Green card lottery ni Umanamba mamboleo

Green card lottery ni Umanamba mamboleo

Nani ambaye alikuwa Super Power akataka kupitwa? Sijui kama unajua historia! Sijui umesoma historia ya dunia kiasi gani!

Labda nchi iliyokuwa Super power ikaachia madaraka yake!

Hata CCM tu haitaki tu Tanzania haitaki!

Na unaposema Nuke war are coming! Una hakika kabisa nani atakuwa mshindi! Mimi sijui! Utakuwa ni kati ya watu wachache wanaojua matokea ya Nuke Wars!
Wanaojua Power ya Nukes, wanafahamu wazi Russia, China na hata US hawataki vita hivyo! Labda kiduku wa Korea tu, ambaye hata akitumia nukes zake zote hawezi kuwa Super power! Anaweza kuleta destructions! But he cannot win any war with US and US allies.

Anyway mada yetu ni umanamba! Sipendi kuipindisha!

---America ni superpower no 1 na hataki kupitwa na China.

---Nuke wars hazitakuwa na mshindi bali kutakuwa na maangamizo makubwa sehemu yatayotutwa hayo mabomu, America ni nchi mojawapo ambako mabomu hayo yatatupwa.

---Rudi nyumbani kwa usalama wako, huko USA sio kwenu.

---Green card lottery ni neo-imperialism ya America kuchukua kwa ujanja vibarua na manamba kutoka nchi zingine.
 
Mokaze,

Marekani haichukua watu kwa ujanja! kila kitu kiko black and white! Sijadanganywa hata tone!
 
---America ni superpower no 1 na hataki kupitwa na China.

---Nuke wars hazitakuwa na mshindi bali kutakuwa na maangamizo makubwa sehemu yatayotutwa hayo mabomu, America ni nchi mojawapo ambako mabomu hayo yatatupwa.

---Rudi nyumbani kwa usalama wako, huko USA sio kwenu.

---Green card lottery ni neo-imperialism ya America kuchukua kwa ujanja vibarua na manamba kutoka nchi zingine.
Mokaze:

Kwa hiyo Tanzania tuna akili kuliko India, China na Canada! Hizo ni Visa za kuja kufanya kazi USA Licha ya Greencard! Mtaishia kupiga kelele watu wa nchi nyingine wanafaidika!

Top 3 countries of birth: H-1B visa allotments

Table with 5 columns and 4 rows. Currently displaying rows 1 to 4.​
County
Number (2021)
Percentage (2021)
Number (2020)
Percentage (2020)
India
301,616​
74​
319,494​
75​
China
50,328​
12​
51,597​
12​
Canada
3,836​
1​
3,987​
1​
Global total
407,071​
100​
426,710​

MUMBAI: A recent report released by the US Department of Hom ..

Read more at:
Indians bagged 3.01 lakh H-1B visas during fiscal 2021 – 74% of the total - Times of India
 
---America ni superpower no 1 na hataki kupitwa na China.

---Nuke wars hazitakuwa na mshindi bali kutakuwa na maangamizo makubwa sehemu yatayotutwa hayo mabomu, America ni nchi mojawapo ambako mabomu hayo yatatupwa.

---Rudi nyumbani kwa usalama wako, huko USA sio kwenu.

---Green card lottery ni neo-imperialism ya America kuchukua kwa ujanja vibarua na manamba kutoka nchi zingine.

Angalia baadhi ya Visa zinazoingiza kwa wingi kwa watu wenye elimu USA! Nyie mnabakia kulia Manamba! Manamba!

Ndio kina Mzee Makamba watabakia kutuongoza na kutunyanyasa kila leo!

Overview of the H-1B Visa Category and the Petition Process

What is the H-1B Visa Category?

