Sijaongea as a joke mtu wangu wa karibu anafanya hiyo shughuli, najua na ninajua TenaNi hatua tu ya maisha kama ambavyo mwingine anaanza umachinga kabla ya kuwa na duka.
Caregiver kiwanja ana hela kuliko mkurugenzi wa taasisi kubwa tu hapo bongo.
Vijana changamkieni fursa adhimu ya kwenda na Kuishi Marekani. Full Raha kule hakuna mateso kama Nangurukuru
Nahisi jamaa uliye mtag hapa ni sahihi Bufa atakupa mrejesho wa kila kitu kuhusu America maana inaonekana wewe huna experience yoyote ile ndio kwanza una anza kukusanya taarifa na data kuhusu America.Living cost ya US inafanana na Uyui?
Watu wengi wanadhani ukishashinda lottery unapewa green card! Thubutu😁 hapo katikati kuna documents nyingi utatakiwa kutuma na pia kuna interview, kwenye interview utalazimika kuelezea ukienda marekani utaishi wapi na utaingizaje kipato, lasivyo mchezo umeishia hapo.
Living cost ya US inafanana na Uyui?
Sijaongea as a joke mtu wangu wa karibu anafanya hiyo shughuli, najua na ninajua Tena
Sasa vijana kutokuwa informed siyo kosa la huyo jamaa ni kosa la hao vijana wenyewe kushindwa kufanya research kabla ya kuchukua hiyo hatua maana siku hizi kila kitu kiko mitandaoni kutotafuta taarifa ni uzembeMkuu sijui Kwa nn unapanik hv. Relax. Lengo letu Ni moja, nafurahi kuona vijana wanakamata fursa nje ya nchi Ila sio wakaaibike kwa kukosa taarifa sahihi
Siyo kweli bana. Hajaoa senior citizen. Kwa age yake wanaendana.Mwamba kaoa senior citizen ili kujihami kimaisha. Anawachuuza vijana eti Green card ndo itawatoa kimaisha bila kuwapa ukweli wa maisha.
Na anawachuuza haswa na story zake za abroad ukimcheck ye mwenyewe sasaMwamba kaoa senior citizen ili kujihami kimaisha. Anawachuuza vijana eti Green card ndo itawatoa kimaisha bila kuwapa ukweli wa maisha.
Akili za kuambiwa...Na anawachuuza haswa na story zake za abroad ukimcheck ye mwenyewe sasa
Alinijibu instagram kwamba 20000 ni cost ya picha quality tuu. Nilikuwa nabishana na mtu kwamba hajaja kusaidia watanzania ila kaona fursa ndio akaja kujibu hivyoJamaa anatambaa na fursa hii ya kuchanja 20,000/= kumsaidia ku-apply imemshushia thamani zaidi. Kama angekua kweli ana Nia ya nn kuokota senti za vijana?
Kutawadha wazeeOngelea fursa za chapaa. Tukifika majuu tufanye shughuli zipi halali
Mwanajeshi mstaafu wa US Navy lini tena wakati yeye hana miaka zaidi ya 10 hukoAshalamba uraia kamili, ni mwanajeshi mstaafu, wa US Navy, passport yake ya marekani roho inamuuma kuona wanaigeria wengi anataka avute wabongo wengi sijui kama atafanikiwa maana kwa ubishi tu tunajiweza
Mwanajeshi mstaafu wa US Navy lini tena wakati yeye hana miaka zaidi ya 10 huko
Ok,huko jeshi sijui alienda lini maana mi namsoma toka anaingia huko USAna miaka 13 anaenda wa 14 sasa
Mkuu inaonekana huyu jamaa hamumfuatilii kwa makini sijui huwa mnahisi anajulikana hapa bongo tu
Mbona alishaelezea sana kwamba kwenye interview ukiulizwa swali kama utaingizaje kipato unaweza taja kazi yoyote halali hata kama utadanganya mfano unaweza hata kusema nitaenda kujiunga na jeshi la marekani hawatajali sababu baada ya hapo hawatakufuatilia kama kweli utaenda kufanya hiyo kazi
Kuhusu kuulizwa utaishi wapi alisema pia unaweza taja state yoyote au pia kwenye kutafuta host unaweza tafuta mtanzania mwenzio aishiye huko ambako mitandaoni utawapata wengi tu kisha mkubaliane kwamba yeye ndiyo aplay kama host wako hata kama hautaenda kufikia kwake hawajali
Jamaa anatambaa na fursa hii ya kuchanja 20,000/= kumsaidia ku-apply imemshushia thamani zaidi. Kama angekua kweli ana Nia ya nn kuokota senti za vijana?
Haki ya kupiga kura haipo.Hivi kwa Mfano ukishakuwa permanent resident wa nchi nyingine,unakosa vitu gani au unapungukiwa sifa zipi za ki raia?
Yote unayouliza ashasema mara kibao na kuwaalika watu waliopata hiyo kitu waelezee vizur jinsi walivyopenya.Hakuna anayempinga mwamba, na anafanya vizuri Ila afafanue zaidi kushinda lottery sio final. Kwa wastani ujiandae eg. Documentations (kupima Afya), Nauli, viza na pesa ya kujikimu ukifika US.
Pia Apunguze jazba akiulizwa kitu
Tuna tatizo mahali. Si kwa roho mbaya hii na kukatishana tamaa. Wanaijeria na Wakenya haya mambo wako sharp sana na ndo wamejazana huko. Halafu hawa hawa wa kwetu ndo utawakuta wanalia ajira hakuna.Mkuu mitanganyika inatafuta kila sababu ya kuona how something WON'T workout ili wasifanye badala ya kuangalia what if it works out.
Sijawahi kusikia mtu kashinga DV lottery halafu akafeli interview. Inabidi uwe kilaza pro max.
Leo mitanganyika ikifika Kenya au Nigeria wanaona kama wamefika London lakini wanigeria na wakenya kila siku wanajazana US na nchi zingine. Nchi zao zinapiga hatua kwa diaspora kutuma hela kwao (remittances) ila wabongo wenyewe kazi kukatishana tamaa na kuhalalisha kubaki kwao ili waendelee kuwa nyuma wakati wenzao wanapiga hatua.