Green Card Makulilo Lottery

Green Card Makulilo Lottery

Nakazia, green card lottery si msaada Bali ujipange kifedha yapata 8m TZS na kiakili ukifika kule kazi kazi, sio kwamba ukishinda unasubiti safari tu Bali Kuna mchakato
 
Hapo unaona umeongea point? green card ni hatua tu Ila kumenyeka kupo pale pale!

Punguza hasira dada
Wewe ni mstaafu fulani uliyekuwa na ndoto zako, lakini zimebuma...
Kazi yako kuwakatisha tamaa vijana wadogo wanaonza kutafuta maisha..
Wewe shughulikia ni mara ngapi kwa siku unaenda choo kwa wakati......
Fainali uzeeni...
 
Tuna tatizo mahali. Si kwa roho mbaya hii na kukatishana tamaa. Wanaijeria na Wakenya haya mambo wako sharp sana na ndo wamejazana huko. Halafu hawa hawa wa kwetu ndo utawakuta wanalia ajira hakuna.

Maisha haya ni kupambana kwa hali yo yote ile. Lakini hata watu wanaojaribu kutufungua macho nao tunawaponda. Sioni kwa nini vijana wa Kenya waenee duniani kote wakipambana lakini wa kwetu wapo tu wanalalamikia serikali iwapatie ajira; na kuporomosha matusi mitandaoni humu.

Tuna tatizo mahali!

Hakika mkuu. Wakenya wamejaa kila pembe ya dunia, wanigeria wapo kila kona hadi bongo Ileje unawakuta let alone overseas, wabongo ambao hawana exposure, hawana ajira, hawana maarifa leo wanapinga watu kutoka nje ya mipaka. Smh

Ajabu watu hawa hawa wanaopinga hadharani bdae wanakuja DM kuuliza michongo ya kwenda nje.
 
Inabidi uwe Kila first class kushindwa interview baada ya kushinda GC. Wangapi umesikia wameshindwa interview baada ya kushinda?

Mitanganyika mnaogopa Kila kitu ndo maana hamuendelei.
Wengi tu. Na wala sio kuwa kilaza ila wabongo wengi ni waongo waongo, kuna mtu kule juu kasema unaweza kudanganya vitu, na hapo ndio watu hugundulika na kufeli interviews.
 
Ni hatua tu ya maisha kama ambavyo mwingine anaanza umachinga kabla ya kuwa na duka.

Caregiver kiwanja ana hela kuliko mkurugenzi wa taasisi kubwa tu hapo bongo.
Hakuna sehemu nimepinga mtu kuanza chini kwenda juu, Kila mtu ataifanya na kupata anachostahili kulingana na uwezo wake uhalisia haudanganyi NO CARRIER NI MWENDO WA MANUAL WORKER that's my point
 
Wabongo punguzeni chuki.... Tatizo unakurupuka hujawahi kumfuatilia Makulilo mwenyewe unakuja hapa na mapovu yako bila kuwa na uhakika ukisemacho...Hii nchi ina watu wenye chuki sana sana sanaaa...
Makulilo hana utofauti na wale motivation speaker wa story za ufugaji na kilimo so akili za kuambiwa changanganya na zako
 
Wabongo punguzeni chuki.... Tatizo unakurupuka hujawahi kumfuatilia Makulilo mwenyewe unakuja hapa na mapovu yako bila kuwa na uhakika ukisemacho...Hii nchi ina watu wenye chuki sana sana sanaaa...
Hivi kufanya application ya grean card kuna haja ya kutoa pesa mtu akufanyie wakati mfumo unakuelekeza what to do tendo la dakika kumi umemalizia sasa inakuwaje mtu anajwambia takuwepo ili kuwasaidia na anakujua kabisa hiyo ni bahati na sibu si ubora wa picha yako wala details zako
 
Halazimishi mtu kumfanyia application..ukitaka fanya mwenyewe.ila kwa wanao taka tu kufanyiwa ndio hulipa gharama hizo.
 
Makulilo hana utofauti na wale motivation speaker wa story za ufugaji na kilimo so akili za kuambiwa changanganya na zako
Haya ni maneno yako na mtazamo wako punguza chuki.. uonavyo wewe sio sawa na aonavyo kila mtu.
 
Watu wengi wanadhani ukishashinda lottery unapewa green card! Thubutu[emoji16] hapo katikati kuna documents nyingi utatakiwa kutuma na pia kuna interview, kwenye interview utalazimika kuelezea ukienda marekani utaishi wapi na utaingizaje kipato, lasivyo mchezo umeishia hapo.
Na inatakiwa uwe na cash za kujikimu ukifika huko
 
Haya ni maneno yako na mtazamo wako punguza chuki.. uonavyo wewe sio sawa na aonavyo kila mtu.
Mtu akitofautiana mtazamo mbona inaonekana chuki! Wakati mwingine ni mtu kutokua na taarifa sahihi au mtu kutokubaliana na jambo kitokana na sababu zake. By the way jamaa ameona fursa anaitumia hakuna tatizo.
 
Nakazia, green card lottery si msaada Bali ujipange kifedha yapata 8m TZS na kiakili ukifika kule kazi kazi, sio kwamba ukishinda unasubiti safari tu Bali Kuna mchakato
Kwani aliye sema ni Msaada ni nani? Unapachika viji maneno vyako kukatisha watu tama hata iwe 20M sawa tu..wewe endelea kuwa chawa wa bosi wako tu[emoji23][emoji23]
 
Mtu akitofautiana mtazamo mbona inaonekana chuki! Wakati mwingine ni mtu kutokua na taarifa sahihi au mtu kutokubaliana na jambo kitokana na sababu zake. By the way jamaa ameona fursa anaitumia hakuna tatizo.
Yeah! Ameona fursa na halazimishi mtu kumfanyia application ni maamuzi ya mtu tu....sasa kuna watu wana chuki ya kuona kwa nini Makulilo anapata hela kwa application tu....sasa sijui walikuwa wanataka afanye bure? Lakini jamaa halazimishi mtu ukitaka sawa hutaki acha.
 
Back
Top Bottom