The H-1B is a temporary (nonimmigrant) visa category that allows employers to petition for highly educated foreign professionals to work in “specialty occupations” that require at least a bachelor’s degree or the equivalent. Jobs in fields such as mathematics, engineering, technology, and medical sciences often qualify. Typically, the initial duration of an H-1B visa classification is three years, which may be extended for a maximum of six years.

Before an employer can file a petition with USCIS, the employer must take steps to ensure that hiring the foreign worker will not harm U.S. workers.

  • Employers first must attest, on a labor condition application (LCA) certified by the Department of Labor (DOL), that employment of the H-1B worker will not adversely affect the wages and working conditions of similarly employed U.S. workers.
  • Employers must also provide existing workers with notice of their intention to hire an H-1B worker.
Since the category was created in 1990, Congress has limited the number of H-1Bs made available each year. The current annual statutory cap is 65,000 visas, with 20,000 additional visas for foreign professionals who graduate with a master’s degree or doctorate from a U.S. institution of higher learning (Figure 1). In recent years, the limit has been reached well before the end of the fiscal year. In Fiscal Year (FY) 2022, the cap was reached on February 28, 2022.

Wengi kama ulivyoona ni Wahindi! Wachina na Canada! Maana watu kutoka nchi maskini kama kina Kavulata hawataki kabisa kujua kuna opportunites kama hizi!
 
Hata hapa Tz kazi zipo telee, tatizo ni kwamba huku ushoga haulipi kama huko, huko mwanaume unaweza kuolewa ukaishi vizuri tu, huku watu wana mapesa na wanunua kila kitu kwa cash, ndio maana unaona magari yapo barabarani, maduka yapo, watu wanajenga, watu wanasomesha, watu wanajenga shule binafsi, vyuo binafsi, nk. Tatizo sisi majeshi yetu ni ya ukombozi tu na kulinda mipaka, wakati huko majeshi yao ni ya kujenga uchumi, uporaji na wizi kwenye mataifa mengine na kupeleka kwao. KInachosaidia watu manamba kama nyinyi ni vitu vifuatavyo:

1. Ratiba ngumu (tight) za siku, wiki, mwezi na mwaka (kujilipua), huku watu hawako serious na matumizi ya muda wao (time management)
2. Kubana matumizi kwa kununua vitu vikuuvikuu au vilivyopitwa na wakati/msimu/fashion - mitumba/fast foods/clearance. Huku 95% wanapika wenyewe vyakula fresh, matunda fresh na nyama fresh, sio canned foods.
3. Kuwa mbali na extended families, ni wewe tu peke yako basi, lakini huku kuna ndugu wengi sana watakuhitaji uwasaidie na kutunza wazee wako waliozeeka.
4. kukopa.
5. wabongo Hamchagui kazi mkifika huko, huku kazi zipo lakini watu wanachagua .

Hata hapa bongo kama utaishi maisha kama hayo lazima utakuwa na financial freedom wakati huohuo ukiendelea kulijeng taifa lako kwa kodi, tozo na huduma. Furaha sio kuwa na pesa tu bhana wewe.
Haya safari njema[emoji1666]
20220725_203357.jpg
 
Naomba usinichekeshe! Una vision wewe! Kama wenye vision wana akili kama yako mgao wa umeme, maji utaendalea kuwepo Tanzania miaka mingine 60 tena...yaani miaka 120 toka tupate uhuru
Mawazo finyu, mgando! Kwa wasomi kama wewe ndio maana taifa linapiga mark time!
Umeandika mengi mno, sijaona hata tone la kuondoa tatizo la ajira! Sana umesema Passport yako imejaa kwa kuja Marekani!
Tuna safari ndefu sana!
Wakati India inatuma kwa wingi Software engineers na H IB Visa na wamejazana Silicone Valley....wewe hata kuwapa uthubu Vijana wa Tanzania unashindwa!
CCM itatutawala kwa muda mrefu sana!
Mkuu ukimuuita huyu jamaa MSOMI unakosea sana, ana usomi gani huyu sasa, hayo maandiko yake yana usomi wowote?huo mtiririko wa mawazo (train of thought) ni wa kisomi? muite MBUMBUMBU ili ashtuke mapema.
 
