Green Card Makulilo Lottery

Wanafiki mnajaribu kupeana moyo..[emoji1] mnafikiri kila mtu ana akili kama zenu! Binadamu hawa ishiwi ropoka..fateni Maisha yenu...
mkuu wapumbavu bongo ni wengi , hawajui tuna mifano hai na inayoingia akilini
 
Wabongo tuache wivu, kwani mtu akijaza form katoa a million what is your problem?

Navuta picha ndo unapata jirani WA hivi du!!

Mtu hataki kujaza na pia hataki wengine wajaze.


Kuna tatizo mahali sio bure
 
Hizi ndo information huyo jamaa hasemi.Yeye anasifia Mwanzo-mwisho as if ukishashinda bhaasi wewe utabebwa Kama gunia direct to US.
Mpunguze uvivu wa kusoma, ukiwa mvivu wa kusoma unategemea kuambiwa kila kitu. Hayo unayodhani jamaa hajayasema wao wanaoendesha hilo zoezi wameyaandika kwenye documents zao tena kwa kirefu kabisaaa.
 
Wabongo wengi ni wavivu wa kushughulisha bongo zao as a result wanatakiwa kutafuniwa kila kitu.
 
Mnaposema kubeba boksi huwa mnamaanisha nini ?
 
Wito wangu tuheshimu mawazo yanayokinzana na mawazo yetu ndio uungwana wala kutukanana sio sawa, nikiwa moja ya wasafiri wakubwa wale wasiosafiri au waliosafiri na kurudi nawaheshimu na siwapingi kabisa, tunahamasisha watu wakasake fursa nje cha kwanza uende kihalali, cha pili uhakikishe una makaratasi timilivu na ukumbuke sio kila anayesafiri anaenda kufanikiwa wengine tena wengi wako nje na wamepigika hawana lolote hadi kurudi nyumbani wanaogopa,
 
Teja, criminals issues,

Ata homeless wote wako ni Ivo apo juu
 
Oyoooooooooo safii Sana Kigoma tuombe hizo mambo tuibadilishe Kigoma
NB: Home boy Ernest ana nyumba kule tuna sehemu ya kufikia
 
Graduate wa Sokoine University (SUA) tuombe kwa wingi. Ajira za mifugo bongo mzozo
 
Wabongo mna nongwa sana hamna jema hata kidogo, jamaa kajitolea kuwasaidia vijana ambao kila siku wanahangaika kutafuta ajira Bongo bila mafanikio mnakuja kumkatisha tamaa bila sababu za msingi. Jamaa namjua ni mkweli sana na pia hana njaa kama ambavyo wengi mnamfikiria. Nakumbuka wakati naingia Marekani kwa mara ya kwanza moja ya watu ambao walinisaidia kunitoa tongotongo mmoja wapo ni EBM mshikaji yuko poa hana makuu chochote utakachouliza atakujibu kadri ya uelewa wake, si mchoyo wa maarifa hata kidogo.

Kuhusu maisha ya Marekani ni magumu sana mwanzoni ila ukishayazoea na ukajua nini cha kufanya asikwambie mtu huku fursa kibao ni wewe tu unataka kufanya nini! Uwekezaji nilioufanya Bongo kama nisingekuwa huku ingenichukua si chini ya miaka 15 kufika hapa nilipo. Kwahiyo tuache kukatishana tamaa maisha ni popote.
 
Serikali pumbafu ya CCM na mbwa wao wanaojiita polisi wamemkamata EBM juzi pale Kigoma wakati akiendesha seminar ya kuhamasisha na kuelimisha watu jinsi ya kujaza Dv lottery .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…