Roho ya Jiwe hii. Omba hata hao watoto unaaowasomesha HOPAC wasiishie pabaya kwa dhambi za mama yao.Wenye 18 mpaka 25 yrs old acha waende
Sisi wenye 30+ na tuna watoto tuna shughuli zetu bongo. Siwezi cheza greencard. Kwanza kwenda kuishi kwa mtu mpaka usettle wakati hapa Mbweni ninaishi kwenye gorofa langu. Aku babu wewe .Maisha bongo ninaishi poa kabisa .Wanangu wanasoma Heaven of peace academy. USA mimi ninakwenda vacation tu.
Sawa sawa..Nimekubali argument ya victorie wewe ukaingilia nikajukibu Sasa unasema oh najuaje huwezi kufanya mambo madogo Mimi nime support statement ambayo ni facts kwamba kama huwezi kufanya application usitegemee huko mbele utaweza mengine hii nikiongea general kulingana na argument. So sikujui nitoe ushauri wa Nini soma uelewe nilichoandika am support the argument not personal chat with someone. The fact watu wanatakiwa kuelewa kufanya application wenyewe na sio kufanyiwa.
Sasa kama huwezi cheza green card, Usivunje moyo vijana kucheza green card..Wenye 18 mpaka 25 yrs old acha waende
Sisi wenye 30+ na tuna watoto tuna shughuli zetu bongo. Siwezi cheza greencard. Kwanza kwenda kuishi kwa mtu mpaka usettle wakati hapa Mbweni ninaishi kwenye gorofa langu. Aku babu wewe .Maisha bongo ninaishi poa kabisa .Wanangu wanasoma Heaven of peace academy. USA mimi ninakwenda vacation tu.
Hawa wanaoponda kutoa 20000, ni hawa hawa walijaziwa application ya kugombea chuo 15000, ya bodi ya mkopo 15000 Sasa cjui wanaongea Nini?? Nimesahau waomba ajira za tamisemi 15000 hadi ,20000 hkna Cha Bure bna.EBM Scholar anasaidia vijana. Sisi ambao umri umeenda acha tukae pembeni kwanza.
Ila idea yake ni nzuri. Na mnaoshangaa kwa nn anachukua hiyo 20k Hvi mlitaka kweli akusaidie kujaza fomu na kukupiga picha Bure??
Kwa Hyo ukifanyiwa huwez kujifunza.. ndg kila kitu Kwa maisha Yako unafanya mwenyewe Ili ujifunze. Peleka Akili hizo ndogo Huko chini...Sio mtazamo ni facts Sasa application tu unataka ufanyiwe je utaweza kuelewa mfumo wa fedha wa marekani? Maana bila kuelewa hutaweza kuishi marekani. Jifunze kufanya mambo madogo mwenyewe Ili ufundishwe makubwa
Tuliza mshono..khaa!ghorof,heaven peace zimetoka wapi kwenye hii loteryWenye 18 mpaka 25 yrs old acha waende
Sisi wenye 30+ na tuna watoto tuna shughuli zetu bongo. Siwezi cheza greencard. Kwanza kwenda kuishi kwa mtu mpaka usettle wakati hapa Mbweni ninaishi kwenye gorofa langu. Aku babu wewe .Maisha bongo ninaishi poa kabisa .Wanangu wanasoma Heaven of peace academy. USA mimi ninakwenda vacation tu.
Kabisa yeye alioa mzungu. Why hakucheza green card ili apate ukazi wa USA?Ache awalie hizo elfu 30 30 za kuwajazia form .Upuuzi mtupu.
sio kweli jamaa hajaomba uraia wa marekani ni mtanzaniaAshalamba uraia kamili, ni mwanajeshi mstaafu, wa US Navy, passport yake ya marekani roho inamuuma kuona wanaigeria wengi anataka avute wabongo wengi sijui kama atafanikiwa maana kwa ubishi tu tunajiweza
permanent residence ya nchi nyingine haikupunguzii chochote kwenye sifa zako, za uraia wa nchi yakoHivi kwa Mfano ukishakuwa permanent resident wa nchi nyingine,unakosa vitu gani au unapungukiwa sifa zipi za ki raia?
Kuna ubaya akirudia kufafanua?
hakuna kitu hicho resident permit ya nchi nyingine haikuondolei haki zako za msingi kama raia wa nchi flaniHaki ya kupiga kura haipo.
nooo jamaa ni raia wa TanzaniaHapo kumbuka Ni raia wa kule
Kabisa yeye alioa mzungu. Why hakucheza green card ili apate ukazi wa USA?Ache awalie hizo elfu 30 30 za kuwajazia form .Upuuzi mtupu.
acha kuamini sana sifa wanazojipa wana jf unakuta anaishi,buza mtoto anasoma kwa mpalangeRoho ya Jiwe hii. Omba hata hao watoto unaaowasomesha HOPAC wasiishie pabaya kwa dhambi za mama yao.
Yaani hawa wa kujaziwa formSio mtazamo ni facts Sasa application tu unataka ufanyiwe je utaweza kuelewa mfumo wa fedha wa marekani? Maana bila kuelewa hutaweza kuishi marekani. Jifunze kufanya mambo madogo mwenyewe Ili ufundishwe makubwa
Ni mzungu. Wewe ndo huna akili.Yani wewe baki tu Africa kwa uelewa wako huu zero brain US utaishia kula unga tu na kwenda kwenye clubs. Mtu yeyote mweupe ni mzungu then kuna wazungu wafaransa,wazungu wamarekani,wazungu waingereza,waitaliano n.k.maswali mengine ya kipuuzi sana , ulitaka akuoe wewe?
Halafu yule mke wake sio mzungu ni mmarekani
Kwa ushamba wako kila ngozi nyeupe unajua ni mzungu
Sasa na yeye si angecheza the bahati nasibu ? Ila akachagua the easy way kuoa mzungu mwenye obesity.Ukioa au ukiolewa na mmarekani tayari ni kigezo cha kupewa green card.
Tambua kwamba green card. ni residency permit ambayo mtu anapewa kwahiyo kuna hizo, za kushindania kama bahati nasibu ( dv lottery) , za mwenza ukioa au ukiolewa.
Huyo EBM alipata greencard baada ya kuoa mmarekani.
Halafu kuna jamaa wanasema eti ni raia wa marekani, kitu ambacho sio kweli ,kama angetaka uraia wa marekani na amini angepewa ila hajaomba yeye bado ni raia wa Tanzania
Inamaanisha nina life zuri hapa hapa Bongo na sina haja ya kwenda US kwa kucheza kamari.Tuliza mshono..khaa!ghorof,heaven peace zimetoka wapi kwenye hii lotery
Wacheze tu.Sasa kama huwezi cheza green card, Usivunje moyo vijana kucheza green card..
Dhambi ipi sasa.Kutokutaka kwenda US kwa kucheza kamari ni dhambi ?Roho ya Jiwe hii. Omba hata hao watoto unaaowasomesha HOPAC wasiishie pabaya kwa dhambi za mama yao.