Mleta mada uko brainwashed.

In terms of opportunities huwezi kulinganisha US na Tanzania unapokomalia kusema fursa zipo .

Kwa miaka yangu hii niliyoishi hapa nimeshuhudia wageni wengi kama mimi waliokuja na kuanza moja ila wakafanikiwa vizuri tu sana kushinda waliowaacha huko.

US mtu anaweza kufanya kazi hata 4 tofauti kwa siku na zikawa na malipo ya 30-60 $ kwa saa je Tanzania kuna mtu anaweza kufanya hivyo?

Kwa kuwa mnaaminishwa uzalendo uchwara eti ni kubakia nyumbani na kupigika na maisha halafu viongozi wanawatumia kama daraja na mtaji kutajirika ndio mnaona uzalendo?

Awamu ya 5 ndio mkapandikizwa chuki na washamba kuwa diaspora ni wasaliti huku mkiitwa wanyonge ili muone umasikini ni kitu cha kawaida.

Tembea ujionee mengi ,pengine usikute hata Isebania hapo hujakanyanga.
hata sijui nikujibu nini wewe.... serikali ilikuzuia wewe kufuga, kuvua, kulima, kungeneza magari, kuwa mjenzi, kuanzisha bar yako, kuwa mganga wa kienyeji, kufungua hospitali yako, kuwa selemala, kujenga kiwanda au kufungua car wash yako? Hivi leo hii ukiwa na mbuzi 100 sokoni huuzi na kupata pesa? Kama mganga wa kienyeji anaishi kwa kuagua watu kwa miti shamba na ulaghai je wewe mwenye elimu ya chuo unashindwa nini? Nafahamu kuwa ushoga huku haulipi sana lakini kazi nyingine zipo tu nyingi kama utajituma sawasawa na utabana matumizi. Nafahamu kuwa watu wetu wengi hawajui kufanya savings kama wafanyo wamarekani lakini hiyo haimaanishi kuwa kazi hazipo.

Hebu nipe mfano wa hizo kazi 4 ambazo unasema unaweza kuzifanya kwa siku moja ambazo huku hakuna ni zipi? Huku kuna dk anaweza kufanyakazi kwenye hospitali zaidi ya 2 kwa siku, kuna mhadhiri anaweza kufundisha vyuo 3 kwa siku, kuna mwl anafundisha na tuition sila siku jioni, kuna watu wanafanyakazi za mtandaoni zaidi 3 kila siku, kuna, kuna mfanyakazi ambae anafuga, analima, ana duka, ana bodaboda, ana glossary pia.
 
Naona hata nikikujibu napoteza muda bure , hoja za maana huna ni attacks tu.

Endelea kukaa huko hujalazimishwa kuja US na hivyo usiwalazimishe tuliopo na wanaotaka kuja waamini uongo wako.

Yaani kwa uandishi wa kuiita grocery kuwa ni glossary halafu ndio unataka tuendelee kujadiliana?
 
Mokaze,

Ingawa unamjibu AM_ Tunnech, labda ningependa kuweka wazo langu, Kavulata ameleta mada ambayo haikua inahusiana na ushoga kabisa! Argument yake kubwa ilikuwa kuondoka nchini through Greencard in umanamba wa aina fulani kutokana na msimamo wake, ambao hakatazwi kabisa kuamini kama anavyoamini.

Lakini alivyokuwa anashindwa kutetea hoja yake, akaingiza mada nyingi tu! Kama Ushoga! Ubaguzi ! na mambo mengine mengi, akahama kwenye mada yake kuu ya msingi!.

