Green Card Makulilo Lottery

Green Card Makulilo Lottery

Mwanajeshi mstaafu wa US Navy lini tena wakati yeye hana miaka zaidi ya 10 huko
Ana zaidi ya miaka 10. Alienda huko mwaka 2008. Jamaa alikuwa mbele yangu darasa 1 tukiwa A level, nikamkuta chuo UDSM na ndio alikuwa anapambania fulbright scholarship. Hiyo ndio ilimpeleka US kwa mara ya kwanza.
Jamaa ana miaka 10+ huko.
 
Inabidi uwe kilaza pro max that's my stance. Nawajua watu wenye background za kawaida kabisa na wamepita interview hao wanaofeli wana matatizo.

Kudanganya au kuforce king rather kupo kila hatua ukisubiri maisha yakujie in a silver platter huwezi kutoboa popote pale maishani. Watu wamedanganya visa za kawaida ndo sembuse DV lottery. One has to assume all the risks anapotaka kufanya forgery.
Mtu ambaye hata form hawezi jaza mpaka ajaziwe ni kilaza tu.
 
Huyu Makulilo Nilipokuwa Jeshini Mujibu kaptain mmoja hvi alitujuza habar zake
 
Marekani kungekua na fursa hizo asinge toka huko kuja bongo kukusanya elfu ishirini ishirini za masikini wa kitanzania...

Mkuu tatizo lako ni elfu20 au seminars anazofanya? Ulitaka afanye hii shughuli bure?

Na kama sio yeye nani mwingine afanye? Kenya kuna makampuni kabisa yanaenda mashuleni kuwachezea wanafunzi kwa hela. Bongo ambako watu hawajui kabisa kuhusu hii fursa bado mnataka mtu atenge muda wake kufanya kitu bure. Wewe unaweza kutoa huduma bure?

Nchi ambayo haina ajira bado watu mnapinga vijana kuambiwa fursa zingine nje ya mipaka let alone kupewa passports bila masharti wakajitafutie. Wenzenu wanaojielewa kama Kenya, RW na Nigeria wanahimiza kabisa watu kwenda nje ya nchi wanapewa passports chap chap na wana uraia pacha, bongo sasa!

Kuhusu fursa US, I believe you're kidding right? Janitor US (mfanya usafi) inawezekana analipwa kuliko RC bongo. Unalinganisha mbingu na ardhi.
 
Ana zaidi ya miaka 10. Alienda huko mwaka 2008. Jamaa alikuwa mbele yangu darasa 1 tukiwa A level, nikamkuta chuo UDSM na ndio alikuwa anapambania fulbright scholarship. Hiyo ndio ilimpeleka US kwa mara ya kwanza.
Jamaa ana miaka 10+ huko.
"Mbona bado mswahili hata Kiingereza cha kubabaisha?*
 
Green Card ujiandae na kama 8 m mpaka kutoboa. Halafu sio ulemae kusubiria endelea na mishe zako
 
Green Card ujiandae na kama 8 m mpaka kutoboa. Halafu sio ulemae kusubiria endelea na mishe zako
Mkuu wewe,ume anzisha huu Uzi lakini hueleweki uko upande gani? Mara u support mara u oppose green card? Malengo ya uzi wako ni yapi? Kumpinga Makulilo ama nini?
 
"Mbona bado mswahili hata Kiingereza cha kubabaisha?*
Umeanzisha huu Uzi kumpinga Makulilo wala si kuzungumzia namna na faida za green card ndio kiini cha huu Uzi wako... Comments zako ni za kukashifu green card na Makulilo...wala hamna haja ya kutoa mawazo ya kusapoti vijana maana lengo lako katika huu Uzi ni ukashifu..
 
Judging from your comment, you are a disgusting individual, a deplorable. Roho ya kishetani. Hopefully I am wrong, and if not, I pray your children somehow grow into better people.
Stupid, learn to agree to disagree. Deplorable wewe mwenyewe. Idiot unamjua sheitwan wewe hadi unanifananisha na shetani. Ushindwe na ulegee.
 
Back
Top Bottom