Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Sisi ambao hatujachaguliwa ,tunaenda wapi kukata rufaa ?Ndio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi ambao hatujachaguliwa ,tunaenda wapi kukata rufaa ?Ndio
Haha no rufaa wanasema eti jaribu tenaSisi ambao hatujachaguliwa ,tunaenda wapi kukata rufaa ?
Waache ujingaHaha no rufaa wanasema eti jaribu tena
Ndio hivyo mkuu hamuwezi wote kushinda, idadi ya visa ni 55K tu na wanachaguliwa around 100K+ kati ya millions wanaoapply, kwenye hii michezo ya bahati nasibu tegemea lolote usiweke imani sanaWaache ujinga
Tuandamane had ubalozi wa Marekani kudai haki zetu.Ndio hivyo mkuu hamuwezi wote kushinda, idadi ya visa ni 55K tu na wanachaguliwa around 100K+ kati ya millions wanaoapply, kwenye hii michezo ya bahati nasibu tegemea lolote usiweke imani sana
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Tuandamane had ubalozi wa Marekani kudai haki zetu.
Matokeo huwa yanatoka yote kwa mara moja ?
Mungu akubariki kama umeshinda. Subiri wataalam watakuja kukupa msaada. Yumkini ukawa mwanzo mzuri wa maisha yako ya baaadae.Habari ndugu zangu, matokeo ya green card yametoka , namshukulu mungu nimefanikiwa kupita katika hatua ya awali, hivyo ninahitajika nijaze fom ya Ds 260. Naomba msaada Kwa yeyote anaefaham jinsi inavyojazwa fom hii naomba anisaidie.
Hivi kwa Mfano ukishakuwa permanent resident wa nchi nyingine,unakosa vitu gani au unapungukiwa sifa zipi za ki raia?
Mkuu hongera sana na kila la heri, ingia youtube mtafute EBMScholars anatoa sana tutorials kuhusiana na haya mambo ya green card, huko utapata taarifa zote na ipo video anayoonesha jinsi ya kujaza hiyo DS260 step by stepHabari ndugu zangu, matokeo ya green card yametoka , namshukulu mungu nimefanikiwa kupita katika hatua ya awali, hivyo ninahitajika nijaze fom ya Ds 260. Naomba msaada Kwa yeyote anaefaham jinsi inavyojazwa fom hii naomba anisaidie.
Asante SanaMkuu hongera sana na kila la heri, ingia youtube mtafute EBMScholars anatoa sana tutorials kuhusiana na haya mambo ya green card, huko utapata taarifa zote na ipo video anayoonesha jinsi ya kujaza hiyo DS260 step by step
PoleMimi sijawahi kuipata mpaka leo. So nauchukilia mchakato kama mchongo wa jamaa kujipatia fedha tu
Safe travelsHasira gani wewe! Watu kama nyie hamfai katika jamii mmekalia Majungu na chuki kwendraaaa....
Hao EBM Scholars kama hawajakwambia 'omba' usithubutu kuomba.Mkuu hongera sana na kila la heri, ingia youtube mtafute EBMScholars anatoa sana tutorials kuhusiana na haya mambo ya green card, huko utapata taarifa zote na ipo video anayoonesha jinsi ya kujaza hiyo DS260 step by step
Wamaanisha scholarships auHao EBM Scholars kama hawajakwambia 'omba' usithubutu kuomba.
Ndio.Wamaanisha scholarships au