Mokaze, sikupenda kuingiza kwenye mabishano ya ushoga na Kavulata, kwa sababu tu moja, Ushoga hauathiri kabisa maisha yangu ugenini, na kuzuia kufanya nalotaka kulifanya Marekani! Na haizuii wanaoingia Marekani kutafuta ndoto zao Marekani! Kuna Waislamu wana misikiti mikubwa na kila leo wanafurika Marekani

Ushoga Marekani ni chaguo la mtu binafsi kabisa, kwa taarifa nyingi asilimia yao ni ndogo mno!

WASHINGTON, D.C. -- The percentage of U.S. adults who self-identify as lesbian, gay, bisexual, transgender or something other than heterosexual has increased to a new high of 7.1%, which is double the percentage from 2012, when Gallup first measured it.

Gallup asks Americans whether they personally identify as straight or heterosexual, lesbian, gay, bisexual, or transgender as part of the demographic information it collects on all U.S. telephone surveys. Respondents can also volunteer any other sexual orientation or gender identity they prefer. In addition to the 7.1% of U.S. adults who consider themselves to be an LGBT identity, 86.3% say they are straight or heterosexual, and 6.6% do not offer an opinion. The results are based on aggregated 2021 data, encompassing interviews with more than 12,000 U.S. adults.

Jambo ambalo hata hapa Marekani linawashangaza wengi, ni kuwa asilimia hiyo 7.1% Ina nguvu mno kipesa! Sio Marekani tu, dunia nzima! Kwa kukujulisha tu aslimia hiyo ina influence Democratic Party hata Republican pia, na wana nguvu hata kwenye World Platform! Hata UN!

Kwa watu wengi ambao wanajua Dunia inaenda wapi, ni swala la muda tu! Dunia nzima itaiingizwa kwenye wimbi hilo! ( Sitaki kuleta nadharia nazoamini za dini yangu hapa) Lakini Ulimwengu unakokwenda kwa ujumla si mahali kuzuri, Uchumi wa dunia bado utakuwa mikononi mwa watu wachache, na ndio watakua na amri ya mwisho! Swala la ushoga ( ambalo hata mimi kwa imani yangu nalichukia sio swala kufa leo wala kesho)

Hivyo Mokaze, niko Marekani, ni nchi yenye uhuru wa kila aina, na kuchagua lifestyle unayoitaka, ni swala la binafsi zaidi! Labda tukutane kwenye mada nyingine kuangalia nani behind Ushoga duniani, ni mtu mwenye kutazama juu juu na kusema Marekani! Hata ndani ya Marekani ni nani hasa wanaoisukuma hoja hiyo! Wengi ni ile 1% inayotawala uchu,mi wa dunia!
Swala la ushoga limeingia kwenye thread hii sio kwa bahati mbaya lakini ni pale mtu kwa makusudi tu ameamua kusema yale mabaya tu ya nchi yake na kuyanadi yale mazuri tu ya marekani kama sababu ya yeye kubadilisha uraia na kama sababu pia ya kushawishi vijana wafuate nyayo zake kuikimbia nchi. Ndipo nikaanza kutaja ushoga kama moja ya fursa kule marekani, homelessness, poverty, slams, uwepo wa shule zenye wahitimu wasiojua kusoma na hesabu, ubaguzi, kuuana, nk kama kasoro za marekani ambazo jamaa hataki vijana huku wazijue kama zipo marekani pia.

