Green Card Makulilo Lottery

Green Card Makulilo Lottery

Una uhakika gani hakucheza? Labda alichezea na alipokosa ndo akatafuta option B. In life lazima uwe na back up plan ila lengo lazima litimie.
Angekuwa alicheza angeshawaambia. Kwa vile alivyo muongeaji lazima angesema tu.
 
Nimesema nafanyiwa application??? Au nimesema wanaotaka kufanyiwa? Una elewa kiswahili kweli?? Inabidi urudi shuleni kujifunza upya lugha ya kiswahili.
Si wewe hiyo ilikuwa to whom it may concern.
 
Victorie hapa umewamaliza yaani hata kujaza fomu huwezi, utaweza vipi kumudu maisha ya marekani?
Wanafiki mnajaribu kupeana moyo..[emoji1] mnafikiri kila mtu ana akili kama zenu! Binadamu hawa ishiwi ropoka..fateni Maisha yenu...
 
Ukimfuatilia Makulilo vizuri, utanielewa. Huyu jamaa anatutoa tongotongo Sana, anatuelimisha na kuwasaidia watanzania wengi. Nimefuatilia video zake nyingi mpaka Sasa nimemuelewa Sana.
 
Ukimfuatilia Makulilo vizuri, utanielewa. Huyu jamaa anatutoa tongotongo Sana, anatuelimisha na kuwasaidia watanzania wengi. Nimefuatilia video zake nyingi mpaka Sasa nimemuelewa Sana.
Ni kweli mkuu, Tatizo la wabongo wanakurupuka ku judge mambo bila kufanya uchunguzi wa kina, Wao ni kuropoka,kukashifu na kukatisha tamaa,Ndio maana kuliko umpe Msaada Mtanzania bora umpe mbwa atashukuru sio wabongo waliojaa chuki ,husda, na kisirani...
 
Vijana changamkieni fursa adhimu ya kwenda na Kuishi Marekani. Full Raha kule hakuna mateso kama Nangurukuru
Karibuni tukusaidie kufanya application ya Green Card lottery kwa 5,000 (elfu tano tu).
VENUE:+255 lounge (karibu na Red cross headquarters, mlalakuwa).
 
Mkuu nimekufuatilia unavyojibu wanaohoji hapa nimethibitisha pasi shaka jinsia yako. Hongera
Hizo ni hisia zako tu,Huo unaoita "uthibitisho pasi shaka" ni mawazo yako na imagination wala havina uhalisia wowote [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom