King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Yes. Full ujuaji
Dooh watu wanajiongeza sana ,sikutarajia kama ndiyo yeye amefikia hatua hadi ya kutoa green card.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes. Full ujuaji
Nothing is for freeUchakavu 20,000/=
Ana zaidi ya miaka 10. Alienda huko mwaka 2008. Jamaa alikuwa mbele yangu darasa 1 tukiwa A level, nikamkuta chuo UDSM na ndio alikuwa anapambania fulbright scholarship. Hiyo ndio ilimpeleka US kwa mara ya kwanza.Mwanajeshi mstaafu wa US Navy lini tena wakati yeye hana miaka zaidi ya 10 huko
Well saidAna miaka 13 anaenda wa 14 sasa
Mtu ambaye hata form hawezi jaza mpaka ajaziwe ni kilaza tu.Inabidi uwe kilaza pro max that's my stance. Nawajua watu wenye background za kawaida kabisa na wamepita interview hao wanaofeli wana matatizo.
Kudanganya au kuforce king rather kupo kila hatua ukisubiri maisha yakujie in a silver platter huwezi kutoboa popote pale maishani. Watu wamedanganya visa za kawaida ndo sembuse DV lottery. One has to assume all the risks anapotaka kufanya forgery.
Kwa Hyo ukifanyiwa huwez kujifunza.. ndg kila kitu Kwa maisha Yako unafanya mwenyewe Ili ujifunze. Peleka Akili hizo ndogo Huko chini...
Marekani kungekua na fursa hizo asinge toka huko kuja bongo kukusanya elfu ishirini ishirini za masikini wa kitanzania...
"Mbona bado mswahili hata Kiingereza cha kubabaisha?*Ana zaidi ya miaka 10. Alienda huko mwaka 2008. Jamaa alikuwa mbele yangu darasa 1 tukiwa A level, nikamkuta chuo UDSM na ndio alikuwa anapambania fulbright scholarship. Hiyo ndio ilimpeleka US kwa mara ya kwanza.
Jamaa ana miaka 10+ huko.
Mwanajeshi mstaafu wa US Navy lini tena wakati yeye hana miaka zaidi ya 10 huko
Mliambiwaje?Huyu Makulilo Nilipokuwa Jeshini Mujibu kaptain mmoja hvi alitujuza habar zake
Ndio nnaposhangaa,kafika 2008,kasoma, kaoa,kafanya kazi US Navy na kastaafu.Amestaafu?? How?? Miaka 40 ndio amefikia umri wa kustaafu?
Mkuu wewe,ume anzisha huu Uzi lakini hueleweki uko upande gani? Mara u support mara u oppose green card? Malengo ya uzi wako ni yapi? Kumpinga Makulilo ama nini?Green Card ujiandae na kama 8 m mpaka kutoboa. Halafu sio ulemae kusubiria endelea na mishe zako
Umeanzisha huu Uzi kumpinga Makulilo wala si kuzungumzia namna na faida za green card ndio kiini cha huu Uzi wako... Comments zako ni za kukashifu green card na Makulilo...wala hamna haja ya kutoa mawazo ya kusapoti vijana maana lengo lako katika huu Uzi ni ukashifu.."Mbona bado mswahili hata Kiingereza cha kubabaisha?*
Mwamba alilipuka kwa senior citizen akakacha njia ndefu ya GREEN CARDSasa na yeye si angecheza the bahati nasibu ? Ila akachagua the easy way kuoa mzungu mwenye obesity.
Stupid, learn to agree to disagree. Deplorable wewe mwenyewe. Idiot unamjua sheitwan wewe hadi unanifananisha na shetani. Ushindwe na ulegee.Judging from your comment, you are a disgusting individual, a deplorable. Roho ya kishetani. Hopefully I am wrong, and if not, I pray your children somehow grow into better people.