Green Card Makulilo Lottery

Green Card Makulilo Lottery

Ndio hivyo mkuu hamuwezi wote kushinda, idadi ya visa ni 55K tu na wanachaguliwa around 100K+ kati ya millions wanaoapply, kwenye hii michezo ya bahati nasibu tegemea lolote usiweke imani sana
Tuandamane had ubalozi wa Marekani kudai haki zetu.
 
Habari ndugu zangu, matokeo ya green card yametoka , namshukulu mungu nimefanikiwa kupita katika hatua ya awali, hivyo ninahitajika nijaze fom ya Ds 260. Naomba msaada Kwa yeyote anaefaham jinsi inavyojazwa fom hii naomba anisaidie.
 
Mungu akubariki kama umeshinda. Subiri wataalam watakuja kukupa msaada. Yumkini ukawa mwanzo mzuri wa maisha yako ya baaadae.
 
Hivi kwa Mfano ukishakuwa permanent resident wa nchi nyingine,unakosa vitu gani au unapungukiwa sifa zipi za ki raia?

Hakuna unachopungukiwa. Unabaki na uraia wako na passport yako
 
Habari ndugu zangu, matokeo ya green card yametoka , namshukulu mungu nimefanikiwa kupita katika hatua ya awali, hivyo ninahitajika nijaze fom ya Ds 260. Naomba msaada Kwa yeyote anaefaham jinsi inavyojazwa fom hii naomba anisaidie.
Mkuu hongera sana na kila la heri, ingia youtube mtafute EBMScholars anatoa sana tutorials kuhusiana na haya mambo ya green card, huko utapata taarifa zote na ipo video anayoonesha jinsi ya kujaza hiyo DS260 step by step
 
Asante Sana
 
Hao EBM Scholars kama hawajakwambia 'omba' usithubutu kuomba.
 
Asee jaman nyie mnatumia link gani kucheck dvlottery results?? Mbona ile ya kila sku inagoma?
 
Back
Top Bottom