Jamaa huyu wa ajabu anadai kuwa kilichomshawishi ni yeye kulipwa karibu mara 5 ya kile alichokuwa analipwa Tz, hii nayo sio sababu ya msingi ya yeye kubadili uraia wake, kwasabu nilitoa mfano kuwa mimi nilikuwa napanda commuters (daladala) kutoka kituo hadi kituo kwa dolla 3 (Tsh. 7,200) basi moja kila siku wakati mimi huku kituo hadi kituo ninakoshukia kwa daladala nalipa Tsh 400-500 tu, kuku mmoja broiler aliyetengenezwa kwenye oven pale Kroger Mall nilikuwa nalipa dollar 12 (Tsh 28,000) wakati mimi hapa wa hivi nalipa TZS10,000 tu, bei ya parachichi, ndizi, nanasi, chungwa ni kubwa mara 5 ya ndizi ya huku hapa mjini tsh 200 tu. Sasa mshahara mkubwa x 5 unafaida gani wakati bei na kodi viko juu pia? Tulikuwa tunabaki na fedha kwa kujibanaaaaaaaaa ili turudi nazo huku bongo tufanye matanuzi lakini sio kule. Sasa mimi anaposema analipwa mara 5 ya huku naona kama hajitambui vile, ndio maana nikasema huenda mtu ameolewa ni mke wa mtu kwakuwa kule ushoga ni mojawapo ya fursa pia, mashoga kule ni watu maarufu sana, nilishangaa siku moja kusikia mtangazaji mmoja maarufu sana CNN anajitangaza kuwa yeye ni shoga bila hata ya aibu.
 
---America ni superpower no 1 na hataki kupitwa na China.

---Nuke wars hazitakuwa na mshindi bali kutakuwa na maangamizo makubwa sehemu yatayotutwa hayo mabomu, America ni nchi mojawapo ambako mabomu hayo yatatupwa.

---Rudi nyumbani kwa usalama wako, huko USA sio kwenu.

---Green card lottery ni neo-imperialism ya America kuchukua kwa ujanja vibarua na manamba kutoka nchi zingine.
well said bro!! . Mimi huwa ninawaambia watoto wangu na rafiki zangu kila leo kuwa kuajiliwa sio jambo zuri hata kidogo, maana hakuna tajiri hata mmoja ambae ameajiliwa na mtu au taasisi. Tajiri hawezi kukufanya wewe uwe tajiri pia, hivyo ukiona tajiri anakulipa hela nyingi sana ujue ameona kuwa wewe una uwezo wa kuwa tajiri kuliko yeye kama utajiajili mwenyewe. Sitaki watoto wangu wawaze kuajiliwa milele kwakuwa nchi yetu bado ina fursa nyingi za kuwa mwajili kwakuwa Tanzania hakuna vitu vingi, hata njiti za meno (tooth picks) tunaagiza, nyama ya kuku tunaagiza, samaki tunaagiza, mbolea tunaagiza, mayai tunaagiza, ngano tunaagiza, mafuta ya kula tunaagiza, baadhi ya matibabu tunaagiza, dawa tunaagiza, vifaa vingi vya ujenzi tunaagiza bado.

Hii ni kuonyesha kuwa wasomi wetu wanatakiwa kuajiliwa kwa muda mfupi sana kwaajili ya kupata uzoefu na ujuzi kazini kabla ya kugeuka kuwa waajili wa vijana. Lakini unashangaa hata maprofessor wetu wanaajiliwa mpaka muda wa kustaafu kwa lazima, na baada ya kustaafu wanarudi tena kuajiliwa kwa mikataba hadi kifo kitakapowakuta. Kuna maprofessor wengi wamekubwa na green card lottery kufundisha vyuo vikuu vya Marekani na Ulaya kukimbia mishahara midogo kwao, shame. Ona akina cassaleaves na wenzake wanaweza kuajiliwa tu kiasi cha hata hadi kubadili uraia wao ili kuendelea kuajiliwa vizuri kwa kushawishiwa kupewa mshahara mara 5 ya ule wa tanzania. Mimi nilifikiri anataka kusema mimi nitafanyakazi hizi za kitumwa huku kwa miaka 10 tu ili kupata capital ya kutosha kuja kuwa mwajili Tanzania kutatua kero fulani. Narudia tena na tena kuwa the working class in the marekani wengi wao kama sio wote wataendelea kuwa the working class milele kwakuwa mfumo unawakataza wao kuwa matajiri hadi mwisho wa uhai wao. Na kuna vicious circle fulani ya working class kuwa working class milele kwa ukoo wao, hii ni tofauti na tz ambako a working class anaweza kuwa employer anytime.
 
