Wewe kama ni mpambanaji hizo story zao achana nazo wengi ni wale waliofeli kila kitu hata hiyo 20k wastani wa dola 9 mtu analia huwezi kusema anajielewa, wanaosaka fursa ughaibuni ndio maana unaambiwa uwe unaanzia elimu ya form six ukifika kule unaweza kupiga hata nursing maisha yakasogea, boksi la USA na Boksi la bongo ni vitu viwili tofauti pesa inayoingia kutoka kwa jamii ya diaspora Kenya au Nigeria au SA , inatia hasira sana maana jamaa wametoboa na wanajenga nchi zao na wanarudi kuwekeza kwao bila nongwa, hivo mwenye kutaka ataapply asietaka aendelee kulala japo dollar tamu bana ukikanyaga dollar ukaiweka kwenye madafu ndio utajua tuko dunia ya tatu