwa kwenye wimbi hilo! ( Sitaki kuleta nadharia nazoamini za dini yangu hapa) Lakini Ulimwengu unakokwenda kwa ujumla si mahali kuzuri, Uchumi wa dunia bado utakuwa mikononi mwa watu wachache, na ndio watakua na amri ya mwisho! Swala la ushoga ( ambalo hata mimi kwa imani yangu nalichukia sio swala kufa leo wala kesho)
Hivyo Mokaze, niko Marekani, ni nchi yenye uhuru wa kila aina, na kuchagua lifestyle unayoitaka, ni swala la binafsi zaidi! Labda tukutane kwenye mada nyingine kuangalia nani behind Ushoga duniani, ni mtu mwenye kutazama juu juu na kusema Marekani! Hata ndani ya Marekani ni nani hasa wanaoisukuma hoja hiyo! Wengi ni ile 1% inayotawala uchu,mi wa dunia!