Huu mjadala umenifunguaa sana...Nimekata shauri kabla mama Samia ajawahii rais 2025. Inshallah nitAKUWA US
 
Wakoloni walitusafirisha kwa majahazi kama watumwa kwenda kwao kuwafanyia kazi bure (manamba) kwenye mashamba, viwanda na majumbani kwao, history mbaya sana hii kukumbukwa, maana sio tu kwenda kuwafanyia kazi wazungu bure lakini wengi wao walikufa njiani wakati wakisafirishwa kwa kutoswa majini, msongamano mkubwa, njaa na ugonjwa njiani.

LEO hii miaka 60 baada ya uhuru sababu zilezile za kusafirisha manamba kwenda Marekani, Ulaya na uarabuni ndio sababu hizihizi za watu kwenda huko kwa Green card lottery, Jamani hali hii ni mpaka lini? what are you looking for? Kilichobadilika tu leo ni kitu kimoja tu kutoka manamba walionunuliwa kwenye masoko ya watumwa hadi kwenda kwa green card na baadhi ya sifa za watu wanaohitajika kusafirishwa na aina ya usafiri. Wakati ule walihitaji watu vijana wenye nguvu za kufanya kazi za wakati ule na sasa hivi kwa kutumia green card wanahitaji watu vijana wenye afya wenye elimu na ujuzi maalum kwaajili ya kufanya kazi za wakati huu.

Hii ni kujitafutia balaa wewe mwenyewe na familia yako kwa matumaini feki kabisa huku ukijua kuwa utakwenda kule kufanyakazi kubwa na nyingi sana ili upate chochote kitu wakati nguvu, juhudi na akili hizo ungeweza hata kuziwekeza hapahapa nchini kwako na kupata mafanikio makubwa sana ya ajabu pamoja na kutoa mchango kwenye ujenzi wa taifa lako kwa njia za kodi, tozo na huduma kwa jamii yako.

Jaamaani, Si shauri uombe hiyo kitu, nyambafu!!!!
Mi nimeanza kuaga! Nikiwin mbere kwa mbere, hivi nakaaje na maibilisi wanaolata umeme!
 
Mkuu ukimuuita huyu jamaa MSOMI unakosea sana, ana usomi gani huyu sasa, hayo maandiko yake yana usomi wowote?huo mtiririko wa mawazo (train of thought) ni wa kisomi? muite MBUMBUMBU ili ashtuke mapema.
Manamba Hana akili, akili zake zote ziko kwenye kutafuta Kodi ya mkoloni, ugali na maharagwe na hela ya pombe na nguo ili asitembee uchi. 85% ya muda wake, nguvu zake na akili zake zote vyote amemkabidhi mwajili wake, ni Mali ya mwajili. Akili yake inarudi baada ya kustaafu na nguvu zote za umanamba zimekwisha na mwajili wake hamtaki tena na magonjwa ya uzeeni yanamwandama ndipo atagundua upuuzi woote alioufanya alipokuwa kijana na nguvu zake,

Kule Marekani ukizeeka ni kama mbwa TU, huna maana kwao tena, wanakutupa kwenye makazi ya wazee ujijue na pension yako.

Wewe ni mpumbavu sawa na wapumbavu wengine, hujui kuwa wanakufanya mpumbavu kuihama nchi yako na kuwafanyia kazi wao. Mtu kama wewe hawawezi kukuamini ng'o milele kwakuwa wanajua ni rahisi kurubuniwa kufanya chochote kwa kutumia umaskini wako. Ndio maana wametunga sheria ya wao wazungu kutembea na bunduki na kuitumia wakati wowote dhidi ya manamba. Mtu na elimu yako unafanyakazi ya kufyeka majani.
 
Kwenye akili yako wewe unadhani kule Marekani hakuna watu maskini, ombaomba, unadhani kuwa hakuna watoto wanaokaa chini darasani, hakuna wamachinga, hakuna malaya, hakuna wadokozi hakuna wanaume wanaoshikishwa ukuta wapate chochote, wanaodeki na kuosha mbwa. Akili na mawazo kama hayo ndiyo yanayowafanya watu wapande boti wafie kwenye maji na wewe umdharau huyo mama. Toka huko kaka, tembea uone.
Hapo kwenye watoto kukaa chini darasani ndo umekuja kupoteza points zote. Umeonyesha ni kama unajaribu kufanya paonekane namna fulani tu na sio kwamba unaelezea hali halisi
 
Manamba Hana akili, akili zake zote ziko kwenye kutafuta Kodi ya mkoloni, ugali na maharagwe na hela ya pombe na nguo ili asitembee uchi. 85% ya muda wake, nguvu zake na akili zake zote vyote amemkabidhi mwajili wake, ni Mali ya mwajili. Akili yake inarudi baada ya kustaafu na nguvu zote za umanamba zimekwisha na mwajili wake hamtaki tena na magonjwa ya uzeeni yanamwandama ndipo atagundua upuuzi woote alioufanya alipokuwa kijana na nguvu zake,

Kule Marekani ukizeeka ni kama mbwa TU, huna maana kwao tena, wanakutupa kwenye makazi ya wazee ujijue na pension yako.

Wewe ni mpumbavu sawa na wapumbavu wengine, hujui kuwa wanakufanya mpumbavu kuihama nchi yako na kuwafanyia kazi wao. Mtu kama wewe hawawezi kukuamini ng'o milele kwakuwa wanajua ni rahisi kurubuniwa kufanya chochote kwa kutumia umaskini wako. Ndio maana wametunga sheria ya wao wazungu kutembea na bunduki na kuitumia wakati wowote dhidi ya manamba. Mtu na elimu yako unafanyakazi ya kufyeka majani.
Nilianza kuona kama una points kidogo kwenye hili nilipoona moja ya reply zako mwanzoni. Ila kumbe hamna kitu, una lako tu
 
Hapo kwenye watoto kukaa chini darasani ndo umekuja kupoteza points zote. Umeonyesha ni kama unajaribu kufanya paonekane namna fulani tu na sio kwamba unaelezea hali halisi
Huyo ni mjinga mkuu acha kusumbuana nae, hamtafika, eti Marekani kuna watoto wa maskini wanakaa chini darasani [emoji16][emoji16]
 
Manamba Hana akili, akili zake zote ziko kwenye kutafuta Kodi ya mkoloni, ugali na maharagwe na hela ya pombe na nguo ili asitembee uchi. 85% ya muda wake, nguvu zake na akili zake zote vyote amemkabidhi mwajili wake, ni Mali ya mwajili. Akili yake inarudi baada ya kustaafu na nguvu zote za umanamba zimekwisha na mwajili wake hamtaki tena na magonjwa ya uzeeni yanamwandama ndipo atagundua upuuzi woote alioufanya alipokuwa kijana na nguvu zake,

Kule Marekani ukizeeka ni kama mbwa TU, huna maana kwao tena, wanakutupa kwenye makazi ya wazee ujijue na pension yako.

Wewe ni mpumbavu sawa na wapumbavu wengine, hujui kuwa wanakufanya mpumbavu kuihama nchi yako na kuwafanyia kazi wao. Mtu kama wewe hawawezi kukuamini ng'o milele kwakuwa wanajua ni rahisi kurubuniwa kufanya chochote kwa kutumia umaskini wako. Ndio maana wametunga sheria ya wao wazungu kutembea na bunduki na kuitumia wakati wowote dhidi ya manamba. Mtu na elimu yako unafanyakazi ya kufyeka majani.
Narudia tena kwangu hutapata airtime, maana huwa sifanyi illogical arguments na WAJINGA, ngoja nilale.
 
Back
Top Bottom